nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
Msiyemtaka kaja yule naibu waziri wa mambo ya nje wa USA anayeshughulika Africa bwana TiBOR ambaye profesa wa majalalani kipindi fulani alienda kubembeleza na kulilia msaada ka strike again, anataka uhuru wa kufanya kazi za kisiasa jambo amabalo ni gumu kwa CCM mpya maana uwanja ukiwekwa sawa wanaenda kulialia kwa jeshi la Polisi wasaidiwe na wanasaidiwa kweli maskini ya Mungu
Haya over to you zee la jalaani msala huo jibu sasa hoja UELEZEEE JINSI MBOWE ALIVYOKUNYWA KONYAGI AKATELEZAAAAA AKAAANGUKA...DUNIA INAKUSUBIRI BABA
Haya over to you zee la jalaani msala huo jibu sasa hoja UELEZEEE JINSI MBOWE ALIVYOKUNYWA KONYAGI AKATELEZAAAAA AKAAANGUKA...DUNIA INAKUSUBIRI BABA