siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Baba Askofu Mtetemela pale KKKT Mbezi Beach yamenishawishi kuachana na siasa za "Kishabiki"

    Kiukweli jana nilibarikiwa sana na mahubiri ya askofu mkuu mstaafu wa Kanisa Anglican Donald Mtetemela aliyoyatoa kwenye mkutano mkuu wa Sinodi ya DMP katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach. Kwamba William Wilberfoce aliingia bungeni huko Uingereza na kujenga hoja zilizopelekea biashara ya utumwa...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

  3. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Chama tawala na Wapinzani Tanzania siasa zenu zinayumbisha Wananchi

    Wakuu, Haya ni maoni binafsi kuhusiana na mienendo ya siasa za Tanzania. 1. Chama tawala-mmepewa dhamana ya kuongoza watu wa imani, itikadi, rangi, kabila zote bila kujali nafasi ya kiuchumi, kiuongozi, kiusalama, kiafya na kijinsia ili wajikwamue kutokana na lindi la umasikini ambaye ni adui...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo

    NIMERUDIA kuisikiliza Hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mara kadhaa. Hii ni hotuba inaweza kudumu kwa muda mrefu sana kama rejea sahihi ya maamuzi sahihi yaliyowahi kufanywa na CHADEMA, tangu mfumo huu wa vyama vingi uanze. Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo katika siasa...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

    Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa Wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao. Kauli hiyo ameitoa hii...
  6. Queen Esther

    JamiiForums Tanzania Siasa ya CHADEMA ni ya matukio

    Great Thinkers habari za asubuhi, Kwa kweli tangu CHADEMA ianzishwe kimekuwa ni chama cha matukio na kutengeneza movie zisizoisha. Kwa sasa tuna movie ya Wabunge Viti Maalum ambao nyepesi nyepesi zinasema Mwanasheria wa kuzaliwa Halima Mdee anaongoza timu hiyo (Wapare wanauza Ng'ombe kwa kesi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ukiwa na mwanamke kwenye siasa akiwa na cheo kikubwa huwezi kumshauri

    Sijawa na jibu sahihi kwa swali langu, je hawa wanawake hakuna hata mmoja mwenye mume ambaye alimshauri na kumkataza kwenda kuwa viti maalum kuwa atakuwa ameona madhara yake, sasa mkewe kafukuzwa uanachama na ubunge hatogombea tena, mwanaume anamuambia nn mkewe au anamshaurije kwa sasa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Matamko ya usiku kama tuko vitani hayana afya kwenye siasa

    Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la CHADEMA kuhusu Wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa. Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa. Msituchoshe jamani. Maendeleo hayana vyama!
  10. msovero

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  11. K

    JamiiForums Tanzania Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

    1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake. 2. Mahakama kwa Tarehe...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

    Mnyika anasema... Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzani jifunzeni kupitia siasa za Zanzibar, Nawaasa CHADEMA, ACT Wazalendo waende kwa hatua

    Mada inahusika. Hakuna kurudi nyuma na ni muhimu kusoma alama za nyakati kufikia malengo yaliyokusudiwa. SOMO KUTOKA ZANZIBAR. Huwezi kuzungumzia siasa za upinzani Zanzibar ukamuacha Maalim Seif na wenzake na siasa za wakati huo za CUF. Maalim Seif na wenzake walipitia hatua kadhaa katika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi sitashabikia siasa kabisa humu jamvini namuombea tu Magufuli

    Inakuwaje wanajamvi! Nimekatishwa tamaa sana na hawa madada hasahasa Halima. 2010 uchaguzi nilikuwa bongo likizo na tulilinda kura zake hadi akashinda. Hule msafara wake kuelekea bunju bagamoyo rodi nilikuwepo tukishangilia. Ni mambo yanayokatisha tamaa sana. Sisi waafrika watu wa ajabu...
  15. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na siasa rasmi. CHADEMA walinihatarishia ajira yangu ya umma ila leo wameunga juhudi

    Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sana kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu. Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchungu umeisha woteee. 1. Viti maaalumu wamepewa. 2. Tundu yupo Ubelgiji anakula soseji. 3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi. Kwahili...
  16. paul sylvester

    JamiiForums Tanzania Siasa za Ulaya mtu kusema uongo tu hiyo ni sababu tosha ya kuachishwa nafasi yake, wakati huku kwetu hicho ndicho kinachompaisha mwanasiasa

    Wakati kina Zitto, Sarungi, kina Lissu n.k wakiendelea kusambaza uongo juu ya nchi yao na hali ya kisiasa nchini, kule kwa wenzetu Ulaya, Amerika na sehemu zingine zilizostarabika na kuheshimiana, kusema uongo tu ni sababu tosha ya kuwajibishwa kisiasa na hata kutolewa katika nafasi mtu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Siasa na Uchumi kwa mwaka 2021

    Nianze kwa kusema utabiri wangu utajikita zaidi kwenye hali yakisiasa na uchumi ila ikiwa tu serikali yangu haito badili sera za uchumi kwa walizo kuw nazo ktk mwaka 2020. Ajira niwazi kuwa kwa kipindi kimepita sera za serikali haziku stimulate uajiri ktk secta nyingine ukiacha ujenzi ndio...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Pemba, Wanawake watatu wapewa talaka kwa sababu za kisiasa

    Wakinamama takribani watatu wamethibitika kupewa talaka baada ya hekaheka za uchaguzi. Wete katika jimbo la Gando mume ametoa talaka kwa bi. Zawadi Ally Haji "Niliachwa kipindi hicho cha siasa, mume aliniambia nikienda kupiga kura ndio talaka yangu na mimi nikaenda, nilivyorudi jioni ndio...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Muziki na Siasa ya Wasafi Tour 2020. Eti Wamesahau

    Ninapokumbuka muziki na siasa namkumbuka msanii aliyevuma sana nchini , wakati huo hapakuwa na Diamond wala nani , huyu ni MARLAW alikuwa na kipaji sana na kuelekea kampeni za urais 2010 nyimbo zake zilikuwa HITS kwenye radio top ten zote Mwaka 2010 alipata deal la kampeni akazunguka nchi nzima...
  20. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Tukiweka siasa nje Rais Barack Obama ni moja ya watu waungwana sana!

    Ana madhaifu mengi kama binadamu, alifanya makosa kama binadamu lakini ukimfuatilia vizuri huyu Mzee utatambua kwamba ni moja kati ya watu waungwana mno. Kuna baadhi ya mambo mabaya alikuwa anafanyiwa nadhani ni vigumu binadamu wa kawaida kuyachukulia kirahisi au hata kuyapuuza. Mtu wa kawaida...
Back
Top Bottom