Dar es Salaam makanisa yako mengi kuliko Shule za Msingi na Sekondari. Hii maana yake nini?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,600
2,000
Ni wiki sasa kila siku ninakuwa na safari ya nenda rudi Temeke to Mvuti kwenda kuangalia maendeleo ya kibanda changu kinachojengwa huko. Barabara kuu imejaa vibao vya makanisa kuliko vibao vya shule na vyuo.

Je, sasa Tanzania tunahitaji huduma za kiroho zaidi kuliko huduma za elimu na afya?
 
Dec 13, 2019
78
150
wanakusanya sadaka, waumini wanachanga hela wanajenga nyumba ya bwana anaishi mchungaji, wanamnunulia gari mchungaji anadrive mitaa ya msongola anakatiza mvuti hadi chanika kuhumia watu kiroho. wanaohudumiwa wanafanya kazi ngumu hela zinaatafunwa makanisani
 
nizakale

JF-Expert Member
Oct 23, 2019
1,195
2,000
Mbona nyumba za starehe kama bar na lodge zinaongezeka kila siku na hushangai ?
Ni wiki sasa kila siku ninakuwa na safari ya nenda rudi Temeke to Mvuti kwenda kuangalia maendeleo ya kibanda changu kinachojengwa huko. Barabara kuu imejaa vibao vya makanisa kuliko vibao vya shule na vyuo.

Je, sasa Tanzania tunahitaji huduma za kiroho zaidi kuliko huduma za elimu na afya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
7,041
2,000
Sababu maisha yetu yanaendeshwa kiimani, na wajanja wamegunduwa huko ndipo kwenye pesa, na wanapiga pesa kufa mtu, wajinga ndiyo waliwao...
 
Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,600
2,000
wanakusanya sadaka, waumini wanachanga hela wanajenga nyumba ya bwana anaishi mchungaji, wanamnunulia gari mchungaji anadrive mitaa ya msongola anakatiza mvuti hadi chanika kuhumia watu kiroho. wanaohudumiwa wanafanya kazi ngumu hela zinaatafunwa makanisani
Hii comment ni konki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom