Uchaguzi 2020 Siasa za uchaguzi na fursa kwa wajasiriamali

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
1,858
2,000
Habari za wakati huu,

Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao katika kipindi hiki cha COVID wamejikuta katika wakati mgumu kwa sababu moja ama nyingine katika biashara zao na maisha kwa ujumla na kwa wale ambao wameifariki dunia katika kipindi hiki wapumzike kwa amani.

Nirudi kwenye mada kwa kuanza kueleza kuhusu msing wa fursa za kijasiriamali katika kipindi hiki cha uchaguzi.

Ni lazima tukubali kwamba Sayansi ya Siasa sasa imebadilika na sasa ni sector kamili ya kibiashara.Katika sekata hii sasa kuna kazi kazi kama Vile za kuhamasisha,kuburudisha na kuelemisha,kukusanya takwima,kutafiti na kupeleleza,

Kwa kawaida kwa mgombea wa ngazi za chini kabisa ambaye anataka kushinda anahitaji angalau timu ya watu 15 wanaofanya naye kazi moja kwa moja na zaidi ya watu 50 ambao sio wa moja kwa moja pamoja na volunteers.

Watu hawa 15 wnaweza kuwa nakazi mbalimbali na unaweza kuwaajiri kwa muda mfupi yaani miezi 4 kwa mashahara wa kati ya Shiling laki 3 hadi laki 5 kwa mwezi ambapo itakupasa kutenga angalau TZS milioni 4.5 kwa mwezi kwa ajili hio tu.

Unaweza kuamua kuajiri Professional Campaign & Election Consultants kwa gharama ya kama TZS Milion 2 kwa Mwezi ambapo wao wanakuwa wanahusika na maswala nyeti ya usimamizi wa Campaign yako mpaka uchaguzi.

Ni muhimu kuwa na mkakati iwapo unahitaji kuwa Kiongozi wa watu na kwa kufanya hivyo unakuwa umepiga hatua kwa kusaidia kupatia watu ajira kipindi hichi cha uchaguzi.

Kwa Wajasiriamali ni wakati sasa wa kuandaa products na huduma ambazo zitawafaa wagombea katika kuhakikisha kuwa wanawafikia wapiga kura na kuweza kuwashawishi ili waweze kupiga hatua.

Kwa msaada wa kuandaa Election and Campaigna Strategy, kuajiri Election Volunteers and Kufanya Fundraising kwa Ajili ya Uchaguzi katika ngazi yoyte tafadhali wasiliana nasi kwa pm
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom