Shule nzuri kwa watoto kuanzia miaka mitatu

superkabisa

Member
Oct 13, 2019
67
49
Kuna post nyingi kuhusu kutafuta shule ninaamini ni jambo muhimu kwa kila mzazi.

Ningependa uzi huu ndio uwe kimbilio la wengi kama unafahamu shule yoyote nzuri mkoa wowote mwaga sera zake hapa ada zake, mgawanyiko wa ulipaji.

Mimi ningependa kufahamu shule nzuri kwa watoto kuanzia miaka mitatu zilizopo jijini Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom