Kama taratibu zinaruhusu, shule hizi zihakikiwe

mputa

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
1,192
1,491
Kuna baadhi ya wanafunzi nawafahamu wametoka miongoni mwa shule hizi zinazoongoza kitaifa/form 4, wanapokuwa A level au hata chuo ukweli ni tofauti kabisa na ufaulu wao wa O level.

Hebu Wizara husika chukueni jukumu la kuwaita hao wanafunzi wa St. Francis wote na kisha just tafuteni utaratibu wa kuwapima uelewa wao usikute kuna mchezo mchafu, inatia shaka sana darasa zima kufaulu kwa pointi 7, hebu fuatilieni.
 
Zile tests wanazofanya wiki kadhaa kabla ya mtihani wa taifa ndizo za kuhakikiwa.

Walimu waseme hayo maswali huwa wameyatoa wapi.

Haiwezekani mfanye test leo, then kesho kwenye necta mkute 95% ya maswali yalikuwepo kwenye tests mliyofanya jana.

Unforgetable
 
mkuu usije kuwa unaharibu biashara za watu hahahaha atatokea Don muhuni atampeleka mtoto wake pale kwa nia ya kuchunguza tu alfu dogo akipata evidence mzee anaibuka anawablackmail anachukua pesa ndeeeeefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile tests wanazofanya wiki kadhaa kabla ya mtihani wa taifa ndizo za kuhakikiwa.

Walimu waseme hayo maswali huwa wameyatoa wapi.

Haiwezekani mfanye test leo, then kesho kwenye necta mkute 95% ya maswali yalikuwepo kwenye tests mliyofanya jana.

Unforgetable
Mwalimu makini kwa asili ya mtiihani yetu nirahisi kuotea mtihani. Hata mtoto anayejitambua, akifanya paper 10 tu zilizopita akazielewa vizuri anafaulu mtihani kwa A. Maswali mengi yanajirudia. pia hizi shule toka kuanza wanachukua watoto wenye ufaulu mkubwa na wenye ushindani lazima wafanye vizuri. Na walimu wao wanalipwa vizuri wanatumia muda mwingi kusoma. Hakuna maajabu , shule zetu za serikali walimu wamechoka wamejaa stress, hakuna muda wa kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi kwa ukaribu. Pia wanafunzi wananidhamu huko hakuna suspension,ukisumbua unafukuzwa. Mazoezi mengi yanasaidia sana kufaulu, muhimu mwanafunzi afanye kwa kuelewa atafaulu hataawe wa kata.
 
Shule nyingi wanafunzi wakati wa likizo hawaruhusiwi kurudi na material zozote za kieleimu kutoka shuleni kwao zaidi ya nguo zako tuu unganisha dots
 
Binadamu bhna, sasa hayo mabanda A si yamewekwa ili wapate wanafunzi wenye juhudi/au shule zenye juhudi ktk kufundisha...!! Wewe ulikuwa unatakaje.. St Fransis ni moto wakuotea mbali, pale wamejipanga kutoa elimu na kumpatia kila mwanafunzi kitu kinachohitajika..
Nakushangaa unateseka na watu waliofaulu kuliko hawa waliofeli ujue wanasaidiwaje katk hili..
Kama kuna figisu yeyote NECTA wangeweka hadharani, maana ktk usahihisaji wanajitahidi kufanya inspection za kila namna ili kujiridhisha kama upimaje ulikuwa wa haki bila madoa yoyote.
 
Kuna baadhi ya wanafunzi nawafahamu wametoka miongoni mwa shule hizi zinazoongoza kitaifa/form 4, wanapokuwa A level au hata chuo ukweli ni tofauti kabisa na ufaulu wao wa O level.

Hebu Wizara husika chukueni jukumu la kuwaita hao wanafunzi wa St. Francis wote na kisha just tafuteni utaratibu wa kuwapima uelewa wao usikute kuna mchezo mchafu, inatia shaka sana darasa zima kufaulu kwa pointi 7, hebu fuatilieni.

Nyie ndio wale mluoshindwa kujifunza kiingereza makajificha kwenye zungumza kiswahili tu, nchi zote zinazotuzunguka wanaongea zaidi ya lugha moja. Kilingala wanasema lilamu moko ezali nyoso te. Lugha moja haitoshi.
 
Kuna baadhi ya wanafunzi nawafahamu wametoka miongoni mwa shule hizi zinazoongoza kitaifa/form 4, wanapokuwa A level au hata chuo ukweli ni tofauti kabisa na ufaulu wao wa O level.

Hebu Wizara husika chukueni jukumu la kuwaita hao wanafunzi wa St. Francis wote na kisha just tafuteni utaratibu wa kuwapima uelewa wao usikute kuna mchezo mchafu, inatia shaka sana darasa zima kufaulu kwa pointi 7, hebu fuatilieni.
We peleka watoto wako kule St Mary's wakale chips kuku, wadekiwe vyumba vya madarasa, mabweni wafuliwe nguo, watandikiwe vitanda, lakini F4 wanapata divisheni za ajabu,
 
Kuna baadhi ya wanafunzi nawafahamu wametoka miongoni mwa shule hizi zinazoongoza kitaifa/form 4, wanapokuwa A level au hata chuo ukweli ni tofauti kabisa na ufaulu wao wa O level.

Hebu Wizara husika chukueni jukumu la kuwaita hao wanafunzi wa St. Francis wote na kisha just tafuteni utaratibu wa kuwapima uelewa wao usikute kuna mchezo mchafu, inatia shaka sana darasa zima kufaulu kwa pointi 7, hebu fuatilieni.
Kwani huko walikokuwa walifundishwa na masomo ya A leval pimbi au wewe kusoma huko Nyamisati ukafail inakuuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu makini kwa asili ya mtiihani yetu nirahisi kuotea mtihani. Hata mtoto anayejitambua, akifanya paper 10 tu zilizopita akazielewa vizuri anafaulu mtihani kwa A. Maswali mengi yanajirudia. pia hizi shule toka kuanza wanachukua watoto wenye ufaulu mkubwa na wenye ushindani lazima wafanye vizuri. Na walimu wao wanalipwa vizuri wanatumia muda mwingi kusoma. Hakuna maajabu , shule zetu za serikali walimu wamechoka wamejaa stress, hakuna muda wa kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi kwa ukaribu. Pia wanafunzi wananidhamu huko hakuna suspension,ukisumbua unafukuzwa. Mazoezi mengi yanasaidia sana kufaulu, muhimu mwanafunzi afanye kwa kuelewa atafaulu hataawe wa kata.
Wewe unamawazo kama yangu, wanafunzi wengi wanazani kufaulu ni kukariri summary za walimu, mazoezi na kusolve past paper hawafanyi hafu, kufikilia possible za maswali ya NECTA hawafanyi wenzao wakifaulu wanalalamika kuwa wameibia
 
Back
Top Bottom