Sija piga mswaki kwa siku tatu

Tanzaman

Senior Member
Apr 17, 2023
139
164
Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.

Kinacho nishangaaza ni kwamba sija piga mswaki kwa siku tatu na mdomo hauna harufu, nikienda kujisaidia choo hakina harufu, kifupi ni kwamba body ordur imeondoka, kikwapa sikisikii.

Je, hii inasababshw ana hizi Antibiotic niliyo chomwa nayo sindano na kama ndio itakaa kwa muda gani sababu nina nina furahia kuto toa harufu yoyote.
 
Mzee punguza Mbegu ni mbaya na ukiichukua unatakiwa kuisokota vizuri na iwe imekauka halafu nunua rizzla achana na magazeti halafu itandike chumbani....Sasa we unachukua na mbegu unataka uskie harufu??
 
Kwa hiyo lengo la kupiga mswaki na kuoga ni kuondoa harufu?
 
Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.

Kinacho nishangaaza ni kwamba sija piga mswaki kwa siku tatu na mdomo hauna harufu, nikienda kujisaidia choo hakina harufu, kifupi ni kwamba body ordur imeondoka, kikwapa sikisikii.

Je, hii inasababshw ana hizi Antibiotic niliyo chomwa nayo sindano na kama ndio itakaa kwa muda gani sababu nina nina furahia kuto toa harufu yoyote.
Ukimaliza dawa harufu ya mwili itaongezeka maradufu.

Kwa sasa bacteria wanao produce trimethylamine (chanzo cha harufu mbaya ambayo huwa unainusa mwilini mwako) kwenye intestines zako, wamepungua kutokana na baadhi yao kuuliwa na dawa unayotumia.

Wale bacteria wanaotengeneza trimethyl amine, ambao watakinzana na dawa hiyo unayoitumia sasa watasalia na, ndiyo hao, watazalisha kiwango kikubwa zaidi cha trimethylamine kwenye intestines. Hii itapelekea wewe utoe harufu zaidi baada ya hizo dawa.

Suluhisho
Kama harufu itarudi kwa wingi:
1. Ongea na daktari wako akupe vidonge vya probiotics
2. Tumia yorghut au mtindi kila siku
3. Punguza au acha kula nyama na samaki wa maji chumvi
4. Punguza kula maharage na njegere au karanga.
5. Tumia sabuni isiyo na marashi wakati wa kuoga
6. Usijipake perfume au roll on yenye perfume
 
Ongeza bidii, hadi funza wazaliane mdomoni kwako
 
Tanzaman dah nimelielewa sana hili jina tanzaman..kuhusu mdomo sidhan km unaweza kujijua mwenyewe mhemehe mtu
 
Ukimaliza dawa harufu ya mwili itaongezeka maradufu.

Kwa sasa bacteria wanao produce trimethylamine (chanzo cha harufu mbaya ambayo huwa unainusa mwilini mwako) kwenye intestines zako, wamepungua kutokana na baadhi yao kuuliwa na dawa unayotumia.

Wale bacteria wanaotengeneza trimethyl amine, ambao watakinzana na dawa hiyo unayoitumia sasa watasalia na, ndiyo hao, watazalisha kiwango kikubwa zaidi cha trimethylamine kwenye intestines. Hii itapelekea wewe utoe harufu zaidi baada ya hizo dawa.

Suluhisho
Kama harufu itarudi kwa wingi:
1. Ongea na daktari wako akupe vidonge vya probiotics
2. Tumia yorghut au mtindi kila siku
3. Punguza au acha kula nyama na samaki wa maji chumvi
4. Punguza kula maharage na njegere au karanga.
5. Tumia sabuni isiyo na marashi wakati wa kuoga
6. Usijipake perfume au roll on yenye perfume
Sante huwa mtumiaji sana wa deodorant na sabuni za Antibicteria itabidi niache kwanjinsi hali ilivyo bora niongee na Dr anipatie hivyo vidonge vya probiotics ili nisije patwa na hali mbaya zaidi .Shukrani kwako .
 
Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.

Kinacho nishangaaza ni kwamba sija piga mswaki kwa siku tatu na mdomo hauna harufu, nikienda kujisaidia choo hakina harufu, kifupi ni kwamba body ordur imeondoka, kikwapa sikisikii.

Je, hii inasababshw ana hizi Antibiotic niliyo chomwa nayo sindano na kama ndio itakaa kwa muda gani sababu nina nina furahia kuto toa harufu yoyote.
Kwanini hujapiga mswaki siku tatu???
 
Ukimaliza dawa harufu ya mwili itaongezeka maradufu.

Kwa sasa bacteria wanao produce trimethylamine (chanzo cha harufu mbaya ambayo huwa unainusa mwilini mwako) kwenye intestines zako, wamepungua kutokana na baadhi yao kuuliwa na dawa unayotumia.

Wale bacteria wanaotengeneza trimethyl amine, ambao watakinzana na dawa hiyo unayoitumia sasa watasalia na, ndiyo hao, watazalisha kiwango kikubwa zaidi cha trimethylamine kwenye intestines. Hii itapelekea wewe utoe harufu zaidi baada ya hizo dawa.

Suluhisho
Kama harufu itarudi kwa wingi:
1. Ongea na daktari wako akupe vidonge vya probiotics
2. Tumia yorghut au mtindi kila siku
3. Punguza au acha kula nyama na samaki wa maji chumvi
4. Punguza kula maharage na njegere au karanga.
5. Tumia sabuni isiyo na marashi wakati wa kuoga
6. Usijipake perfume au roll on yenye perfume
Hivi mtindi una bacteria inayoitwa lactobacillus reuteri?
 
Mzee punguza Mbegu ni mbaya na ukiichukua unatakiwa kuisokota vizuri na iwe imekauka halafu nunua rizzla achana na magazeti halafu itandike chumbani....Sasa we unachukua na mbegu unataka uskie harufu??
Kwahiyo jamaa anapiga kushabu kimtindo ama nini mkuu
 
Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.

Kinacho nishangaaza ni kwamba sija piga mswaki kwa siku tatu na mdomo hauna harufu, nikienda kujisaidia choo hakina harufu, kifupi ni kwamba body ordur imeondoka, kikwapa sikisikii.

Je, hii inasababshw ana hizi Antibiotic niliyo chomwa nayo sindano na kama ndio itakaa kwa muda gani sababu nina nina furahia kuto toa harufu yoyote.
We ni mchafu sana
 
Back
Top Bottom