siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi kwanini wanawake wa siku hizi hawavai hizi nguo?

    Zilikua zinawapendeza ila kwa uchunguzi wangu nilioufanya ,nimegundua siku hizi hawazivai. Shida nini wakuu?
  2. Siku za gulio Dar es Salaam

    Habari. Kwenye harakati za utafutaji hasa biashara tunahitaji watu. Kati ya maeneo ambayo mtu unaweza kufanya biashara kwa wepesi ni kwenye magulio. Naomba kujua siku za gulio maeneo tofauti tofauti Dar es Salaam. Kutaja utajua umesaidia Wajasiriamali wengi.
  3. Siri za zavuja stakabadhi zinazoonyesha Urusi ilipanga kuiteka Ukraine kwa siku 10

    Kilichokuja kutokea hakikutegemewa kabisa, Urusi iliangukia pua kwenye hili zogo na wanajutia balaa maana wanauawa kama senene na sasa Ukraine wameanza kulipua ndani ndani kabisa ya Urusi. A British defence and security think tank has revealed details of Moscow's pre-invasion plan for Ukraine...
  4. Unaanzaje kuahirisha sherehe za Uhuru? Ahirisheni na sherehe za Muungano

    Yaani inakuajekuaje mtu unaahirisha Sherehe za Uhuru? Uhuru? UHURU? Sababu kubwa? Pesa ziende kwenye MAENDELEO? Yaan Mnaacha mafisadi yanajipigia, Mnajipa masafari Kila kukicha, Mnajipa matumizi makubwa kupindukia, wafanyabiashara mmewaita wafanyabiashara wazuri, alafu from nowhere, Unazuia...
  5. Kuna haja ya kupigwa mswaki zaidi ya mara moja kwa siku?

    Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na saa hiz kuna jino linamsumbua nafkiri atafanyiwa nyingine. Wengine kila baada ya kula wanapiga...
  6. T

    Naamini lengo la CCM ni zuri lakini hili la kuteua wagombea siku moja kabla ya uchaguzi linafikirisha

    Kidumu Chama cha mapinduzi, Pongezi na hongera kwa kila mmoja aliyefanikisha uchaguzi wa Chama na jumuiya kwa ngazi zote. Mmefanikisha kuitekeleza demokrasia kwa vitendo. Kesho tarehe 07/12/2022 Chama kinakwenda kuhitimisha uchaguzi kwa kuchagua viongozi wakuu wa chama na wajumbe wa NEC Taifa...
  7. Hivi ni kwanini siku hizi serikalini wanaaajiri hasa wenye elimu ya diploma? Vipi kuhusu walioanzia degree?

    Jamani siku hizi nafasi nyingi zikitolewa au serikali wakihitaji waajiriwa Mara nyingi diploma ndo imekuwa kipaumbele,. Hiyo imekaaje ndugu zangu
  8. Jiunge Leo Katika Mafunzo Ya Siku 10 Kuhusu Uwekezaji Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Habari yako rafiki yangu, Naitwa Aliko Musa kutokea jiji la Mbeya. Mimi ni mwandishi mbobezi wa makala na vitabu vya mbinu bora za kuwekeza kwenye viwanja na nyumba. Ninawafikia wawekezaji kupitia mtandao wangu uitwao UWEKEZAJI MAJENGO. Nimekuandalia mafunzo mazuri sana ambayo yatakuwezesha...
  9. Je, ni kweli Bongo maisha yamekuwa magumu kwa sasa? Nimepigwa mzinga na wahitimu watatu ndani ya siku moja. Kiwango wanachoomba ndiyo kimenishangaza!

    Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela. Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni. Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao. KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake. HAWA ni graduate ambao...
  10. DOKEZO Mkuu wa Wilaya umeridhika kuona watoto wanakufa kwa kushindwa kuweka alama za pundamilia katika barabara ya Temeke-Tandika-Raha Leo?

    Uongozi mzima wa Temeke na Serikali lengo ni nini kwa hivi vifo na ajali katika hii barabara ya sehemu panaitwa Temeke-Tandika-Raha Leo? Watoto kila siku wanagongwa na magari na ajali za mara kwa mara. Je, mmeshindwa kuweka Zebra crossing au hata matuta? The entire leadership of Temeke and...
  11. Faru Weupe kupelekwa hifadhi ya Burigi Chato

    Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) imeiteuwa Hifadhi ya Burigi-Chato kuwa miongoni mwa hifadhi mbili nchini zitakazoendeleza kuhifadhi faru weupe ambao ni adimu zaidi nchini. Kupelekwa kwa faru weupe katika hifadhi hiyo ambayo ni ya tano kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zilizopo. Hivyo...
  12. Nina 40,000 Nifanye nini ifike 80,000 ndani ya siku 7

    Salam Wakuu Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
  13. Askofu Kanisa la Anglikana akutwa amekufa baada ya kutoweka siku tatu

    Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN), Boniphace Kwangu amekutwa amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha. Marehemu alitoweka tangu Novemba 28 na mwili wake kukutwa ukielea katika Ziwa Victoria eneo la Bukumbi Wilayani Misungwi. Akizungumza na...
  14. Wanaomuelewa Young Killer anaimba nini siku hizi, mbona kama simuelewi? Ameshindwa kuisoma gemu na kunyumbulika nayo

    Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy. Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa...
  15. Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani katika viwanja vya llulu Mkoani Lindi leo Disemba 1, 2022 Hotuba ya Rais Samia Suluhu Tunapozungumza magonjwa ya UKIMWI na VVU tunazungumza muda wa miaka 30 tangu yalipoonekana...
  16. Mhadhiri SAUT adaiwa kuuawa kwa kunyongwa

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo. Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
  17. Picha zikiwaonyesha Wazamiaji wakidandia meli kwa kukaa kwenye kizimba cha majembe ya kusozea meli kwa muda wa siku 11

    Watu watatu wamekutwa wamekaa juu ya kizimba cha majembe ya kusozea meli Mlinzi wa pwani ya Uhispania amewaokoa watu watatu waliopatikana wakiwa wamejiegesha juu ya ukingo wa majembe ya kusozea meli iliyowasili katika visiwa vya Canary kutoka Nigeria. Wanigeria Watatu Wapatikana Wakiwa...
  18. Hivi kitatokea nini kama ukiamua kukaa siku nzima bila kumuongelea mtu?

    Kipi kitakupata endapo ukiamua kuishi maisha yako bila kumuongelea mtu? kuna watu wanaongea sana hadi wanatukwaza sisi (introvert). Ifike hatua tujifunze kukaa kimya. Hamchoki?
  19. Hawa madada zetu siku hizi kama wanakwesa makambo, nampigania sana dada asiachwe kwenye ndoa yake

    Sister emekuwa na ujinga flani. Ana kiburi na mjeuri sana. Hatufikirii sisi nduguze tuliopo hapa. Amekuwa mbinafsi na kama ana mashetani. Akigombana kidogo na shem anamwambia kama vipi tuachane. Mimi namtizama sister kwa jicho fulani kuwa "sister usiseme hivyo tuangalie na sisi nduguzo" wala...
  20. Ajiua kwa kujinyonga siku chache kabla ya harusi yake

    Joseph Patrick Ngonyani mkazi wa Kijiji cha Makuyni kilichopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro amejiua kwa kujinyonga ikiwa zimebaki siku 29 afunge ndoa. Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea. Godlisten Malisa ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook kuhusu kifo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…