Ukiona taifa linapoteza hofu na Mungu ujue siku zinafika soon

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
633
858
Siku hizi chache hapa jukwaani kumekua kuna rise threads nyingi zikihofia uwepo wa Mungu!,

Binafsi nipende kutoa Onyo! Mungu akikasirika hii hii mitandao tunayo itumia kumdiss ataitumia kutuchapia nayo, na haki hamna atakae furahia kichapo hiki cha Mungu+

Si mnaona jinsi now mambo yanavyo tokomea na kuibuka mapya kijanja ambayo yalitabiriwa!

Teknologia jamani tuitumie kupeana habari na mambo mengine ila ni vyema kama hauna imani sio mbaya ukajikalia kimya, maana.

Huende Mungu akitiadhibu kwa hii A.I, trust me sasaivi hakuna msaada mkubwa wa viongozi au walimu, bankers, kila kitu now ukiangalia wanavyo jielezea ni kama Bots za wikihow! Or any sort of A.I

IMG_20230813_183622_802.jpg


Huenda mkaover react, kusema ni prove uwepo wa Mungu, ila both we know he is OUT THERE TUU AMNA NAMNA,

Najua wengi mnajikuta mkimsengenya kwa michango mnayochangishwa kanisani au kokote, mkizani wale ndo Mungu hapana, trust wale nao wana adhabu zao kali sana siku kikija kuwaka!

IMG_20230813_183622_875.jpg

Mimj binafsi naaminj uwepo wa Mungu. Ila imanj yangu sio kwa kupitia mskitini au kanisani, ila bado pia sina NGUVU YA KUPONDEA UWEPO WAKE MUNGU KWA MATENDO YA WATU WACHACHE,

Nimesema wachache maana always watu wazuri ni wengi kuliko wachache wabaya!

Embu tuache hii abits ili siku ikija kutokea basi tuwe standaby mode,

Tuitumie mitandao kufanya vingine vyote bali sio KUMDIS MUNGU.

Its wrong did guys
IMG_20230813_183622_851.jpg
 
Back
Top Bottom