huyu naye amekosea ,tumsamehe bule.Mbona vyoo havikujengwa kipindi ambacho elimu sio bure? Pesa zilikuwa zinaenda wapi?
Kiufupi hakuna kipaumbele kwenye elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Majadiliano tungeyafanya wapi wakati vyama vya upinzani vilizuiwa kufanya mikutano ya siasa. Tulitegemea kuchangia hoja zetu na viongozi wetu amabo wengine walitumia muda wao mwingi magerezaniSky Eclat ww kama ww umefanya jitihada gani ili kupunguza kadhia hii kwa watoto wetu mashuleni? Au unasubir serikali itenge bajeti ya kujenga vyoo kwa maelfu ya shule...? Mbona mambo mengine ni wazazi tu wa shule husika kujiorganise kama wakiamua...
Dada yangu..Leo unatoa sababu kuzuiwa kufanya mikutano ya siasa ni kweli sikatai mmenyimwa haki poleni sana.Majadiliano tungeyafanya wapi wakati vyama vya upinzani vilizuiwa kufanya mikutano ya siasa. Tulitegemea kuchangia hoja zetu na viongozi wetu amabo wengine walitumia muda wao mwingi magerezani
He he he he"kwani watoto wameenda kusoma au kunya" by Wakudadavuwa
Sisi tunaonunua mijidege tena kwa cash na kujenga fly overs watoto wetu hata wale wa nje ya ndoa hawasomi huku.Mnanunua mandege na magari ya kunesa nesa huku watoto wenu hawana hata mahali pa kujisitiri haja!?