Sheria ya uchaguzi inasemaje juu ya mawakala wa vyama vya siasa?

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Nawaombeni Ndugu zangu mnieleweshe juu ya Sheria ya Uchaguzi inasemaje juu ya mawakala ya Vyama vya Siasa kwenye vituo vya kupigia kura. Leo nimemuona mgombea fulani wa Chama fulani akisema kuwa hakitaeleweka kuhusu mawakala wao kama hawataapishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliwasimamie kwenye vituo vya kupigia kura.
 
Je Ni Haki Mgombea wa CCM kukutana na MDed kipindi hiki... wasimamizi wa uchaguzi?

Tume itatenda haki?
 
JPM ajiandae The hegue,
Kwa hii kauli yake watanzania hawataki hata kuisikia.

Nimekupa ajira.
Nakupa mshahara.
Nakupa posho.
Nakupa gari
Nakupa nyumba na bado unakwenda kumtangaza mpinzani iiiii.

Alaaniwe Mungu atuepushie huyu Muhutu.
 
Usiseme wa Tanzania sema wewe dada yako na mume wa dada yako
Rudi nyuma uone kuwa Aquilina Aquilin alipigwa risasi kwa nini? Wale waliokuwa wanaandamana walikuwa wanaandamana kwa sababu gani? Je hujuma ile yaweza kurudiwa tena na Wakurugenzi? Utapata majawabu.
 
Tuombe tupatiwe amani,utulivu,upendo na HAKI ktk uchaguzi.
Sitegemei kama kuna mtu atakataliwa kupiga kura siku hiyo 28th Oct kwa madai kwamba hajulikani na msimamizi wa kituo.
 
Back
Top Bottom