siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Siasa ni kipaji siyo akili za darasani. Ya siasani hayapelekwi kwenye dini ila kinyume chake ni sahihi

    Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na Huduma za afya na kuyaweza hayo siyo lazima uwende darasani, amesisitiza. Askofu Gwajima pia amesema...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: RVS online TV yafungiwa kwa miezi miwili kwa kutotoa uwiano sawa kwa vyama vya siasa

    Tume ya Utangazaji Zanzibar imefungia kituo cha RVS Online TV kwa kutoa habari zisizo na uwiano kwa vyama vyote vya siasa na kurusha maudhui yanayoashiria uvunjifu wa amani. Tume ya Utangazaji imesema ilikiita kituo kiliitwa mara ya kwanza Septemba 9, 2020 ili kujibu hoja za ukiukaji wa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

    "Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika. ITV Tanzania Hata kama hawa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa Umma waliokatazwa na sheria kujihusisha na siasa wanavaa nguo za vyama vya siasa?

    Wapo watumishi wa mahakama, tume, vyombo vya dola na taasisi nyingine wamekatazwa na sheria kwa kipindi chote Cha utumishi wasijihusishe na siasa lakini aidha kwa kujua au kutokujua leo wanavaa nguo za vyama, wanaposti picha kwenye mitandao wakiwa na nguo za chama Cha siasa na kuandika katika...
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mabadiliko katika siasa za Tanzania yamejengwa sana na kauli ya kuunga mkono Juhudi

    Bishara ya kununua watu kwa ahadi ya madaraka au nguvu ya fedha itabaki kuitwa biashara ya utumwa siku zote. Waasisi wa biashara ya utumwa awamu ya tano Wana kila sababu yakulaumiwa na kukifanya chama kitumie muda na rasilimali nyingi kusaka watu ambao hawana mchango chanya kwenye mustakabali...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima. Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali. Kutokana na suala hilo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa hizi 'Siasa' za Tanzania 'ICC Chief Prosecutor' Bi. Fatou Bensouda apite sasa 'Kutusalimia' au aje rasmi 2025?

    Nimeona mahala kuwa huyu Mwanamama ambaye ni Mkuu wa Mashtaka katika Mahakama ya Uhalifu Kimataifa ( ICC ) anaenda zake nchini Sudan huko 'Kumalizana' na aliyekuwa Rais wa muda mrefu wa nchi hiyo na aliyefanya 'Uhalifu' wa kila namna Omar Ali Bashir ambaye yuko 'Kizuizini' huko. Kwakuwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Amani tuliyonayo hailetwi na vyama vya siasa bali Mungu wa mbinguni, Mungu iponye Mtwara!

    Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amewataka Watanzania kuwaombea wagombea wa vyama vyote tunaowapenda na tusiowapenda ili wapate kibali mbele zake Mungu. Mastai amesema amani tuliyonayo haijaletwa na chama cha siasa bali imeletwa na Yesu Kristo mwenyewe. Kadhalika Mchungaji ameomba rehema kwa...
  9. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa za Zitto: Serikali imegawa dawa ya Salfa ili kuua zao la korosho

    Anaandika mhe Zitto Kabwe mbobevu wa siasa za Tanzania na mtetezi wa watanzania. Mwaka huu Serikali ya CCM imeamua kuua kabisa zao la Korosho kwa kugawa dawa ya Salfa ambayo inakausha mikorosho. Wanasema wanawakopesha Wakulima Mfuko shs 32K kwa Ruzuku wakati Mfuko sokoni ni shs 35K. CCM wanatoa...
  10. Dorin Kaaya

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuchague moja, Tanzania kwanza au siasa kwanza

    Wana JF, Nimeandika uzi wa TANZANIA NI BORA KULIKO SIASA Nimepata reply nyingi na niseme wazi kuwa watu wengi wanaonekana kuichoka amani kwani ndani ya Tanzania wana-reply kwa hasira na chuki. Leo naomba TUCHAGUE lipi bora, Tanzania kwanza au siasa kwanza. Tukichagua Tanzania kwanza nadhani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi ihakikishie vyama vya siasa kuwa utekwaji wa mawakala hautakuwepo na Tume iwahakikishie haita waengua bila kufuata sheria na taratibu

    Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

    Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo. Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. Source: Radio One Maendeleo hayana vyama!
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Gwajima asiposhinda uchaguzi huu astaafu siasa, amefanyiwa kampeni kubwa sana na Dr Magufuli

    Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe. Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Burudani kwenye siasa haziepukiki ndio maana Tundu Lissu na Raila Odinga hucheza reggae, CCM hupendelea singeli

    Hakuna namna utafanya mikutano ya kampeni bila kuwachangamsha wahudhuriaji kwa burudani tofauti tofauti. CCM hupendelea kwaya na Singeli Chadema wao hupiga reggae kama ODM ya Kenya ACT Wazalendo hupendelea mirindimo ya Pwani NCCR mageuzi hupiga kwaya nk nk Kinachotofautisha aina za burudani...
  15. Dorin Kaaya

    JamiiForums Tanzania Tanzania yetu ni zaidi ya vyama vya siasa

    Wana Jf , Nimeangalia Tanzania na watanzania wanavyoishi kwa amani nikaamua nikuandikie wewe unae taka kuichezea amani ya nchi kuwa Tanzania ni ZAIDI ya vyama vya Siasa , Tanzania ilikuwepo kabla ya vyama vya Siasa kuwepo kimaanisha aridhi ya Tanzania na watu wake viliumbwa na muumba hapo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Karma katika Siasa za Tanzania

    Ndugu watanzania mwaka huu ni mwaka mtashuhudia mambo ya ajabu na kushangaza mm nayaeleza ili Kwanza kuwafungua macho wale hawajuwi maana ya Karima na Kuwa Saidia wale Wana wania nafasi za uongoz Kuwa makini na midomo Yao ili Karima isiwakumbe. Karma ni Ile hali ya unamtendea MTU Jambo Baya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ijue Haki ya Vyama vya Siasa na Wagombea Kuteua Mawakala

    Ufafanuzi huu ni kwa mujibu wa kifungu cha 57 (1) na (2) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, na kifungu cha 58 (1) na (2) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 Chama cha siasa kinaruhusiwa baada ya kupata ridhaa ya Mgombea au Wagombea kuteua na kuwasilisha kwa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua yangu na wito wangu kwa IGP, Tume ya Uchaguzi na wenyeviti wa Vyama vya Siasa Taifa

    1. Tusimamie haki, tutende haki na tuhamasishe watu wetu kutotumia nguvu inayo dhuru mtu, ua watu , kupoteza watu na kuharibu uchaguzi. Toka tulipoanza na tulipofikia kuna matukio mengi tayari (kwa mujibu wa picha na malalamiko). Tunakokwenda na baada ya uchaguzi matukio hayo yasiwepo kamwe. 2...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ya ujenzi wa shule kwenye Ilani za Vyama vya Siasa ikoje?

    Shule za mkoloni zinaonesha kuchoka na kulegea. Watoto wa kusoma wanaongezeka kila mwaka shule haziongezeki. Kanda ya ziwa hakuna chuo kikuu cha serikali ni vijitawi tu. Jana nilimuona mgombea anasema ataongeza madarasa matatu kweye shule yenye madarasa 10 na wanafunzi 3300+ nikapenda kujua...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda siasa popote walipo

    Tutarajie kufurahia/Tutarajie kufadhaika Vitu vinavyoongelewa na CCM mtu CHADEMA hawezi kukiona cha maana kwakuwa moja kiu yao ni kuona chama chao kinatawala nchi siku moja na na kipindi chao cha kutaka adhma yao hii itimie ni kipindi hiki watu wa CCM wawavulie kwakuwa ukweli siku zote...
Back
Top Bottom