siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kanuni zilizotungwa na Waziri kuhusu namna ya vyama vya siasa kuunda ushirikiano wa kisiasa zinaruhusu vyama kuunda Serikali ya mseto?

    Sheria ya Vyama vya Siasa(marekebisho ya sheria) ya mwaka 2018 katika kifungu 11(c) kinaruhusu vyama vya siasa kushirikiana kwa malengo ya kisiasa huku kanuni za kuunda ushirikiano huo zikiachwa mikononi mwa waziri husika. Swali langu ni je,wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu baadae mwaka...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto kukutana na Balozi wa Uingereza; Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze

    Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze. Kulingana na barua hiyo,Msajili...
  3. Mag3

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ajuta na kuwaomba radhi wananchi wa Marekani kwa kuambatana na Rais katika ziara yenye utata ikihusishwa na siasa!

    Wakati wa ziara iliyoleta utata. Mkuu wa Majeshi akiomba radhi... ==== Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
  4. GuDume

    JamiiForums Tanzania Siasa zetu na Hatma ya Tanzania: "Tungewawahi mapema Kuwanyonga"

    Tanzania ni nchi ambayo pengine inadhani ipo salama sana au ya kipekee kuliko nchi nyingine. Katika miaka yetu yote TZ imeshindwa kujifunza toka Rwanda,Burundi,Uganda,Kenya, Somalia,Sudan,Msumbiji n.k Hakuna mtanzania anayehangaika kufahamu na kujifunza nini kilisababisha kabila moja kuuawana...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ashutumu kushambuliwa kwa Mbowe, ataka uhuru wa siasa

    Msiyemtaka kaja yule naibu waziri wa mambo ya nje wa USA anayeshughulika Africa bwana TiBOR ambaye profesa wa majalalani kipindi fulani alienda kubembeleza na kulilia msaada ka strike again, anataka uhuru wa kufanya kazi za kisiasa jambo amabalo ni gumu kwa CCM mpya maana uwanja ukiwekwa sawa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

    Mh Rais Magufuli nakusalimu. Nimetoka Magereza hivi karibuni ambako nilikuwa huko kwa zaidi ya miezi minne kwa kunyimwa masharti ya dhamana kwa dhamana iliyokuwa wazi. Mh Rais, nimeona kwenye vyombo vya habari leo kuwa kwamba wale Wabunge waliokuwa wanataka kunisalimia nilipokuwa Magereza...
  7. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Unafiki kwenye siasa zetu na hatma ya maisha yetu; tukiendelea hivi ni suala la muda tu, kila mtu atalia kwa wakati wake

    Dunia kwa asili yake ina machanguo mawili, wema au ubaya, haki au dhuluma, ukweli au uongo, unafiki au kutokuwa mnafiki, na kila mtu au jamii ina hiari ya kuchagua upande. Aidha, kila mbegu ioteshwayo na mtu mmoja mmoja, kundi au jamii huzalisha matunda yafananayo na mbegu husika. Kinachotokea...
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kete muhimu kwa nafasi ya urais zikipewa ridhaa na Vyama vya Siasa hasa Upinzani

    Kuna watu makini nadhani yawezakuwa wanabanwa na katiba ama hawana interest na siasa lakini wakiamua, wanauwezo mkubwa was kuleta ushindani na kushinda kwenye nafasi ya uraisi kwa UCHAGUZI wowote, watu hao nipamoja na ; 1. Prof Assad, former CAG 2. Salim Backressa, mfanya biashara 3. Mhammed...
  9. Zitto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ado Shaibu: CHADEMA ni chama cha siasa. Kina haki ya kuandaa Wagombea Zanzibar

    MAJIBU YA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO ADO SHAIBU ALIPOULIZWA KUHUSU KAULI YA CHADEMA KUSIMAMISHA WAGOMBEA ZANZIBAR. Kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu msimamo wa ACT Wazalendo baada ya CHADEMA...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Siasa zinatufanya tumkufuru Mungu hata kuhusu corona

