Kuna tetesi ya Bruno Gomez kuondoka Singida Fountain Gate. Naomba timu yangu kubwa Simba sports club tumuwahi mchezaji huyu na bonge moja la kiungo.
Simba kwa siku za hivi karibuni tunakosa kiungo mshapu wa kupandisha timu kwa haraka inapoenda kushambulia, hivyo nafasi ya Gomes ni ya muhimu sana...
[emoji599]| PRINCE DUBE UPDATES
[emoji617] Mazungumzo kati ya Azam na Striker wao, Prince Dube yanaendelea ambapo Azam wanahitaji kiasi cha USD 300,000 sawa na Tsh 765M ili kumuachia mchezaji huyo huku Prince Dube akiwa tayari kulipa kiasi cha USD 230,000 sawa na Tsh 586M ili aweze kuondoka kwa...
Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo.
Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo.
Updates
Dakika ya 45+3
Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula.
HT
Simba 0-1 Tz Prisons.
Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko.
Mzamiru Out
Saido Inn
Kibu D Out
Chasambi Inn
Freddy...
Mchambuzi wa soka Wilson John Oruma amesema umefika wakati wa Simba SC kuachana na kiungo wao mshambuliaji, Clotous Chama kwani hakuna cha ziada atakachowapa.
Oruma amezungumza hayo ikiwa ni siku chache baada ya Chama kuubeba mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy na kuibuka na ushindi wa 6-0...
Katika taasisi kubwa hapa duniani Kuna Maafsa habari au wasemaji wa taasisi hizo.Achilia mbali taasisi pia Kuna wasemaji wa serikali hususan katika masuala ama jambo Fulani.
Simba sports club ni club ya mchezo wa mpira wa miguu.
Mpira wa miguu ni burudani,ni starehe ni furaha na anasa...
Klabu ya Azam imethibitisha kupokea barua ya PRİNCE DUBE akiomba kuondoka kwenye klabu hiyo. Taarifa ya klabu inasema Azam FC wamemjibu na kumwambia anaweza kuondoka ila kwa kufikiwa kwa vipengele vya mkataba, yani kama klabu nyingine au yeye mwenyewe anaweza kuilipa Azam FC pesa waliyoweka...
Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia Waoka Mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020.
Mkataba wa nyota huyo raia wa Zimbabwe aliosaini mwaka 2023 utamuweka klabuni hapo mpaka 2026. Hivyo sasa amebakisha...
Aisee kweli mpira ni vita sasa ni wazi kumbe Simba alikuwa akipambana na hujuma kali kutoka kwa timu 4 ili asiingie robo fainali.
Timu hizo ni Wydad ambaye aliamua kucheza mchezo mchafu na kwenda kuwahonga Asec wamuachie goli ashinde kwa uhakika.
Timu nyingine ni Asec ambao walikubali kula...
AKILI ZIMEANZA KUWARUDI
" Simba kutinga hatua ya robo fainali imepitia kwenye kundi dhaifu sana. Kundi likiwa na mngonjwa mahututi mmoja ambaye ni Wydad ambaye alikuwa ICU msimu huu kuanzia ligi ya kwao mpaka michuano ya #CAF. Huku akiwa pia na timu ya Asec Mimos timu yenye program ya kukuza...
Uongozi wa Klabu ya Simba baada ya kuona upweke wa kila msimu kuvuka hatua ya makundi hadi Robo Fainali katika mashindano ya CAFCL na kila mara kuwa timu pekee kutoka Tanzania, umeamua kuanzia msimu huu kuanza kuambatana na timu mojawapo ya ligi ya NBC itakayokidhi vigezo itakavyoweka.
Msimu...
Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba?
Nyerere - Yanga
Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi)
Mkapa - ????
Kikwete - Yanga
Magufuli - Yanga (kuna siku alifurahi sana kuona Simba kafungwa, aliwapiga Simba kijembe "Kagera sugar wametoboa tundu la Simba" huku...
Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa.
Kama sio simba iliyo...
Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba).
Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu...
Bila kupoteza muda, nazipongeza timu zetu Yanga na Simba kwa kuingia kwenye hatua muhimu ya robo fainali
Kimsingi, timu hizi zimeonesha uwezo mkubwa na hayo yote yanachangiwa na upinzani na utani wa jadi uliopo baina ya timu hizi mbili
Hakika, kwa sasa hizi ndiyo timu zakuigwa ndani ya Africa...
Tunaweka kumbukumbu sawa ya kwamba katika makundi yote ya CCL msimu huu kundi lililokuwa dhaifu KULIKO yote ni kundi la Simba, ubora wa timu zilizokuwa kwenye kundi ilo kwa yeyote aliyekuwa anafatilia mechi zao atakuwa shahidi.
Asec mimosas kiwango chake kilikuwa Cha kawaida sana lakini ametoa...
Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu
Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13
Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8
Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0
Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast
Nimekwenda uwanjani na nimefurahi tumeingia robo fainali.
Lakini kiukwel bado naona kuna mapungufu katika timu yetu.
Leo tungecheza na wakubwa kama Al Ahly au Mamelod au Petro au Esperance mambo yangekuwa magumu.
Kwanini nasema hivi.
Timu bado inafanya sana makosa nyuma, makosa ya dhahiri...
Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi.
Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.