Siasa za Tanzania na upinzani kiini macho

Zee la kitaa

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
403
211
Tanzania ni moja ya nchi zinazosifika kama kisiwa cha Amani. Hii ni kutokana na namna siasa na utu wa watanzania unavyothamini Amani na utulivu.

Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi tangia 1992 na hadi sasa chama kikuu cha upinzani ni chadema. Hata hivyo; vyama vya upinzani Tanzania vimekuwa vikipambana kuchukua uongozi lakini vinakosa mbinu sahihi za kuzitumia ili kuaminika na wananchi.

Vyama kalibia vyote vya upinzani havina mikakati madhubuti ya kuchukua nchi ndio maana hata uchaguzi wa 2015 waliokoteza mgombewa wa urais. Chama kama CHADEMA kwa sasa kimefikia ukiongoni kwa kukosa maarifa ya kujiendesha na kubaki katika siasa uchwara.

Kwa mtazamo wangu naona 2020 watapata tabu sana kutetea viti vya ubunge achilia mbali nafasi ya urais.
 
Back
Top Bottom