siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mzalendo: Prof. Mbwiliza, gwiji wa historia ya siasa amlilia Rawlings lakini ameshindwa kulilia demokraisia, haki na maendeleo ya Watanzania

    Ninajua wasifu wa Prof. Joseph Mbwiliza kwa kina. Ni Muha wa Kasulu huko Kigoma na ni mmoja wa maprofesa wa mwanzo kabisa wa kutoka maeneo ya ziwa Tanganyika. Mtoto wa mkulima aliyepata elimu yake huko Marekani. Alishika madaraka makubwa serikalini na kwenye siasa. Amewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chama cha siasa chenye wanachama wengi duniani

    Bharatiya Janata Party (BJP), Chama tawala cha India kinashikilia rekodi ya dunia ya kuwa na wanachama wengi wenye kadi. Chama hiko kilikuwa na wanachama zaidi ya milioni 100 kwa takwimu za 2015. Chama hicho kiliingia madarakani na kuwa Chama Tawala mwaka 2014. == Narendra Modi's Bharatiya...
  3. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupitia historia ya siasa ya Afrika,nimegundua 80% ya nchi za Afrika ni majimbo ya nchi za Ulaya na Marekani na marais ni kama ma Governor Tu

    Leo nimepitia karibu nchi zote za afrika historia ya siasa zao na namna uongozi unavyopatikana nchi hizo..kimsingi nchi zetu hata zile ambazo zinaonekana zimetulia hazina vita vya wenyewe kwa wenyewe ujue kuna nguvu kubwa nyuma wanasaidiwa na hizi nchi za kimagharibi pamoja na marekani kwa kiasi...
  4. Mtukudzi

    JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi unafaa kuleta utangamano wa nchi na siyo kinyume chake. Amedai kuwa siyo siri nchi zinazoizunguka...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

    Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

    Wanabodi, JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu kitu hicho, na hiki ndicho mimi ninachofanya humu JF, kuwaelimisha wengine...
  7. Keynez

    JamiiForums Tanzania Video hii inatosha kutukumbusha utofauti mkubwa kati ya siasa za Marekani na Tanzania

    Najua wengi mnayafahamu mengi kuhusu tofauti za kimfumo na hata kiutamadumi katika siasa za Tanzania dhidi ya zile za Marekani. Moja ya jambo ambalo wengi wanaliongelea sana ni uhuru wa vyombo muhimu katika ufanyaji wa kazi na majukumu ya kisiasa. Huko Marekani, taasisi moja ambayo ufanyaji...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tusishupaze shingo tukaruhusu raia wetu wapewe ukimbizi Mataifa ya nje kwa sababu za kiusalama na siasa

    Tanzania ni nchi inayoamini katika Demokrasia. Demokrasia ni mfumo unaoambatana na Uhuru wa kusema, Uhuru huo wa kusema umewekewa mipaka na sheria pamoja na katiba na hakuna mtu mwingine mwenye mamlaka ya kumhukumu aliyesema kwamba ametenda kosa bali nafasi ya kuhukumu imeachwa mahakama. Upande...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Wabobezi' wa Siasa na Uongozi huu 'Ugonjwa' na kumshuhudia na kumfuatilia Mpinzani wako unaitwaje?

    Unajijua kabisa kuwa unamchukia 'Mtemi' mpya 'anayesimikwa' leo huko 'Omba Omba Land' na pengine tokea 'akuangushe' kwa Kiwango cha 84.4 katika Mpambano wake na Yeye umemtishia mno kumuharibia na mpaka kumshtakia kwa 'Wazungu' ambao nao leo hii 'wanaibiana' Kura huko Michigan, Georgia, Wisconsin...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Afande Sele: Wasanii wengi walikimbilia siasa wakitegemea umaarufu wao utawapitisha

    Msanii wa muda mrefu kwenye kiwanda cha muziki Bongo, Selemani Msindi, maarufu kama Afande Sele, amesema kwenye mchakato wa uchaguzi mwaka huu amejifunza kuwa wajumbe hawaangalii sura, pesa au umaarufu wa mtu ili kumpitisha kwenye uongozi. Afande Sele ametoa mtazamo huo baada ya wasanii wengi...
  11. DITOPILE WAPILI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Akili za kukariri na kuhariri katika siasa za Tanzania

    Matokeo ya Uchaguzi wa Tanzania yameanza kutoka tangu tarehe 29/10/2020 na Chama cha CCM kwa asimilia kubwa kinadalili ya kushinda ushindi wa kishindo. Vyama vya upinzani wakiwa wanabeza na kukariri kwamba CCM imepata ushindi kwa kuiba kura, kuendelea kukariri hivi ni makosa makubwa sana pia...
  12. 2019

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani ni muda wa kufanya kazi nyingine, siasa hailipi tena

    Namwamgalia Tundu Lissu namuona kama hana shida ya kuhangaika tena, apumzike ajilie mafao yake mdogo mdogo. Mbowe akifanya biashara itamtoa tu au hata kilimo. Zito Kabwe wewe sijajua una fani gani ila siasa sio dili tena, achana nayo kabisa. Godbless Lema wewe bora uendelee kutrade tu forex...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

    Wanabodi, Kwa vile uchaguzi wa Zanzibar pia umesababisha vidonda na bado ni vibichi, damu bado haijakauka, hivyo naomba kuanza bandiko hili kwa a healing massage ya kuponya vidonda kwa kuungana na Watanzania wengine wote wapenda haki, amani na utulivu, kutoa pole kwa wahanga wa kilichotokea...
  14. Juakali jr

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa siasa za nchi sio kama wa Simba na Yanga

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapa juu, sitapenda kurudia kusema yaliyosemwa na wengine kwenye uchaguzi huu. Ila mwenye hekima ataweza kutofautisha madhara ya ushabiki wa timu za mpira na ushabiki wa siasa za nchi, tutakapoamua kushabikia siasa kama tunavyoshabikia Simba na Yanga tujue...
  15. GuDume

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Siasa zetu: Miaka 25 ya uchaguzi wa vyama Vingi. Wapinzani awamu hii Mmekuja na lipi?

    Nilitamani sana kufikia hatua ya kuwa na nchi ambayo Chama kinachoshindwa kinasema "tunawashukuru wananchi kwa kura mlizotupa,hazikutosha tunajipanga upya kwa uchaguzi ujao" Sidhani kama nitafanikiwa kuiona nchi hiyo hasa nikiwa bado ni raia wa Tanzania na Mwafrika ninaye ishi Africa. Sidhani...
  16. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Siasa na vimbwanga vyake

    Wasalaam. Ile kauli ya "Ukiambiwa na Mwanasiasa mvua inanyesha nje wakati uko ndani, Usiamini moja kwa moja bali toka ukathibitishe mwenyewe". Hapa naamini walitumia kauli hii kuonesha Jinsi mwanasiasa katika siasa alivyo na ulaghai wa kila aina. Uchaguzi huu umekuja na vimbwanga vyake japo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nalipongeza Kanisa moja Katoliki na lile Anglikana kwa kutojiingiza kwenye Siasa za Uchaguzi

    Nichukie fursa hii kulipongeza Kanisa moja takatifu Catholico na Apostoliko kwa kutojihusisha na siasa za uchaguzi na badala yake limekuwa likiwaombea viongozi wetu na taifa kwa ujumla. Nalipongeza sana Kanisa Katoliki na Anglikana kwa kusimama katika nafasi yake nyakati hizi. Na kipekee...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa wazee walioshindwa kudumu kwenye mfumo wa siasa na sasa wanapelekwa mfumo unavyotaka

    1. Edward Lowassa - alikuwa na nguvu CCM , akawa na nguvu upinzani huku akihesabika Kama shujaa wa mabadiliko. Hakudumu kwenye huo ushujaa akakubali kurudi CCM hadhi yake ikaporomoka na sasa anafanya watu wanayotaka siyo yeye anayotaka. Kisiasa hana Tena ushawishi, anazeeka akiwa amepotea kwenye...
  20. Gama

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo siasa za kushikiwa akili

    Kwa akili hizi ni vema wapinzani wakaendelea kuwa wapinzani
Back
Top Bottom