Tahadhari: Makosa ya kiuandishi ya Gazeti la Daily News siku ya Leo ni Unabii kwetu sisi wana Jamiiforums. Chukua tahadhari nimeoteshwa

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Ndugu wana jukwaa,

Rejea mistake: No one is above law.

Si muda mrefu jukwaa linaenda kuvamiwa na mawindo ya wawindaji wa kutumika.

Mnisamehe sana si nguvu zangu wala uwezo wangu, Bali ni malaika niliopewa ndio wamenituma niseme haya.

Narudia tena ndugu wasomaji hata mkiona ni ujinga mnisamehe nina wajibu wa kuonya na kutoa tahadhari.

Tafadhari chunga vidole na akili yako, jitahidi sana sana kutumia fasihi yenye kiwango kikubwa sana Cha tafsida, na akili nyingi.

Ni desturi baadhi ya jamii hapa Africa hasa mifumo dhaifu hukosa vifua vya kuhimili uhuru wa kukosoana na kukosolewa.

Mungu awape nguvu, hekima, na maarifa yenye tahadhari kubwa sana.

Mungu awafunike kwa ulinzi wake.

Shukrani 🙏🙏🙏

Wadiz.
 
OP

Ulichopaswa kuelezea ni makosa ya kiuandishi na kifasihi yaliyopo katika gazeti la Daily News.

Kisha ulink makosa hayo na tahadhari yako.

Lakini ulichofanya hakina maana hata kidogo.
 
Nakuombea cheo cha u Yusuph wa mfalme wetu
Ndugu malaika wamehangaika sana na mimi hadi saa3 hii ndio nimeamka, imagine mimi nampenda sana January Makamba, cha ajabu aina ya ndoto imebeba uhusika wake, baada ya muda ntaomba malaika wanipe tafsiri pana niwaambie Watanzania wenzangu.
 
OP

Ulichopaswa kuelezea ni makosa ya kiuandishi na kifasihi yaliyopo katika gazeti la Daily News.

Kisha ulink makosa hayo na tahadhari yako.

Lakini ulichofanya hakina maana hata kidogo.
Nashauri unisamehe kwa hilo with vehement emphasis.
 
Back
Top Bottom