Hivi videvu vya siku hizi

Hivi videvu vya siku hizi

Joannah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2020
Posts
22,681
Reaction score
54,501
Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..

Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi...

Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣

Screenshot_20230912-133151_1.jpg
 
Ndevu ndio urithi pekee mzee wangu kaniachia,mzee ana ndevu kama osama,.kwa wanawake wengine ndevu uchafu
Uchafu wa ndevu unakuja pale ukiwa na matunzo mabovu,,.Mirefuuuu,rangi haileweki,ukila chakula vipande vinadondokea shabashhhhh ...Binafsi napenda mkaka atunze ndevu zake akinyoa kidevu kupata sipendi kabisa
 
Back
Top Bottom