Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Naomba wahusika waniwie radhi kama nitawakwaza. Nimelazimika kuyasema haya . Siku za hivi karibuni umeibuka utaratibu wa viongozi wa dini kuita vikao wao au kushirikishwa katika vikao na kutoa maneno yanayoashiria kuwa wamepewa kitu kidogo na wenye nacho na hivyo kutoa matamshi yanayotia mashaka...
Ndugu zangu watanzania,
Kwakweli Mungu ni mwema kwa ametupa siku ya leo tena.
Ndugu zangu, inapotekea vipindi kama hivi, watu wanatafuta kura, watatumia mbinu mbali mbali, hasa wale ambao wenye sera mfirisi. Nimejiuliza maswali kadhaa hivi:
Je, ni kweli Chama Cha Mapinduzi (CCM), wachome moto...
Hawa sasa ndiyo viongozi wa kiroho wa ukweli na wanaojitambua na kujua nafasi yao katika Taifa, siyo kama wale wengine wajasiriadini na wasaka tonge.
Kongole kwenu KKKT chini ya Baba Askofu Fredrick Shoo.
Natamani sana kanisa langu RC waje na tamko zito kama hili au zaidi ya hapa.
Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT Dr Shoo amewaasa viongozi wa dini kutojifungamanisha na siasa kwani siasa ni mvhezo mchafu na viongozi wa dini hawapaswi kuwa sehemu ya uovu huo.
Askofu Shoo amefafanua kuwa hata hivyo hiyo haimaanishi viongozi wa dini wakae mbali sana na siasa bali wawe washauri...
Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:
1. Hakuna DINI inayoiwakilisha...
CHADEMA wamekuwa wakijitahidi Sana kufanya matukio ya kuvunja Sheria ili vyombo vya dola vichukue hatua na wawekwe ndani I'll wapigiwe kura za kuhurumiwa na wananchi. Huu Ni utamaduni mpya ambao CHADEMA imeouanzisha ambao haujaeahi fanya kazi ila chaguzi zao za ndani unaonyesha kufanya kazi...
Jaji mkuu Profesa Ibrahim Juma amesema ni marufuku kwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jaji wa Mahakama Kuu, Msajili wa Mahakama na Mahakimu kujiunga na Chama cha Siasa.
Profesa Ibrahim Juma amesema watumishi hao wa Mahakama wanabaki na haki moja tu ya kupiga kura waliyopewa katika Ibara namba 5 ya...
Siasa na Dini zinafanya kazi moja tu ya kuwaunganisha binadamu kwa njia ya kuwatawala ili kuwaletea maendeleo ya kimwili na ya kiroho.
Kiongozi wa dini siyo lazima awe anamuamini Mungu ndio maana kuna dini ya shetani.
Hivyo hakuna tatizo lolote endapo viongozi wa dini wataamua kuungana na...
Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari...
Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari...
Ukiingia katika website ya...
Mimi nawashangaa sana hawa wanafiki wanaojipendekeza eti ooh Tundu Lissu aache kuongea maneno makali dhidi ya Mukulu.
Hizi ni siasa, ukiambiwa kitu kwa hoja jibu kwa hoja na siyo kuanza kupiga mayowe hovyo hovyo kama mtoto mdogo.
Wahenga tuliookuwepo tangu 1995 wakati uchaguzi kupitia mfumo...
Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.
Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?
Niishie hapo kwa kifupi.
Maendeleo hayana vyama!
Tangu kuwepo kwa ushirikiano kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga mnamo Machi 9, 2018, kumekuwepo na maswali chungu nzima kuhusu hatma ya kisiasa ya Bw. Raila Odinga katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022 nchini Kenya.
Wengi wamekuwa wakikisia na kujaribu...
Napenda kuwakumbusha Wana ccm na wapinzani epukeni siasa za kuhujumiana nadhani mnakumbuka yalio tokea Znz na bara miaka ya nyuma wakati ule hapakuwa na teknolojia tunayo SASA.
Vyombo vya usalama jeshi la Wana nchi wa Tanzania na usalama wataifa wa tahadharisheni viongoz wakuu kwamba hili Taifa...
14 August 2020
Hai, Kilimanjaro
Tanzania
Madhara ya Marufuku ya Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa na kutishia machafuko nchini
Kufuatia kupigwa marufuku shughuli za kisiasa Tanzania sasa tunaona madhara yake katika maeneo fulani. Na athari zake zimekuwa kubwa kabisa...
Mungu ametunusuru na hili gonjwa la ajabu, sio tu korona kipindupindu surua tetekuwanga kaswende na mafua navyo vimetokomea. Sasa hivi ni adimu kumwona hata mtoto anamafua, ukipiga chafya watu wanaweza pitia madirishani kukukimbia.
Sasa hawa jamaa zetu wasaka kura sijui udhamini hawana...
Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam.
Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi.
Kwa kawaida mimi ni...
Siasa za ushabiki, Siasa zisizo za uzalendo.
Hii nchi ni takribani zaidi ya miaka 45 toka ipate Uhuru, ni nchi yenye rasilimali na utajiri wa karibu kila aina. Lakini Cha kushangaza hata uchumi wa Kati hatujafikia.
Na mpaka hatutaki kuvumbua shida nini inayotukwamisha tusifikie hata uchumi wa...
Mwanasheria Lissu anafikiri siasa ni sheria tu. Anataka kutuaminisha haki ni sawa na sheria. Lengo la kuwepo sheria ni ili kuwepo utawala wa haki. Ili kupata haki kunapotokea mtu kuvunja sheria kunakuepo wanasheria kutafsiri sheria.
Haki ni sawa na kweli, ipo tu. Uanasheria ni taaluma ya...
Kama Kuna Jambo litakalonipa amani wakati huu wa uchaguzi ni kuona wanasiasa wanajikita kwenye siasa za masuala( politics of issues).
Na kweli kiasi unaweza ona wanasiasa cut across wanaeleza issues.
Tatizo ninaloliona ni mashabiki wao au wanachama ukipenda. Wengi hawafuatilii issues na naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.