    Wengine tuliofiwa na Ndugu tokana na gonjwa hili la Covid 19 ndiyo tunajua machungu yake. Serikali yetu, naapa mbele za Mungu Wetu, ilipoamua kusimamisha kupima maambukizi ilificha mengi. Halijaisha juma moja nina uhakika na kifo cha Ndugu yangu mwingine kuwa kilisababishwa na corona. Ni kweli...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Unafiki ni sehemu ya maisha kwenye siasa hauepukiki awataka wanachama kutii kanuni hata kama ni kinafiki

    Mwenezi Polepole ambaye pia ni mlezi wa chama mkoa wa Arusha amewataka wabunge kuendelea kukutana na wananchi na kukamilisha ahadi walizotoa mwaka 2015. Hata hivyo Polepole amezuia watu wengine kufanya mkutano na wananchi kana kwamba wao ni wabunge. Polepole amewaruhusu wabunge kuwanunulia...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na upinzani kiini macho

    Tanzania ni moja ya nchi zinazosifika kama kisiwa cha Amani. Hii ni kutokana na namna siasa na utu wa watanzania unavyothamini Amani na utulivu. Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi tangia 1992 na hadi sasa chama kikuu cha upinzani ni chadema. Hata hivyo; vyama vya upinzani Tanzania...
  13. ubongokid

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa za uchaguzi na fursa kwa wajasiriamali

    Habari za wakati huu, Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao katika kipindi hiki cha COVID wamejikuta katika wakati mgumu kwa sababu moja ama nyingine katika biashara zao na maisha kwa ujumla na kwa wale ambao wameifariki dunia katika kipindi hiki wapumzike kwa amani. Nirudi kwenye mada kwa...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Sina maelekezo ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa na wala sijawahi kupewa hicho kitu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema hana maelekezo ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, mwaka huu. Akizungumza na Nipashe jana katika mahojiano maalum kuhusu mikutano ya vyama vya siasa kama inaruhusiwa kufanyika...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania ngumu kama Schrödinger’s equation. Angalia madudu hayo, ndiyo siasa za kwetu

    Siasa za Tanzania ni ngumu kama Schrodinger equation! Mara hawa hata wakiua mtu wasishitakiwe, wakiiba wasishitakiwe. Mara wakurugezi wameapa hawawezi kuiba kura; magumu kama ya Schrodinger! In simple terms, Schrödinger stated that if you place a cat and something that could kill the cat...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkakati wa kumg’oa Mwenyekiti Halmashauri ya Siha waiva. Sasa kung’olewa rasmi kesho, vita ya Ubunge yawa sababu

    Mpango wa kumg’oa mkiti wa halmashauri ya Siha waiva,sasa kung’olewa rasmi kesho . - Vita vya ubunge vyatajwa kama sababu ya kung’olewa Mwandishi wetu, Siha Mkakati wa kumvua madaraka Mwenyekiti wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro,Godson Ngomuo uliokuwa ukiratibiwa hivi karibuni na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza: Umma unapoamua hakuna itikadi ya chama cha siasa inayoweza kuwazuia

    Kiukweli nguvu ya Umma siyo mchezo na sina uhakika kama hii ndio Peoples power iliyokuwa inahubiriwa na Chadema. Nimeshuhudia: Mosi polisi wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba suluhu Pili, Wahudumu wa afya wanaipigia goti nguvu ya Umma kukubaliana nayo. Tatu, Wanasiasa wanaipigia goti nguvu...
  19. Sunbae

    JamiiForums Tanzania Chama gani cha Siasa kitapata Wabunge wengi 2020 na kwanini?

    Nina mjadala ningependa kupata maoni yenu yenye back up ya sababu unayohisi/kuwa na yakini chama X kitapata Wabunge wengi kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya siasa msiteue wabunge waliokaa miaka kumi au zaidi bungeni kugombea ubunge

    Hakuna sheria inayotamka ukomo wa mbunge. Rais tu ndio ana ukomo wa miaka kumi. Kuingiza damu mpya ni muhimu kwa vyama vyenyewe vya siasa na nchi ili kuingiza mawazo mpya na msukumo mpya. Naomba vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, mbunge yeyote aliyekaa bungeni miaka kumi au zaidi awe wa...
Back
Top Bottom