Septemba 15, Maadhimisho Siku ya Kimataifa ya Demokrasia

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
IMG_20230915_080325_200.jpg

Siku ya Kimataifa ya Demokrasia huadhimishwa Septemba 15 kila mwaka kwa lengo la kuangazia hali ya Demokrasia duniani kote, Kuhimiza harakati za Kidemokrasia na Kukuza Uhuru, Amani na Haki za Binadamu

Siku hii ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 na kila mwaka tukio hili hujikita katika kuhamasisha masuala tofauti yanayogusa Demokrasia ikiwemo Uchaguzi wa Serikali zinazoongoza katika Nchi

Kwa misingi ya Demokrasia ya kweli, Wananchi wanakuwa na Haki na Wajibu mkubwa katika Serikali yao katika Kuwachagua Viongozi wanaowataka na Kuwawajibisha.

===============

DKT. ANNA HENGA: ASASI ZA KIRAIA SIO UPINZANI
View attachment 2749920
Mkurugenzi huyo wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amesema bado kuna shida kubwa ya Wanasiasa Nchini Tanzania kuzichukulia Asasi za Kiraia kuwa kama Vyama vya Upinzani, jambo ambalo halina ukweli.

Amesema hali hiyo imekuwa ikijokeza mara kwa mara ikiwemo kuzinyima AZAKI Haki ya kuwa waangalizi wa Uchaguzi hali iliyosababisha Wananchi wengi kukosa taarifa mbalimbali za Uchaguzi na waliojaribu walikamatwa kwa madai ya kujumlisha Matokeo ya Uchaguzi.

Dkt. Henga ameongeza "Changamoto kubwa ya Kidemokrasia Nchini ni AZAKI kuonekana ni tishio kwa Serikali, kwamba wanataka kuchukua nafasi za Kiasiasa au Kupindua Serikali, ukweli ni kwamba Asasi hizi zinakuwa katikati kwasababu hazina Kadi wala Chama".

==============

DKT. HELLEN KIJO-BISIMBA: KUTOKUWA NA MGOMBEA BINAFSI KUNARUDISHA NYUMA DEMOKRASIA

Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Mkurugenzi Mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amesema ushiriki wa Wananchi katika Chaguzi unakuwa na mikwamo kutokana na Mifumo iliyopo kulazimisha Wagombea kutoka katika Vyama vya Siasa.

Amesema Suala la Uchaguzi linatakiwa kushirikisha Wananchi wote bila kujali upande wanaotokea Kisiasa na si kuwaachia Wanasiasa pekee. Pia, kesi ya kuwepo kwa Mgombea Huru katika Uchaguzi nayo ilifunguliwa ili kujaribu kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika Uchaguzi bila kulazimika kuwa na vyama.

Ameongeza kuwa Watu wengi wanatamani kushiriki Uchaguzi lakini wanashindwa kutokana na taratibu zilizopo kutaka Mgombea awe na Chama na wengine wamekuwa wakihama vyama kutokana na kutopewa nafasi ya kusikilizwa ndani ya vyama.

==========

CATHERINE RUGE: SHERIA MBALIMBALI ZINAKWAMISHA WANAWAKE KUSHIRIKI UCHAGUZI

Katibu huyo wa BAWACHA amesema Waraka wa Utumishi wa Umma No. 2 wa mwaka 2009 unaotaka mtumishi yeyote kuachia nafasi ya kazi baada ya kuteuliwa kugombea nafasi za Kisiasa umekuwa kikwazo cha Wanawake kushiriki Chaguzi kwasababu wanakuwa hawana uhakika na maisha yao

Amesema kwa jinsi mfumo wa Uchaguzi ulivyo nchi Tanzania, Wanawake ambao ni nguzo ya malezi katika familia wanakosa uhakika wa Kuchaguliwa na kuacha kazi ni hatari zaidi kwao

Ruge ameshauri katika Mbadiliko ya Sheria mbalimbali yanaendelea na yanayokuja, suala la kuacha kazi ili kushirika uchaguzi liangaliwe kwa upana wake.

