Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
healthcare
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
Ninaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hawa Viongozi wa Dini ambao huongoza dua na maombi kwenye mikutano ya kisiasa.
Ninachojua mimi ni kwamba, hawa ni viongozi wanaoongoza waumini wenye itikadi tofauti ndani ya madhehebu yao, chaajabu ni kwamba ukisikiliza Sala na maombi yao unakuta badala ya kua...
Na ASHA BANI -DAR ES SALAAM
WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umezitaka bodi za wadhamini wa taasisi zaidi ya 100 ambazo hazijafanya marejesho ya wadhamini hadi kufikia Juni, mwaka huu kufanya hivyo mara moja kabla ya hatua kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria ikiwa ni pamoja na kuzifuta...
Wanabodi salam!
Ninaomba kwenye huu uzi tujadili kuhusu ilani za vyama vya upinzani hasa vile ambavyo tayari vimeshatoa ilani zao.
CDM wao tayari wameshatoa ilani yao na sera yao kubwa ni
UHURU HAKI NA MAENDELEO.
ACT Wazalendo wao pia walizindua ilani yao jana yenye sera kubwa.ya "KAZI NA...
Utakuwa upumbavu wa hali ya juu kufanya vurugu za kisiasa, kupigana na kupoteza maisha kwa ajili ya mtu mmoja au wachache wapate wadhifa wa kula na kuishi vizuri zaidi.
Upumbavu huu umefanyika nchi nyingi, lakini mfano mzuri ni Libya ambako wanajuta kumpindua Gaddafi. Yani wao wakae makwao...
Sipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa Chama cha Siasa hali itakuwaje huko mitandaoni.
Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa?
Maendeleo hayana vyama!
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu wahenga wa siasa za Tanzania/Afrika;
Hivi vyuma vinne (Benjamin Mkapa, Yasser Arafat, Fidel Castro na Nelson Mandela) vilikutana...
Nimewasikia Viongozi wa vyama vya Siasa wakipaza sauti na kuwahamasisha wananchi waandamane nchi nzima kupinga kuenguliwa Kwa wagombea wao. Unawezaje kumconvince MTU akampambanie MTU ambaye sio chaguo lake?
Zamani wananchi ndio walikua wanawaomba watu wakawawakilishe kutokana na mahitaji...
Mimi ni Mwananchi niishie Dodoma katika walaya ya Mpwapwa, nakaa kijijini naweza kupaita porini kabisa. Tumeishi miaka yote bila huduma muhimu kama maji na umeme ambapo maji tumekuwa tukiyapata mbali visimani.
Tangu aingie madarakani JPM ameweza kusimamia vizuri ambapo umeme pamoja na maji vipo...
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana.
Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya kilichoitwa kufanya kampeni kabla ya wakati. Hili lilifikia wakati watu wengi tukasema kama ni kweli...
Mimi kama Mtanzania nashangazwa na viongozi wa CCM wa kisasa kuwa butu kiasi hiki.
Wakati wa Kinana walikuwa wazuri kujibu hoja, kuongea na wananchi na kupiga kampeni. Ukiangalia vizuri viongozi wa CCM ni kama wamezubaa ukilinganisha na Lissu, Membe, Zitto au Lipumba. Hii ni kwa sababu kwa...
Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa...
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
UPDATE:-...
Wakuu
Nimejaribu kufikiria baadhi ya falsafa za Yesu wa Nazareth katika uwanja wa Siasa, Nimegundua ni ngumu mno, na hazitekelezeki kwa wengi wetu.
Embu fikiria falsafa hii
" Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi" Yesu wa Galilaya
" Akunyang'anyaye mshipi, muachie na joho" Yesu wa...
Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC.
Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
Ndugu zangu,
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa nipa siku hii ya leo.
In a nutshell,
Post ya Mh. Mbowe kwenye twitter ni matusi kwa vyama vingine vya siasa nakuviona ni second class political parties.
Kwani uchaguzi huu ni CCM vs CHADEMA?
Mbowe amekuwa msemaji wa Vyama vingine vya Siasa...
Wewe ni mwekezaji tuu, na unahisa sizizozidi 49% hivyo Simba haiwezi kuwa Mali yako completely na kufanya utakalo bila ridhaa ya wengine.
Nani kakutuma umpigie kampeni Magufuli katika shughuli rasmi za club bila ridhaa ya wanachama? Club yetu haina itikadi ya kisiasa wala kidini hivyo ukome na...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohammed Dewji 'MO' amekutana na kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka duniani FIFA Gianni Infantino kuhusu masuala ya maendeleo ya mpira wa miguu hususan barani Afrika.
Baada ya mazungumzo hayo MO Dewji amemkabidhi jezi ya Simba SC ambayo...
Serikali imewataka wakimbizi waliopo nchini kuacha kujihusisha na harakati za kisiasa katika makazi ya wakimbizi yaliyoko katika maeneo mbalimbali nchini na kwamba wanapaswa kuishi kwa kuzingatia sheria za nchi.
Onyo hilo lilitolewa jana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.