Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,566
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele.

Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka mashabiki kuacha kuwapokea mashabiki na wafahamu mechi hizi za robo fainali ni kufa na kupona na kinachotakiwa ni kuhakikisha timu zetu zinashinda.

Amesema Serikali itakula sahani moja na mashabiki wa Simba na Yanga ambao wataenda kupokea wageni uwanja wa ndege na kuwasapoti.

"Wiki iliyopita tulitoa tamko, Serikali tunataka kukaa na Simba, Yanga na TFF, ili watuambie kama serikali, tunahitaji kutoa mchango gani ili timu kushinda robo fainali na ziingie nusu fainali. Tunaweza kukutana Jumanne wiki ijayo ili kupanga mikakati."

Kuhusu mashabiki amesema; "Watanzania niwaombe sana najua kuna utani wa jadi, lakini kwenye mechi hizi za robo fainali ni mechi za kufa na kupona, hatutegemei kuona Mtanzania yeyote akienda kupokea wageni uwanja wa ndege, ama kuvaa jezi za timu za wageni."

"Sisi kama Serikali hatutawaachia hili TFF wala Simba na Yanga, kwa hiyo tukihangaika na mtu ambaye tutaona ni msaliti. Tunaomba Watanzania watuelewe na watusamehe kwa sababu tunataka timu hizi zifanikiwe."

"Kwa hiyo wewe Mtanzania ambaye utaweka kimbelembele kwenda kupokea wageni uwanjani wa ndege, kuwasapoti kwa namna yeyote, hatutakuelewa na tutadili na wewe kwa vile ambavyo tunaona inafaa."

"Tumekuwa nchi pekee iliyofanikiwa kuingiza timu mbili mwaka huu, lakini ukishapata mafanikio haupaswi kutumia muda mwingi sana kushangilia hayo mafanikio, unatakiwa uangalie unafanya nini ili kuendelea kupata mafanikio zaidi." Amesema.
 
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutanma na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele.

Mlishindwa kuwachukulia hatua Heris Raisi wa Yanga na manara Kwa kuvaa jezi za kaizer chief kisa Leo timu lenu lipo club bingwa mtuzuie haiwezekani sisi ni masandawana
 
Hongera waziri!!

Naanza kuona ukomavu was serikali kwenye michezo!

Tuendelee kujikita zaidi kwenye vipaji na academy ili michezo iwe ajira kuu!!

Waambieni TFF timu 16 hazitoshi kuleta ligi ya upinzani ,msimu ujao time ziwe 20 kama epl!!

Time zenye changamoto ya miundombinu serikali itoe fungu ku support Ili zisipate msongo na kushindwa kutoa upinzani mkali kwa timu kubwa!!

Viwanja vyote virekebishwe viandane na hadhi ya kimataifa!!

Hapo sawa KAZI iendelee!!
 
sijakutambua mkuu lakini umesema jambo moja kubwa na hapa ndio nasema kila nyakati yanga washukuru Mungu kwa kila jambo unafiki umejaa sana na leo imekuwa wadhi namna gani wanafiki
 
Hongera waziri!!

Naanza kuona ukomavu was serikali kwenye michezo!

Tuendelee kujikita zaidi kwenye vipaji na academy ili michezo iwe ajira kuu!!

Waambieni TFF timu 16 hazitoshi kuleta ligi ya upinzani ,msimu ujao time ziwe 20 kama epl!!

Time zenye changamoto ya miundombinu serikali itoe fungu ku support Ili zisipate msongo na kushindwa kutoa upinzani mkali kwa timu kubwa!!

Viwanja vyote virekebishwe viandane na hadhi ya kimataifa!!

Hapo sawa KAZI iendelee!!
kazi ipi hio miaka mingap mashabiki wa yanga wamekuwa wakipokea wageni kuingia kwao leo ndio wanatambua kuwa sio vzr watulie dawa iingie
 
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutanma na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele.

Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka mashabiki kuacha kuwapokea mashabiki na wafahamu mechi hizi za robo fainali ni kufa na kupona na kinachotakiwa ni kuhakikisha timu zetu zinashinda.

Amesema Serikali itakula sahani moja na mashabiki wa Simba na Yanga ambao wataenda kupokea wageni uwanja wa ndege na kuwasapoti.

"Wiki iliyopita tulitoa tamko, Serikali tunataka kukaa na Simba, Yanga na TFF, ili watuambie kama serikali, tunahitaji kutoa mchango gani ili timu kushinda robo fainali na ziingie nusu fainali. Tunaweza kukutana Jumanne wiki ijayo ili kupanga mikakati."

