Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,839
- 38,730
"Maisha Bila unafiki hayaendi ,wakati nazungumza wakati wa AFL kuwa Al Ahly wako unga mashabiki wa Simba SC walinishambulia Kwa kuwa nilisema Ahly alikuwa anacheza tu dhidi ya Simba SC ,lakini baada ya kutolewa kwa aggregate wengi wanaamini kuwa walikuwa na nafasi ya kupita"
"lakini Jana baada ya draw Yao dhidi ya Al Ahly walikuwa wanashangilia ,Sasa walikuwa wanashangilia nini huu ndio unafiki?? Msimu huu sio ndio huuu Nani kasikitika kupangwa na Ahly 99.99% wameshangilia kuonana na Al Ahly sababu wengi walikuwa hawataki kucheza na Mamelod au Petro Atletico de Luanda"
"Leo mnatumia kigezo cha kujuana naye mara nyingi hoja yangu ni Ile Ile Al Ahly hayuko kwenye ubora wake ambao alikuwa anatutisha ,Ahly mwenyewe hamtaki Mamelod Sundowns, Mashabiki wenyewe wamekalia ushabiki"
"Ahly msimu huu wako unga ,mechi 4 kwenye AFL hawajashida lakini Historia na Daraja Yake ndio vitu ambavyo vinafanya tumpe credit Kwa sababu muda wowote wanaweza kukupa kitu cha tofauti"
George Job (Wasafi FM) akieleza kuhusu unafiki na ubora wa Al Ahly
Wanasimba mnasemaje.