Habarini wanajanvi,
Mwanangu amechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule ya secondary Morogoro. Natamani nimuhamishe kumpeleka shule ya secondary ya boarding ya serikali yenye ufaulu mzuri ambayo wanaweza kumconsider kulingana na ufaulu wake wa Std 7. Kuhusu Ufaulu wake ni kama...
Mkuu wa mkoa Kagera Brigedia Marco Elisha Gaguti amemuagiza Kamanda wa polisi mkoani humo Revocatus Malimi kuwakamata na kuwaweka ndani mara moja Mkandarasi wa Manispaa ya Bukoba, Mkandarasi wa Kampuni ya Mzinga Holding Company ambaye pia ni msimamizi wa ukarabati wa Shule ya Sekondari...
Hebu tafakari hili, unatembea mjini halafu upite karibu na nyumba inayolindwa na simba wala sio mbwa.
Hiyo ndio hali waliokumbana nayo wakazi mjini Lagos, Nigeria baada ya mmiliki wa nyumba moja kuamua kutumia simba kama mlinzi.
Simba huyo wa miaka miwili aliripotiwa kuonekana katika nyumba...
Wadau wa elimu naomba msaada.
Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?
Mwanangu kaja na kunisimulia.
Elimu ni nini?
''Elimu ni Kile Kinachobaki baada ya kuwa umesahau vyote ulivyojifunza darasani''. Albert Einstein
Kama una degree na unalima matikiti mwaka wa saba sasa, unapaswa kunyang'anywa cheti upewe cheti cha matikiti angalau.
Sasa jifikirie, anza kufikiri unakumbuka nini katika yale...
Watu wengi wamekua wakiota wako shule za msingi walizosomaga na wako hawajui maana yake
Tafsiri yake ni kwamba ukiota uko shule ya msingi maana yake kuna HBO unataka kufanya halina msingi mzuri
Mfano kuna MTU anataka kuoa ghafla usiku anaota yuko shule ya msingi, anajaribu kuambiwa msingi wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.