Kuhusu mashabiki amesema; "Watanzania niwaombe sana najua kuna utani wa jadi, lakini kwenye mechi hizi za robo fainali ni mechi za kufa na kupona, hatutegemei kuona Mtanzania yeyote akienda kupokea wageni uwanja wa ndege, ama kuvaa jezi za timu za wageni."

"Sisi kama Serikali hatutawaachia hili TFF wala Simba na Yanga, kwa hiyo tukihangaika na mtu ambaye tutaona ni msaliti. Tunaomba Watanzania watuelewe na watusamehe kwa sababu tunataka timu hizi zifanikiwe."

"Kwa hiyo wewe Mtanzania ambaye utaweka kimbelembele kwenda kupokea wageni uwanjani wa ndege, kuwasapoti kwa namna yeyote, hatutakuelewa na tutadili na wewe kwa vile ambavyo tunaona inafaa."

"Tumekuwa nchi pekee iliyofanikiwa kuingiza timu mbili mwaka huu, lakini ukishapata mafanikio haupaswi kutumia muda mwingi sana kushangilia hayo mafanikio, unatakiwa uangalie unafanya nini ili kuendelea kupata mafanikio zaidi." Amesema.
Nikivaa jezi ya Mamelody mtanifanya nini?
 
Hongera waziri!!

Naanza kuona ukomavu was serikali kwenye michezo!

Tuendelee kujikita zaidi kwenye vipaji na academy ili michezo iwe ajira kuu!!

Waambieni TFF timu 16 hazitoshi kuleta ligi ya upinzani ,msimu ujao time ziwe 20 kama epl!!

Time zenye changamoto ya miundombinu serikali itoe fungu ku support Ili zisipate msongo na kushindwa kutoa upinzani mkali kwa timu kubwa!!

Viwanja vyote virekebishwe viandane na hadhi ya kimataifa!!

Hapo sawa KAZI iendelee!!
Haya ndo ya kujadili siyo kutisha watu kuvaa jezi.
 
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutanma na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele.

Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka mashabiki kuacha kuwapokea mashabiki na wafahamu mechi hizi za robo fainali ni kufa na kupona na kinachotakiwa ni kuhakikisha timu zetu zinashinda.

Amesema Serikali itakula sahani moja na mashabiki wa Simba na Yanga ambao wataenda kupokea wageni uwanja wa ndege na kuwasapoti.

"Wiki iliyopita tulitoa tamko, Serikali tunataka kukaa na Simba, Yanga na TFF, ili watuambie kama serikali, tunahitaji kutoa mchango gani ili timu kushinda robo fainali na ziingie nusu fainali. Tunaweza kukutana Jumanne wiki ijayo ili kupanga mikakati."

Kuhusu mashabiki amesema; "Watanzania niwaombe sana najua kuna utani wa jadi, lakini kwenye mechi hizi za robo fainali ni mechi za kufa na kupona, hatutegemei kuona Mtanzania yeyote akienda kupokea wageni uwanja wa ndege, ama kuvaa jezi za timu za wageni."

"Sisi kama Serikali hatutawaachia hili TFF wala Simba na Yanga, kwa hiyo tukihangaika na mtu ambaye tutaona ni msaliti. Tunaomba Watanzania watuelewe na watusamehe kwa sababu tunataka timu hizi zifanikiwe."

"Kwa hiyo wewe Mtanzania ambaye utaweka kimbelembele kwenda kupokea wageni uwanjani wa ndege, kuwasapoti kwa namna yeyote, hatutakuelewa na tutadili na wewe kwa vile ambavyo tunaona inafaa."

"Tumekuwa nchi pekee iliyofanikiwa kuingiza timu mbili mwaka huu, lakini ukishapata mafanikio haupaswi kutumia muda mwingi sana kushangilia hayo mafanikio, unatakiwa uangalie unafanya nini ili kuendelea kupata mafanikio zaidi." Amesema.
Onyo halina mashiko huwezi kumpangia mtu timu ya kushabikia , haya nikishabikia mtanifanya nini? Mtanifungulia mashtaka?
 
Haka kawaziri kanafikiri katatutisha kama alivyomtisha katibu wa Chaneza, Simba hawana historia ya kupokea wageni ila hiyo ni tabia ya upotolo ni heri angekaa kimya.
 
Back
Top Bottom