Chama gani cha Siasa kitapata Wabunge wengi 2020 na kwanini?

Sunbae

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
254
176
Nina mjadala ningependa kupata maoni yenu yenye back up ya sababu unayohisi/kuwa na yakini chama X kitapata Wabunge wengi kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.


1591096401553.png
 
tafuta speech ya Dr.Bashiru kuhusu CCM kutumia dola kwenye uchaguzi utapata majibu ya maswali yako.
 
Kwasababu Ccm na Nccr mageuzi ni vyama vya kizalendo

Hao wengine wanatumika na Mabeberu
Huoni wakati tunapigania raslimali za Nchi wabunge wa Chadema waliamua kuwatetea Mabeberu, kuna mbunge wa act alienda USA kushawishwi tunyimwe mkopo

Ahsante Mkuu lakini hawa kina Lijualikali wanaoenda NCCR ndio wazalendo ama wazalendo gani unaowazungumzia.
 
Vyama halisi vya upinzani vitapata viti vichache ila mamluki wa lile genge la kigaidi watapata kaisi cha mboga
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom