shule

  1. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu kwa waalimu shule binafsi

    Baada ya tangazo la mwendelezo wa lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini...
  2. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CWT: Wakuu wa Shule na Ma-MEK hawafai

    -Wengi wao ni vibaraka wa Wakurugenzi na Maafisa Elimu (DEO);Wametumwa --Wakuu wa shule, Waratibu Elimu Kata (MEK) hawafai kuchaguliwa Siku na Tarehe ya kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) utatangazwa muda wowote, hii ikiwa ni baada ya tarehe ya awali kuhairishwa...
  3. Kisabulo

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu wa biashara shule za msingi wa uuzaji barafu anipe mchanganuo

    Naomba mwenye uzoefu na biashara ya barafu shule za msingi anipe mchanganuo
  4. B

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Kufungua shule na vyuo April 27, 2020

    Kama ambavyo tumekuwa tunashauri, maisha hayawezi kusimama kabisa. Ni kweli lipo janga lakini tujikinge wakati mambo mengine yanaendelea. Tulisema kuwa baadhi ya nchi nyingi zili over react, of which hatulaumu lakini baada ya tathmini hatuna budi kusonga mbele. Shule zifunguliwe kama...
  5. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Nashauri hili Kuhusu kufunguliwa kwa shule na vyuo

    Nashauri, serikali ione haja kufanya tathmini ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona na itoe mwongozo mapema ili wazazi/walezi wajiandae mapema ki fedha na kisaikolojia kuhusu watoto wait kurudi shule hapo April,17,2020
  6. B

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Naomba shule zifunguliwe baada ya zile siku 30

    Kwanza nianze na pongezi kwa viongozi wetu wa nchi, waziri wa afya na wataalam wote washauri kuhusu hili suala la janga la Corona. Kwa kweli katika kipindi hichi cha tatizo, nimejivunia sana nchi yangu. Mengi yamesemwa, tumeandika na yameshauriwa humu. Natambua mlikuwa katika nyakati ngumu...
  7. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule msidanganyike na wachumia tumbo

    Watoto/wanafunzi wa msingi na secondary msidanganywe na genge la watu wanaojiita watetea haki za binadamu kwa kuwadanganya eti ukipata mimba utaruhusiwa kuendelea na shule! Ukipata ujauzito ukiwa shule ya msingi hadi secondary utafukuzwa shule ukaende ukaikuze hiyo mimba, ukajifungue, na kulea...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani

    Halo JF. Waswahili walisema tembea uone. Katika tembea na pita zangu mkoani Singida hususan wilaya Iramba, natua KIOMBOI mjini yalipo makao makuu ya wilaya. Nakutana na maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani. Katika shule hii kuna walimu wengi na walio wengi zaidi ni wanawake. Penye...
  9. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mimba za utotoni ni mkwamo mkubwa kwa mabinti walio shule

    Mimba za utotoni ni moja ya mkwamo mkubwa wanaopitia mabinti walio shuleni kuweza kutimiza ndoto zao. Katika kipindi hiki cha likizo ya ghafla hatari ya mabinti kupata mimba ni kubwa zaidi. Hata hivyo yafuatayo yanaweza kukusaidia kuepuka vishawishi na matamanio ya kingono;- Fanya mazoezi ya...
  10. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu. Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukifikiri kwa kina kuhusu jambo hili unaweza usimpeleke mwanao shule ya private

    Shule za private zipo za Aina kadhaa. 1. Zinazo milikiwa na Taasisi (eidha za kiserikali, zisizo kuwa za kiserikali au Taasisi za kidini) 2. Zinazo milikiwa na makampuni. 3. Zinazo milikiwa na watu binafsi (Sole Proprietors) Kwere yangu ipo kwenye number 3 Mmiliki wa shule akifilisika shule...
  12. Bishop Hiluka

    JamiiForums Tanzania Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17, 2020 Amesema, Serikali itafanya marekebisho ya ratiba ya Kidato cha 6, wanaotarajiwa kufanya...
  13. Blue Bahari

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani GPA kwa shule za secondary zinavyokokotolewa?

    Wakuu mambo vipi! Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nahitaji kufahamu namna GPA zinavyo kokotolewa kuanzia ile ya kila mwanafunzi, kisha somo na hatimaye GPA ya shule husika. Natumaini kupata michango kutoka kwa wadau waliopo humu kwa kuwa kuna wataalamu waliopita NECTA na sehemu...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Rufiji, Pwani: Shule nne zafungwa kutokana na mafuriko, Wanafunzi zaidi ya 3,000 kukosa masomo

    Shule nne za msingi zilizopo katika kata ya Muhoro, wilayani Rufi ji, mkoa wa Pwani zimefugwa baada ya kuzingirwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Shule zilizofungwa ni hizo Nyambapu, Muhoro, Kingongo na Kipoka na jumla ya...
  15. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Did you know? Secondary school girls are 3x less likely to become child brides

    Did you know? Girls who complete secondary school are 3x less likely to become child brides. #EachforEqual #IWD2020 #KizaziChenyeUsawa
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dada mwenye uzoefu wa kufanya sales, marketing na customer care anahitaji katika shule ya udereva

    Sifa: 1. Uwezo mzuri sana katika masoko, mauzo na huduma kwa wateja 2. Awe tayari kufika kazini kabla ya saa 12:30 asubuhi na kuondoka saa 12:00 jioni kwa Jumatatu mpaka Ijumaa na kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 12:00 jioni kwa Jumamosi 3. Awe tayari kufanya kazi yenye matokeo chini ya...
  17. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Wadau natafuta shule ya secondary kwa ajili ya mwanangu, yupo kidato cha kwanza, kwa hapa Dar shule gani nzuri napenda asome day, nipo Kimara ada isizidi 1,400,000
  18. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania TECNO Yatoa Misaada Ya Shule Kwa Watoto Yatima

    Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza wa masomo, kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo Chanika Jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha kurudi mashuleni mnamo Tarehe 22.Feb.2020 Msaada huo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara aagiza mwenyekiti wa CHADEMA aliyeuza kifisadi uwanja wa shule huko Tarime kukamatwa mara moja

    Naibu waziri Mwita Waitara amewaagiza Polisi kumkamata mara moja Mwenyekiti wa serikali ya mtaa kupitia Chadema aliyeuza uwanja wa shule kifisadi na kinyemela. Waitara amesema mwenyekiti huyo tapeli wa CHADEMA ameitia aibu serikali ya awamu ya tano kwa kitendo hicho cha kiutapeli. Naibu waziri...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kwa CV hii ya Dkt. Mashinji simuoni wa kumfikia pale Lumumba, jamaa kapiga shule namtabiria uteuzi wa mapema

    Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD. Nimeipitia CV ya Dr. Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema...
Back
Top Bottom