LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,115
- 27,105
Heshima mbele wakuu,
Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike
Ninachohitaji:
1. Iwe nzuri kitaaluma.
2. Kimazingira.
3. Kimalezi.
I prefer shule inayoendeshwa na taasisi ya kikatoliki. Mtoto anasoma hapa hapa jijini Dar es Salaam.
WHAT WAS ON MY MIND:
1. Loyola Secondary and High School: A friend of mine has told me kwamba Loyola wana utaratibu wao kwamba mtoto akiwa admiited anasoma kwanza English course kwa mwaka mzima something which is not necessary for my daughter cause she schools in a private school and she is good in English.
2. St. Marian Girls Bagamoyo.
3. St. Mary Mazinde Juu.
4. Lufungila Girls (Korogwe?) Nimeambiwa shule hii wapo vizuri sana kitaaluma.
5. Feza Girls (Nasikia wapo vizuri kitaaluma but sina uhakika kuhusu upande wa malezi hasa kwa.mtoto ambae ni mkatoliki)
6.St. Francis Mbeya, nimeambiwa hawa wapo vizuri sana kitaaluma kimazingira na.kimalezi na kwamba mtoto wako akipata nafasi hapo basi be sure that she will perform better in the inal exams.
Please wajuvi wa mambo fungukeni tafadhali. Kama unafahamu vizuri kuhusu shule nilizozitaja hapo juu au kama kuna shule nyingine unaijua please funguka.
With much thanks in advance