Nimejifunza: Umma unapoamua hakuna itikadi ya chama cha siasa inayoweza kuwazuia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,939
141,914
Kiukweli nguvu ya Umma siyo mchezo na sina uhakika kama hii ndio Peoples power iliyokuwa inahubiriwa na Chadema.

Nimeshuhudia:

Mosi polisi wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba suluhu

Pili, Wahudumu wa afya wanaipigia goti nguvu ya Umma kukubaliana nayo.

Tatu, Wanasiasa wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba poo

Nne, Papa wa Katoliki anamuomba Mungu baba aingilie kati nguvu ya Umma isilete madhara zaidi.

Pamoja na kwamba kule ni America lakini nimejifunza kitu.

Mungu awabariki

Maendeleo hayana vyama!
 
Ile ya U.S. haipo kibavicha bavicha ile sio ishu ya kisiasa ni ishu ya kijamii
Nguvu ya umma ipo kwenye makundi tofauti; inaweza kuwa kisiasa (uprising north Africa), kijamii (race), hata kiuchumi (ukosefu wa ajira n.k)

Kundi kubwa la watu toka kwenye hayo makundi tajwa hapo juu likiamua kuingia barabarani kupinga uovu dhidi yao tayari inakuwa nguvu ya umma.
 
Sasa hapo ni uma tu ingekuwa na kisu au kijiko?

Kiukweli nguvu ya Umma siyo mchezo na sina uhakika kama hii ndio Peoples power iliyokuwa inahubiriwa na Chadema.

Nimeshuhudia:

Mosi polisi wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba suluhu

Pili, Wahudumu wa afya wanaipigia goti nguvu ya Umma kukubaliana nayo.

Tatu, Wanasiasa wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba poo

Nne, Papa wa Katoliki anamuomba Mungu baba aingilie kati nguvu ya Umma isilete madhara zaidi.

Pamoja na kwamba kule ni America lakini nimejifunza kitu.

Mungu awabariki

Maendeleo hayana vyama!
 
Wakuu wa taasisi mbili kubwa za nchi wamemshindwa, bunge na serikali, wamerusha rusha miguu sasa wametulia, sijui nani mwingine atamuweza!.
Kifo, ili haki itendeke kwenye familia ya Aquilina!
 
Kiukweli nguvu ya Umma siyo mchezo na sina uhakika kama hii ndio Peoples power iliyokuwa inahubiriwa na Chadema.

Nimeshuhudia:

Mosi polisi wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba suluhu

Pili, Wahudumu wa afya wanaipigia goti nguvu ya Umma kukubaliana nayo.

Tatu, Wanasiasa wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba poo

Nne, Papa wa Katoliki anamuomba Mungu baba aingilie kati nguvu ya Umma isilete madhara zaidi.

Pamoja na kwamba kule ni America lakini nimejifunza kitu.

Mungu awabariki

Maendeleo hayana vyama!
Nguvu ya Chadema iliondoka ukuta ulipobomolewa kabla haujasimama. Kuahirishwa kwa Manadamano ya Ukuta imesababisha CCM kuichukulia Chadema Kama ma Shakira.
 
Tena huwezi kuta USA wanaandamana kisiasa, wenyewe huandamana kwenye kudai haki za kijamii km ushoga nk
Nyanda we ni shoga mbona unasema wanaandamana kudai haki za kijamii kama ushoga hivyo unataka watu waandamane kudai ushoga uhalalishwe Tanzania na we utakuwa kiongozi wao?
 
Wale wameelimika na wamestaalabika.
Usiwafananishe kabisa na akina sisi tanzania na kenya.

Unakuta mtu kwao kwenye familia yao kuna dhiki na ufukara,kwenye familia ile kakua kwa tabu,kasoma kwa tabu,anajua shida zote za watu wa jamii yake.

Lakini mwisho wa.siku akipata hata kazi ya uaskali tu wa aina yoyote ile,ANAONA BINADAMU WALIOKO MBELE YAKE OTE NI KAMA KUKU.

Kasahau shida.

Wew hebu jiulize.
Kulikua na sababu gani wale wakenya kuua watu wao kwasababu ya korona?

Maana kazi ya jeshi kwenye vita za magonjwa kama hizi walitakiwa tu.kuwaelimisha watu.
Lakini matokeo yake unawakuta na bunduki
Hili ni tatizo kubwa kabisa.
 
Nguvu ya Chadema iliondoka ukuta ulipobomolewa kabla haujasimama. Kuahirishwa kwa Manadamano ya Ukuta imesababisha CCM kuichukulia Chadema Kama ma Shakira.
Issue ni uungwaji mkono, watu wanashindwa kusoma alama za nyakati, mfano kwa sasa, the majority wako na JPM sa we jidanganye kuandamana afu vyombo vikae pembeni uone uhalisia wa nguvu ya umma, CHADEMA kimebakiza watukanaji mitandaoni na viongozi wa kitaifa tu, wenyewe wanalifahaku hilo na wanatamani hata uchaguzi uahilishwe.
 
Maandamano ya Chadema hata kwenye ofisi ya DED hayawezi kufika wanaishia kusababisha vifo vya raia wasio na hatia!
 
Back
Top Bottom