Zijuwe koo za Simba

Corazon Espinado

JF-Expert Member
Jan 25, 2024
217
430
Wengi wetu tumewahi kusikia vikundi vya kishirikina, vya kihaini, vya michezo na ushirikiano wa aina mbali mbali. Kiuchumi na Kijamii.

Mfano kuna Freemasons, Mafia, Yakuza, Templer Knights, Skull an Bones.

Wachache sana wanaofahamu kuhusu kikundi cha aina ya kipekee cha koo za Simba. Kikundi hiki kipo dunia nzima. Kwa vikundi vikundi vya koo za kisimba na wao huungana na kuna ushirikiano wao wa kiroho na muungano wao wa kijamii amabao ndio hupeleka kua wa kiroho.

Huwezi kua kwenye koo ya kisimba kama hauna ukoo wa kisimba kiroho, kwa kiroho namaanisha Kimizimu nau wengine husema kiruhani (spirits).

Koo za simba zipo dunia nzima na Tanzania ikiwemo. Koo za simba hazibaguani kikabila, kidini au kirangi tofauti yao ni kua ni koo kubwa na ndogo tu, yaani yenye nguvu na isio na nguvu.

Kwa "nguvu" wao wanamaanisha kuwa na mali, kuwa na ushirikiano wa karibu na koo zingine za kisimba na koo zingoine amabazo sio za kisimba lakini za marafiki wa kisimba.

Miiko na mila zao zinfanaa takriban koo zote za kisimba duniani.

Kuungana koo za kisimba na marafiki wa koo za simba ni kwa kujamiiana tu, hakuna vingine. Hata kama ni wa koo hiyohiyo iliyopo na wewe hujafikia umri wa kujamiiana na au ukagoma kuungana nao kwa kujamiiana nao basi watakutenga tu lakini hawafanyi vita na wewe.

Koo za simba zinapiga mambo ya machafu duniani, kama vile hawapatani kabisa na ujambazi, wizi, uongo, ushoga na usagaji na mambo yote amabayo hayaendani na maadili ya simba.

Kujamiiana kwao sio starehe tu bali ni kuongeza nguvu za ukoo na ushirikiano, hawana mipaka katika kujaamiiana, waliopo ndani ya koo, wala hawana umri wa kujamiiana mradi binti au mvulana awe ameshavunja ungo au balehe. Haijalishi kama u mzee au kijana au umri wowote, kama una nguvu za kujamiina basi ukiwa ndani ya koo watajamiina na wewe kutokana na nguvu zako, kama hauna nguvu za kujamiina na upo kwenye koo, watafabya kila njia uwe na nguvu za kujamiiana.

Unaweza kua ni wa koo ya simba wa Arusha na kuna koo ya simba wa Dar, lakini kama koo zenu hazijaungana kwa kujamiiana basi mtakua mnajuana tu kama koo ya simba kwa wale waliofikia (rank) nafasi aua cheo cha.

Simba wapo kila sehemu za kijamii lakini hata awe muuza vitumbua basi akiwa ndani ya koo ya simba iliyoungana mtamuona hali yake inabadilika na vitumbua vitakua vina ubora na vinauzika sana. Koo yake ya simba itafanya kila juhudi kumyanyua mpaka awe sio vitumbua tu aongezze na biashara nyingine.

Simba wapo kila mahala, na kwenye kila nyanja. Ukiwa kwenye koo ya simba ni lazima kufanya kazi za simba aliyejiunga kwenye koo ya simba halafu za simba mtarajiwa kujiunga na za wamarafiki wa simba ndio ufanye za wengine.

Ni mwiko kwa koo y asimba kua na masikini ikiwa koo ina uwezo, mtatofautiana kipato tu lakini lazima simba wa kwenye koo atakua ni mtu wa matawi.

Simba wa nchi tofaitu hujulikana kama simba kwa majina ya kikwako, mfano Simba, simha, leo, lion lionne, love na kadhalika., leao na kadhalika.

Biashra aua mashirika mengi yenye nembo za simba duniani aua majina ya simba zinakua ni za koo za simba, na hata ikianzishwa na mtu amabae hayupo kwenye koo za simba basi watafanya kila njia wainunue kwa trhamani yote,, jina la simba libaki kwenye koo za simba.

Koo za simba zipo strict sana kwenye koo zao. Ukiwa kwenye koo ya simba huruhusiwi kusema uongo hata mdogo na hawafichani kwa chochote kile, na ukificha au ukidanganya utaanza kupewa ashabu ndoigo uirekebishe kwa viapo vyao, ukitengfua kiapo, ujue ndio mwisho wako kwenye koo ile ya simba na hutoweza kujiunga na koo nyingine yoyote ya simba duniani. na ikiwa ni kosa kubwa inaweza kufikia adhabu yako ikawa kifo.

Simba wana misimamo ya kipekee, wanapenfda udagi na ni lazima ukiwa kwenye koo ya simba uwe msafi. Simba mwenye hadhi aua cheo fulani, hujulikana kwenye koo na akisema kitu ni amri sio ombi.

Koo za simba huendeshwa na simba jike lakini ni lazima awe chini ya himaya ya simba dume. Simba dume huwa na majukumu makubwa ya kuhahakisha wanawatunza kuwatazama masimba jike, na pia huwa kazi yao kubwa na ya msingi ni kujamiiana kila anapohiytajika na yeyote kwenye ukoo.


Karibuni muulize chochote kuhusu koo za simba.
 
Koo za Simba ya Tanzania.

Tanzania ina koo za kisimba karibia kwenye kila kabila na jamii, wengine wanajijua, wengine hawajijui, wengine kiasili weengine kwa kuchanjia.

Kuna koo moja kubwa sana ya Kisimba ya Tanzania, inajumuisha matajiri sana tunaowajua na tusiowajua, wa dini, rangi na makabila tofauti. Si rahisi kuwatambua kama sio simba mwenzao. Koo za kisimba Tanzania zimeungana kimizimu (spirits" na zile kubwa kabisa ni lazima zimeungana ka kujamiiana. Huwezi yoyote amabe haupo kwenye rank ukajamiiana na hata koo nyingine ya simba bila wakubwa wa koo yako kutoa idhini, wanasema huko ni kuchafua ukoo.

Mwanamke wa kisimba asiyezaa atafanyiwa kila njia azae au atatafutiwa mtoto wa kutoka kwenye ukoo wa kisimba akapewa kuanzia mtoto ni mchanga kabisa lakini mwiko mtoto akikua kufichwa wazazi wake wa kweli.

Watoto wa kisimba huwa hafichwa kabisa makwao mambo ya kujamiiana kuanzia wanapokaribia kuvunja ungo au kubalehe. Lakini ni marufuku na unapewa adhabu ya kifo ikiwa utamuingilia kingonoi mtoto wa kisimba ambae hajavunja ungo au mwanamme ambae hajabalehe. Hiyo adhabu haina majadiliano wala msamaha na hauna pa kukimbilia utasakwa na simba wote wa dunia nzima mpaka uuliwe.

Simba ni wakarimu sana kwa simba wenzao, humkuti simba mwenye shida hata siku moja ambae yupo kwenye koo ya kisimba kwa kujamiiana, wenyewe wanasema "kuunganisha damu".
 
Watu wasiunganishe Simba na yanga kwenye huu uzi, ingawa huwezi kua kwenye uongozi wa simba kama hauna ukoo wa kisimba.

Hata yanga, huwezi kua kiongozi kama hauna ukoo wa kisimba kimizimu (spirits).

Huu uzi sio wa Yanga na simba. ni kuelimisha watu kuhusu maisha yalivyo kwenye jamii. Usione mwenzako kaja mjini siku mbili tatu katoboa, wewe unasota mwaka wa 20 huu. Elewa kua hauna ukoo wa kisimba na hauna urafiki na ukoo wa kisimba kimizimu.

Huo ni mfano mmoja tu.
 
Koo za kisimba sio chama au taasisi, watu wa koo za simba wapo kibinadam kwenye taasisi na vyama mbali mbali. Na ukiwa kwenye yenye koo yenye matatizo na koo za kisimba kiasili, utaandamwa ukoo wako maisha, ile muwe duni tu. Au ukianzisha ugomvi na koo ya kisimba kwa uchawi, utapigwa vita vibaya sana.

Simba hawana uchawi wala ushirikina lakini ulianzisha nao, utajuta kuzaliwa. Ni koo zanye nguvu sana kimizimu (kiruhani).
 
Kujamiana, ni kujamiana hata na aliyekuzidi umri kwa kuwa una uwezo wa kujamiana? Hii jamii nayo ni ya siri? Mambo yao ni ya wazi au ni ya kishirikina?
Sio ushirikina na sio ya wazi. Jamii nyingi za Kitanzania kujamiiana ni mila yao kabisa.

Mfano Wamasai akikukabisha kwake, ni lazima ulale na mkewe. Hii ni mila iliyopo hivi sasa sio ya kusadikika.

Kuna mila nyingi za namna hiyo. Simba wao ni tofauti.

Kujamiiana kisimba ni kuweka alama ya himaya ya koo yao, kama vile porini wanaweka alama ya himaya (territory markings) ya kukojoa.
 
Mi ni Simba na huu usimba siutaki je natokaje? Siupendi maana shida ninayoipata ni kwamba nikimuomba Mungu YAHWEH ninaempenda mimi kumuabudu sijibiwi maombi yangu. Ila mi mambo yangu huwa yananiendea tu, except yale yaliozuiliwa na huo usimba
Unajitenga tu. Simba hawana tatizo na wapo wengi wenye dini zao tofauti tofauti. Sio chama kama uliingia utatokaje.

Mradi ukijitenga usitoe siri zao tu kwa uliyoyafanya nao, iwe ya kibiashara au kijamii.
 
Back
Top Bottom