==========

JOSEPH SELASINI: RUSHWA IMEHARIBU DEMOKRASIA NCHINI, WATU WANAINGIA NA MABILIONI

Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya #Demokrasia, Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi (Bara) amesema hali ya Kisiasa imekuwa ngumu hata kushawishi Vijana kushiriki Uchaguzi Huru kwasasa si jambo rahisi

Amefafanua kuwa Wagombea wamekuwa wakiingia kwenye Uchaguzi kwa #Rushwa za Mamilioni na Mabilioni ya Fedha kitendo kinachofanya Viongozi kuchaguliwa kwa kutumia Utajiri wao

Amesema ni wakati sasa ufanyike utaratibu wa kuhakikisha Watu wanaochaguliwa kuwa Viongozi wanatokana na kura halali za Watu na sio nguvu ya Rushwa.

============

JOHN MNYIKA: SERIKALI BADO INALAZIMISHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA USIMAMIWE NA TAMISEMI

Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa kauli hiyo kupitia Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Demokrasia na kueleza kuwa msimamo wa Serikali hadi sasa ni Uchaguzi huo kuendelea kubaki chini ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Amesema suala hilo linathibitishwa na uamuzi wa Serikali kutoweka kwenye mipago yake ya uwasilishwaji Bungeni wa Muswada unaogusa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika vikao vya Bunge linalokuja.

Mnyika ameongeza kuwa licha ya Maoni ya Wananchi kutaka Uchaguzi huo usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Ripoti ya Kikosi Kazi cha Rais bado kinashauri ufanyike utafiti zaidi ufanyike kabla ya kufanya mabadiliko hayo.

==========

This year’s theme for the International Day of Democracy, “Empowering the next generation,” focuses on young people’s essential role in advancing democracy and ensuring that their voices are included in the decisions that have a profound impact on their world.

Young people are the current and future custodians of democracy
An engaged, well-educated electorate is at the heart of strong democratic societies. Creating an environment in which young people feel their voice counts is crucial.

Young people must navigate a world in which democracies are under threat from factors ranging from the proliferation of online mis- and disinformation, to rising populism, and the destabilizing effects of the climate crisis. It is important everyone is able to meaningfully participate in the decisions that affect their lives now, and in years to come.

Unresolved conflicts, the rising threat of climate change and financial turmoil pose a constant threat to democracies around the world. “The walls are closing in on civic spaces,” warns United Nations Secretary-General António Guterres on the International Day of Democracy.

In his message marking the day, the UN chief blames the current spread of mis- and disinformation that is “poisoning public discourse, polarizing communities, and eroding trust in institutions”.

Given the damaging effect that this flood of false information can have on young people, this year's International Day of Democracy is dedicated to "Empowering the Next Generation" by focusing on the critical role of children and youngsters in ensuring democracy “today and in the future.”

Climate justice and democracy
The effects of the climate crisis on the physical environment are today impossible to ignore, and it is becoming increasingly apparent that it is a challenge to democracy: growing food insecurity, migration, water scarcity, and extreme weather events are driving conflict and weighing on the minds of voters.

Young people around the world have shown that they are extremely concerned about the climate crisis; in recent years hundreds of thousands of school age children, frustrated by the pace of negotiations to cut fossil fuel emissions, have taken part in large-scale marches, strikes, and protests.

Calls for climate justice have also been a feature of these demonstrations: young people realize that they are likely to suffer the consequences of an increasingly unstable climate, caused by the activities of earlier generations.

The United Nations recognizes the importance of empowering young people to take leadership roles on issues of international importance; the Office of the Secretary-General’s Envoy on Youth convenes the Young Leaders for the Sustainable Development Goals, a group of 17 changemakers whose leadership is catalyzing the achievement of the SDGs, and the Youth Advisory Group on Climate Change ensures that the Secretary-General hears directly from young climate activists, who can share strategies for advancing climate action.

The UN Democracy Fund (UNDEF) finances projects that empower civil society, promote human rights, and encourage the participation of all groups in democratic processes, including youth.
 
Back
Top Bottom