Mfanyakazi wa marketing anahitajika katika shule ya udereva

Manala An Academician

Senior Member
Oct 10, 2016
118
54
Sifa
1.Uwezo wa kujieleza na kumshawishi mtu
2. Mbunifu katika kuteka soko na mwenye uwezo wakutumia mitandao pia katika kufikia watu wengi zaidi kwa mda mfupi
3. Mwenye uwezo wakufanya kazi yenye matokeo kwa uaminifu mkubwa na bila usimamizi
4. Elimu kuanzia kidato cha nne nakuendelea
5. Wadada wenye uwezo mkubwa sana wakuzungumza na kushawishi watapewa kipaumbele
6. Uwezo wakuandaa mpango kazi wa kufanya marketing yenye matokeo makubwa kwa mda mfupi na kuitekeleza

Uzoefu
Kigezo hiki kitazingatiwa kwa ukaribu zaidi hasa kwa aliyewahi kufanya kazi ya kutafuta masoko

Usaili
Usaili utakuwa ni wa vitendo na utafanyika kwa kutembelea na kufanya marketing ndani ya Mkoa wa Dar Es Salaam, hakutakuwa na mtihani katika interview.

Mahali
Kazi kwa sasa ni mkoa wa Dar es Salaam na kazi ni ya mkataba wa mwaka mmoja mmoja na inaweza kuongezeka kutegemea na uwezo wa kufanya kazi

Mshahara
Ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa na inaweza kuongezeka kutegemea na matokeo ya utendaji kazi

Mawasiliano
Tupigie kwa 0757930779 au Whatsapp kwa hatua zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom