siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Uchaguzi uliopita umetuacha uchi kama Taifa. Watanzania wamekata tamaa kwa Siasa zinazoendelea Nchini

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 2020, umelivua nguo Taifa. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea). Katika waraka wake wa Kheri ya Mwaka Mpya 2021, alioutoa kwa wanachama wa chama hicho na Watanzania amesema, Taifa limeingia...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba siasa ni mchezo mchafu?

  3. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyopita si ndwele Tugange yajayo 2021 Vijana chapeni kazi siasa tutazikuta tena 2025 tukijaliwa uzima!

    Huu ni mwaka wa kuchapa kazi bila kujali itikadi zetu za kisiasa kwani yaliyopita yamepita sasa tusonge mbele. Makelele ya wanasiasa hayasaidii sana kwani mwisho wa siku wanaonufaika ni wachache. Mfano makamanda wa CHADEMA wamepiga sana kelele na kejeli za kisiasa lakini mwisho wa siku...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

    Aiseee Dege limejaa Kama lote abiria ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo ni waongo sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamani.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Unaichunguzaje Bandari nzima wakati CEO wake yupo kazini? Hii inakuwa ni zaidi ya siasa

    Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini. Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam. Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Siasa za Afrika zinaharibiwa na watawala walioko madarakani

    Siasa za Kiafrika zimejaa hila uhuni mauwaji jinai utekaji hujuma wizi na kila aina ya uovu. Yaliyotokea Tanzania ndio yanatokea Uganda kwa Museveni. Somo la historia tunalofundishwa kuwalaani wazungu na ukoloni wao kwetu inabidi tubadili mtaala wake kwasababu viongozi wa Afrika wa sasa ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Ingeundwa Wizara ya Dini ambayo ingesimamia mahusiano ya dini na siasa

    Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa. Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema: Shushushu aliyebadili siasa za Tanzania

    Ni mmoja wa Tanzania ambao siasa za Tanzania wanazijua A to Z. Aliwahi kutoa siku saba kwa majambazi kusalimisha bunduki na majambazi wakasalimisha silaha, silaha zikachomwa kama kuni. Alipoibua ufisadi wa Singasinga Chavda juu ya mashamba ya mkonge aliyoyapata kwa ufisadi, alijikuta anapewa...
  9. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Siasa na walimu wapya 2020, hajapewa hela ya kujikimu wala mshahara mwaka huu

    Hope kila mmoja ameshiba pilau. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu. Namshukuru Mungu mtoto wa baba yangu mkubwa ni moja ya kijana walibahatika kupata ajira ya ualimu mwaka huu(alikuwa mzigo), But alipangiwa mkoa wa mbali sana na tulipo hivyo baada ya...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU sasa yasema inaanza kuchunguza Vyama vya Siasa kuhusu fedha za mfuko wa jimbo

    Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele. Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni...
  11. T

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda katika kiza kinene cha siasa

    Uganda ipo katika Giza nene la siasa. Kinachoendelea Uganda kinamtisha Rwanda japo kinacho endelea Uganda kitazuwa Jambo nchi majirani. Pray for East Africa.
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  13. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Siasa: Biashara Kariakoo zinakufa kisa kuwapenda na kuwakumbatia machinga

    Tangu awamu ya 5 ya Rais wetu JPM iingie madarakani imekuwa ikitoa kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga. Pamoja na malengo mazuri ya serikali kuwasaidia wamachinga lakini pia wafanyabiashara wenye maduka nao wanatakiwa kuwekewa mazingira mazuri ya kufanya biashara...
  14. Bee Network

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya watu kukimbilia siasa hasa nafasi ya Ubunge

    Takwimu zinaonesha kuwa mbunge analipwa mshahara wa shilingi milioni 3.8 kwa mwezi, posho ya mwezi shilingi milioni 8, posho ya kikao kimoja ni shilingi 240,000 kwa siku, posho ya kujikimu shilingi 120,000 kwa siku. Baada ya miaka mitano ya ubunge wake anapokea pensheni ya shilingi milioni 240...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu muhimu kwa Taifa wanajitenga na siasa Tanzania?

    Duniani wanasiasa ni mchanganyiko wa makundi ya watu waliopo kwenye jamii, kukosekana kwa makundi haya nikukosekana kwa washauri wazuri ndani ya Bunge. Bunge linapaswa liwe na wastaafu wa Jeshi la Wananchi hasa senior officials, senior Government official wa aina ya Mkuchika, wafanyabiashara...
  16. battawi

    JamiiForums Tanzania Bila Katiba mpya, Upigaji kura hauna maana yeyote

    Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania. Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963. Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache...
  17. bahati93

    JamiiForums Tanzania Falsafa nongwa za Heraclitus: Part Two

    Wanajamii habari gani Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi. Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa mbadala wa Maalim Seif kwa Siasa za Upinzani upande wa Zanzibar?

    Maalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye mshindi. Jua lilichomoza na Sasa just limezama, Maalim nguvu na pumzi vimemuishia kiasi kwamba Sasa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumrejesha Mbowe Bungeni tutakuwa tumefunga rasmi siasa za Uchaguzi na kujielekeza kwenye kuchapa kazi

    Kwa sasa mijadala ya siasa za uchaguzi inaelekea ukiongoni na yule Robert Amsterdam anakwenda kuufyata mkia wake. Maalimu Seif na ACT-Wazalendo kwa ujumla wamekubali yaliyopita si ndwele tugange yajayo na sasa ni rasmi Zanzibar imetulia. Huku Tanganyika bungeni vyama vya upinzani wamejaa...
  20. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Bara na Visiwani bado una hamu na Siasa za Tanzania?

    Sina muda wa kuandika magazeti. Bara kuna kundi limechukua pesa ili wasaliti wenzao waende bungeni. Bado mna imani nao? Kutokana na figisu za uchaguzi bado una imani na siasa? Visiwani Kulikua na vurugu kuliko bara. Mara uchaguzi tar 27 mara tar 28 changanya na kura fake sijui watu kupiga na...
Back
Top Bottom