siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. T

    JamiiForums Tanzania Siasa ya chikichi vs korosho mkoani Kigoma

    Wasalamu bandugu. Naomba Leo niongee kidogo kuhusu zao la chikichi mkoani kigoma. Watanzania wote tunafahamu kuwa Chikichi inastawi zaidi kigoma na mikoa ya pembezoni mwake. Ukweli ni kwamba zao hili halijaleta tija/maendeleo makubwa kama linavyovuma, hii inatokana na sababu nying ambazo sio...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya siasa: Mbinu za Rais Magufuli katika medani hii

    Nimefuatilia siasa za Tanzania kwa muda mrefu, nimefuatilia haiba, mienendo ya kisiasa ya watu mbalimbali maarufu nchini. Miongoni mwa hao, nimefuatilia namna ambavyo raisi Magufuli hufanya siasa zake. Ufuatao ni uchambuzi wa mbinu na tekniki amazo raisi Magufuli hutumia ili kufikia malengo...
  3. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Don Nalimison nimeachana na siasa za Afrika, nitakwenda kufanya harakati Marekani

    DON NALIMISON, I DECIDED TO LEAVE AFRICAN POLITICS FOR THE PURPOSE OF BULDING NEW AMERICAN(U.S.A). I was a Politician in Africa in Tanzania for many years for nothing without gaining support for changing African Continent thinking capacity. Africans in Africa do not need changes only they need...
  4. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Yapo mambo wanasiasa husitiriana. Mfano ni ajali iliyomuumiza mguu ndugu Mbowe

    Kwa kweli kwa hilo la mguu wa Mbowe linafikirisha mno! Ukweli ni kwamba wana siasa ni binadamu kama wengine na huamua pia kusitiriana kwa mambo kadha wa kadha ambayo kwao ni ya aibu. Mfano: Kuumia kwa mguu wa ndugu Mbowe ni wazi vyombo vya dola vimeaswa na kuelekezwa viachane nalo kwa sababu...
  5. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Course gani nzuri katika Utumishi wa Umma upande wa ajira?

    ...
  6. dosama

    JamiiForums Tanzania Naona kuna shida ya ajira au kupata fedha. Jimbo moja watia nia zaidi ya 500. Au siasa imekuwa ya yeyote anayeweza?

    1. Magufuli alisema kazi ya urais ni kazi ngumu sana anatamani aondoke hata leo, lakini bado kachukua fomu ya kuomba kuongoza dola (sio fomu ya kuomba nafasi ya chama kuwa mgombea). Na tena fomu ilikuwa moja tu. 2. Naona wakuu wa mikoa, wilaya, DED na wateule karibia wote wanataka kuwa wabunge...
  7. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania ni ngumu sana ila zitakuja kuwa na visasi!

    Nasema siasa za Tanzania ngumu sana ila zinaonekana mwisho wasiku zitakuja kuwa za malipizo kama siasa za nigeria! Ukiangalia watu wanaomizwa na siasa iwe chama tawala au upinzani ni wengi na wanayaweka wakipata madaraka watalipiza bila shaka huu ndiyo utabiri wangu kwa leo.
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Anguko kubwa kwa watu wote maarufu wanaodandia siasa za CCM wakati wa uchaguzi

    Mwaka huu wa 2020 kuna uchaguzi mkuu, kumekuwa na heka heka kila kona ya nchi, katika vyama mbali mbali watu wakipigana vikumbo kuomba kugombea nafasi mbali mbali, hususani viti vya ubunge. Kwa leo hapa nitajikita kuchambua heka heka hizo kwa nafasi ya ubunge hasa kwa chama cha mapinduzi (CCM)...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tathmini: Hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu 2020

    Kuelekeaa uchaguzi mkuu 2020, kama mtanzania wa leo, nimekuwa pia nikifuatilia harakati hizi na kwa nionavyo huu hapa ndiyo ulio ukweli mchungu: Pana watu wamejivika kuwa washauri wa upande wa upinzani kuwaasa hatari kuhusu uwezekano wa kwenda na Membe. Ukiangalia ushauri wao na maonyo yao...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  11. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Siasa iko moyoni

    Watu wanapenda vyama vyao
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Ryoba: TBC itaonyesha mikutano ya kampeni ya vyama vyote vya siasa, wanasiasa watumie lugha za staha

    Mkurugenzi wa TBC Dkt. Ryoba amesema shirika lake litaonesha mikutano ya vyama vyote vya siasa wakati wa kampeni. Dr Ryoba amewataka viongozi wa kisiasa kutumia lugha za staha na kuzingatia maadili ya viongozi. Kadhalika Dr Ryoba amesema atakuwa na kikao na viongozi wa vyama vya siasa ili...
  13. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad at 77th year anatafuta nini kwenye Siasa?

    Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan? Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Msajili: Mikutano ya Vyama vya Siasa inaratibiwa na Jeshi la Polisi kwa mujibu wa Katiba

    Ni katika kipindi cha Kipima Joto mubashara ITV Msajili Msaidizi Nyahoza amesema Msajili hausiki na uratibu wa mikutano ya kisiasa bali jukumu hilo ni la Jeshi la Polisi na ndio wanaopaswa kulitolea maelezo au elimu. Maendeleo hayana vyama
  15. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sayansi ya siasa inatutaka wana CCM kuendelea kuomba kura bado hatujashinda

    Mojawapo ya makosa makubwa ya Kampeni na uchaguzi duniani Kote Ni kumu-Underestimate opponent wako. Hili kosa huwa halifanyiki kwenye Siasa tu hata kwenye michezo na kwenye medani za kivita Ni kosa kuu Kati ya makosa makubwa yanayotajwa. Kuelekea October kila mwana CCM anayezungumza anasema...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Siasa 12 vyamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif wakidai ametoa kauli za uchochoezi

    VYAMA vya Siasa 12 vimeitaka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kumchukulia hatua kali za kisheria Mwenyekiti wa chama cha ACT wAZALENDO, Maalim Seif Sharif Hamadi kwa kutoa kauli za kichochezi ambazo anaenda kinyume na kanuni na sheria za vyama vya siasa nchini Pia, wamesema kiongozi huo...
  17. U

    JamiiForums Tanzania NEW Video: Rosa Ree - Kupoa {Official Video}

    Rapper wa Kike Tanzania Rosa Ree Ameachia Video ya nyimbo mpya inayoitwa - Kupoa Nimekuwekea hapa chini uitazame mtu wangu.
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke

    Makamu Wa Raisi Azungumza Na Wajumbe Wa Kamati Ya Siasa Na Sekretarieti Ya CCM Wilaya Ya Temeke Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa...
  19. Liverpool_Jr

    JamiiForums Tanzania Wakristo kwenye Siasa za Zanzibar mnakwama wapi?

    Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar. Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA... Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi? Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa naye ana timu...!!! #YNWA
  20. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Ukweli huu Kuntu wa Spika Ndugai lawama zetu tuzipeleke kwa Wabunge husika au Wapiga Kura Wao au Mfumo mzima wa Siasa za Tanzania?

    Ni ukweli usiopingika yapo mambo Watanzania hawayajui, ni kweli baadhi ya wabunge hasa hao wenye fujo, baadhi yao wanatumia dawa za kulevya, bangi na pombe kali. Anakuja pale si yeye, we unadhani ni yeye, kumbe si yeye, kwa hiyo ni tabu. Watu wa namna hiyo ukiwapa kamera ni tabu,- Spika wa...
Back
Top Bottom