simba

  1. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

    Leo 09.03.2024 Muda wa Saa 12 Jioni. Coastal Union ya Tanga, Inaikaribisha Simba SC ya Dar es salaam katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara. Simba huu ni mchezo wake wa 17, ikiwa na Alama 36. Nafasi ya Tatu(03) katika msimamo. Coastal Union huu ni mchezo wake wa 20, Alama 27, Nafasi ya Nne...
  2. vvvv

    JamiiForums Tanzania Simba na (Ahmed Ally) waache propaganda waandae timu

    Hii timu yangu natamani waache propaganda ingewezekana waachane na media wajifiche sehemu wajinoe haswa, Hizi propaganda za Ahmed Ally ipo siku atakuja kupigwa mawe, jamaa akiongelea kuhusu Simba utadhani ni Real Madrid au Man City, watu tunaaminishwa uwezo ambao wachezaji hawana na tunapata...
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Katika Michezo 5 ya hivi Karibuni Mashujaa wana Form nzuri kuliko Simba na Msimamo unaonekana

    Hiii sio Bahati Mbaya. Diamond Platnum aliwahi Imba Nyimbo Moja inaitwa. Mdogomdogo.
  4. Mtini

    JamiiForums Tanzania Naiona Simba ikiangusha point nyingine dhidi ya Coastal hapo kesho

    Kwa moto ambao Azam walipelekewa na Coastal Union, Simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho. Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Simba kushindana na Yanga msimu huu ni ngumu sana

    Huu ndo ukweli mchungu kwa wanasimba ni ngumu sana kushinda na Yanga kwenye mbio za ubingwa wa nbc premier league Nafasi ipo ila ni ngumu kutoka na aina ya mpinzani unayeshindana naye ambaye ni Yanga
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Benchikha kakimbia timu mbovu?

    Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba. Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
  7. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba: Nilimbetia Mume wangu kwa Dada wa kazi kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue

    Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake. "Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi...
  8. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabii aipongeza Yanga kwa kumfunga Simba Goli Tano

    "Nafurahi sana kusikia Yanga SC inafanya vizuri, hiyo ni familia yangu, sijaondoka kwa ubaya Yanga, ni familia ambayo niliachana nayo kwa muda huku nikiwa na huzuni kubwa moyoni" "Nafurahi kuona mambo yanaendelea vizuri hapo Yanga, hata walipowafunga Simba mabao (5) nilikuwa na furaha kubwa...
  9. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba sio mbovu kama wengi wanavyotaka kuaminisha watu

    Mimi ni mshabiki wa Yanga ila napingana na kauli za watu wanaosema uongozi wa Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili. Mwaka jana Simba imesajili sana ila ukweli ni kwamba wachezaji wengi waliosajili ni wakawaida na ni wachezaji wa magazeti. Kipindi kile Yanga...
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Roberto Olveira: Pacome alinifukuzisha kazi Simba

    Kocha wa zamani wa Club ya Simba Robertihno Olveira, Akizungumza kutoka Brazili, Robertinho alieleza kama alitimuliwa kutokana na matokeo ya mechi yake ya mwisho dhidi ya Yanga basi ubora wa Pacome ulichangia kwa asilimia kubwa kuondoka katika klabu hiyo. Alisema Pacome ni kiungo ambaye...
  11. kilwakivinje

    JamiiForums Tanzania Dube aaga rasmi Azam FC

    Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne. Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka, Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ila taratibu zifuatwe. Mchezaji huyu...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwana Simba SC ambaye kwa matokeo ya jana anajipa matumaini ya ubingwa NBC akatibiwe uwendawazimu haraka

    Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti. Nimemaliza.
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kila timu inaikamia Simba?

    Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana. Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde. Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango. Kila timu ikiifunga Simba lazima wachezaji wake waoneshe furaha ya hali ya Juu Sana. Kuifunga Simba ni kama...
  14. salimu alute

    JamiiForums Tanzania Prince Dube arudisha kila kitu Azam FC, inasemekana anaenda kutafuta maisha mpya Kariakoo

    Mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerudisha kilakitu cha klabu hiyo ikiwemo nyumba na kuondoka kambini. Dube aliiandikia klabu hiyo barua akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya kuishi Chamazi kwa miaka 4 sasa. Dube anahusishwa kutaka kutafuta maisha mapya ‘Kariakoo'. == Pia soma: Klabu ya...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba imeenda kuutumia uwanja wa Jamhuri bila kuujaribu

    Hii timu kimya kimya bila mbwembwe niliacha kuiangalia, nafuatilia tu matokeo yake kutokana na kwamba kuna upuuzi mwingi sana ambao lawama zote zinaangukia katika uongozi. Simba iliuchagua uwanja wa Jamhuri Morogoro kama uwanja wake wa nyumbani ila cha kushangaza, wachezaji wa Simba wameenda...
  16. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba ni team au kikundi cha wastaafu?

    Wakuu naangalia marudio hapa ya mechi ya simba na prison. Naona hapa simba wamechomoa goli dakika hizi za lala salama Tukiendelea hivi chama atachomoa labda iwe mbili kwa mbili! Ila sasa huu utaratibu wa kupanga wazee kwenye team unatuumiza sana wakuu .. Hapa unakutana na mzee mwenzangu baba...
  17. vvvv

    JamiiForums Tanzania Aliyemleta Fredy Michael akamatwe mara moja

    Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo. Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
  18. G

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba ubadili uwanja, Uwanja wa Jamhuri tutakula za uso, huu ni mwanzo tu

    Simba kuweka uwanja wa nyumbani Moro ni sawa na Yanga waweke uwanja wao Tanga, Haraka sana maamuzi yafanyike
  19. vvvv

    JamiiForums Tanzania Mechi za CAF jukumu la ulinzi uwanjani nani anahusika? Simba ikanushe hizi tuhuma

    Naomba kufahamu,hii michezo ya CAF inayoendelea siku ya mechi jukumu la ulinzi ni la CAF,TFF au timu husika? Maana mechi ya Simba na Jwaneng Galaxy kile kilichofanyika kinashusha hadhi mpira wetu kwenye ramani ya Africa, kuna mtu alijitokeza upande wa Jwaneng alikuwa anafanya mambo ya kijadi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Simba Sc mchukueni Bruno Gomez

    Kuna tetesi ya Bruno Gomez kuondoka Singida Fountain Gate. Naomba timu yangu kubwa Simba sports club tumuwahi mchezaji huyu na bonge moja la kiungo. Simba kwa siku za hivi karibuni tunakosa kiungo mshapu wa kupandisha timu kwa haraka inapoenda kushambulia, hivyo nafasi ya Gomes ni ya muhimu sana...
Back
Top Bottom