Azam mmenikera sana jana kwenye mechi ya Simba vs Singida Fountain

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam.

Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana kwenye luninga akiwa amesimama langoni ameshika taulo lake na maji, akaweka chupa zake za maji vzr, ndani ya taulo kulikuwa na kitu alikuwa anakichimbia, kabla hajafanya hivyo azam wakaondoa faster tusione, ila wengi tulioangalia tuliona tukio lile kidogo.

Pili, kila jambo baya la Simba lilirudiwa ili mradi tu watu watengeneze stori, yanayofanywa na Singida hatuonyeshwi.

Mfano goli la kwanza wamerudia zaidi ya mara 5 ili kutaka kuaminisha watu kuwa triple c aliotea. Nikawa nafuatilia sana kuona mambo yakitendeka kwa simba yanarudiwa frequently.

Hili naomba management ya azam iliangalie, wapo baadhi ya watumishi ndani ya azam ndio wale aliowasema Dube.

Mliwaondoa akina Jaffery Idd Maganga na baadae Idd Nassoro Cheche, beki wa zamani wa Nyota Nyekundu akicheza na Frank Kassanga Bwalya ili tuone mabadiliko but manazi wako pale pale.

Lisijirudie hili.
 
HIVI UWANJA WA CHAMAZI UNACHIMBIKA!!!!
 
Movement ya goal kurudiwa ni haki yetu sisi watazamaji.
Hasa tunaoangalia kwa runinga.
Hata kama ikirudiwa ×100.
 
Ile mechi na coastal Kila muda wanaelekeza kamera kwa kocha wa coastal hata Kama mpira unaendelea sijui.walitaka tuone Nini, mechi ya Simba na wale wabotswana hawakuwaonyesha wale wabotswana wakati wanafanya ulozi na kupokea kibano.
 
Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam.

Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana kwenye luninga akiwa amesimama langoni ameshika taulo lake na maji, akaweka chupa zake za maji vzr, ndani ya taulo kulikuwa na kitu alikuwa anakichimbia, kabla hajafanya hivyo azam wakaondoa faster tusione, ila wengi tulioangalia tuliona tukio lile kidogo.

Pili, kila jambo baya la Simba lilirudiwa ili mradi tu watu watengeneze stori, yanayofanywa na Singida hatuonyeshwi.

Mfano goli la kwanza wamerudia zaidi ya mara 5 ili kutaka kuaminisha watu kuwa triple c aliotea. Nikawa nafuatilia sana kuona mambo yakitendeka kwa simba yanarudiwa frequently.

Hili naomba management ya azam iliangalie, wapo baadhi ya watumishi ndani ya azam ndio wale aliowasema Dube.

Mliwaondoa akina Jaffery Idd Maganga na baadae Idd Nassoro Cheche, beki wa zamani wa Nyota Nyekundu akicheza na Frank Kassanga Bwalya ili tuone mabadiliko but manazi wako pale pale.

Lisijirudie hili.
Goli la kwanza Chama alikuwa Offside hata isingerudiwa. Wewe unataka waoneshe matukio ya kichawi Kwa faida ya nani? Hayo mambo kwenye jamii hayafai.
 
Mijitu ya Simba bwana tred zenu za kishamba shamba sana, mpaka zinachefua. Mna ukoloni koloni,mambo ya kizamani zamani. Mpaka mubadirishwe kustaarabika sio leo.

Ona kama ushamba wenu wa jana kushangilia YANGA kupangwa na Mamelod. Mnaonyesha ushamba mwingi hadharani
 
Back
Top Bottom