shule

  1. kibovu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa shule ya msingi anusurika kuachwa na mpenzi wake

    Igweeeeeeee Kuna dada mmoja ni rafiki yangu nimesoma nae masomoni china alikuwa na boy friend wake mwalimu wa shule yamsingi. Stori iko hivi wadau mwalimu wa shule ya msingi amezaliwa mkoani tabora akiwa mtoto wa kwanza katika familia yao ya watoto wanne,Marehemu baba yake ni mstaafu wa katka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Shule mpya ya Sekondari ya Kisarawe

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwako mkuu wa wilaya yetu ya Kisarawe! Napenda juhudi zako,u bunifu wako na fighting spirit chanya juu ya wilaya yetu. Sambamba na juhudi zako ndani ya muda mfupi kumekuwa na mabadiliko mazuri ndani ya wilaya, nakupongeza sana. Nije kwenye kiini cha...
  3. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma shule za msingi kwa kulipa karo

    Tanzania tumetoka mbali saaana. Leo nimekumbuka enzi zile nikiwa Primary School kuna siku nilirudishwa nyumbani kufuata karo. Kwanza kabla ya kurudishwa unachapwa fimbo za kutosha kama sita hivi
  4. Gia kubwa

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wamefungua shule za msingi | Je, sisi ni lini?

    Wanabodi nauliza tu hivi Corona bado ipo bongo? Jana niliona Al Jazeera Africa Kusini watoto wadogo nao wamerudi shule! Wao nadhani hawaogopi sana kufa kwa korona sababu kwasasa wana maambukizi 35,000, sisi 0.1! Nauliza tu, hapa kwetu ni lini tunafungua shule za msingi na chekechea aka vidudu...
  5. mkiluvya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta adokeza kuhusu shule na makanisa kufunguliwa

    Rais Uhuru Kenyatta ameagiza Wizara ya Elimu na ile ya Usalama wa Ndani kuharakisha mwongozo na mikakati ya kufungua shule na maeneo ya ibada itakayohakikisha usalama wa wanafunzi walimu na waumini. Alisema haya huku idadi ya walioambukizwa iliyotolewa jana ikiwa 59 huku watano wakifariki...
  6. Msovelo Jr

    JamiiForums Tanzania Shule Binafsi zinanyonya walimu wao

    Shule Binafsi zimeonyesha unyonyaji wa hali ya juu kwa walimu wao katika kipindi hiki cha korona. Shule hizi hasa mkoa wa Kilimanjaro jimbo Katoliki Moshi, wamewafanyia unyama waalimu wao wachapakazi wanaochangia mkoa wa Kilimanjaro kuwa juu kitaaluma, kwa kuwanyima mishahara waalimu wenye...
  7. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Shule ya Serikali Pwani kupewa jina la Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

    Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe kuisajili shule mpya ya wasichana Kisarawe kwa jina la mkuu wa wilaya hiyo, Joketi Mwegelo. Jokate amepokea taarifa hiyo kwa hisia na kusema hiyo ni heshima kubwa ambayo kuifikia amevumilia mengi ikiwemo baadhi ya...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wale Tuliosoma Shule ya Sekondari Makongo JWTZ Tukutane hapa Tukumbushane Vibwanga vya pale shuleni

    Siku zinakimbia kwa kasi sana wakuu, leo nimeamka natoka kwangu ile kufungua geti nakutana na mwalimu wangu mjeda wa Makongo yeye ameshanisahau kabisa ananunua kiwanja kinachopakana na Mimi, baada ya kusalimiana na kubadilishana namba nimemuacha aendelee na ratiba zake. Nikaanza kukumbuka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Shule na Vyuo vinapaswa kuzingatia ili kuwalinda Wanafunzi dhidi ya maambukizi ya #COVID19

    UTANGULIZI Baada ya Serikali kutangaza kuwa wanafunzi wa Kidato cha Sita watapaswa kurudi shule ili wakajiandae na mitihani yao ya mwisho inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Juni kuanzia Juni 29 mpaka Julai 19, nimeona kuja na mawazo ambayo yatatoa mwongozo kwa namna wanafunzi, walimu na...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Bwiru watakiwa kwenda na Malimao na Tangawizi shuleni

    Pia, soma Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi - JamiiForums
  11. Kasie

    JamiiForums Tanzania Elimu/Shule ya mahaba matata uliipata wapi?

    Habari za jioni. Kizuri kula na wenzio. Ukiguswa tafadhali elezea ulijifunzia wapi mambo ya Mahaba yaani utundu na ufundi wa 6*6. Acha kujua kuchomoa na kuchomeka laah hasha ujuzi na ufundi yaani umaridadi bin ubunifu bin sanaa ya mapenzi. Ulizaliwa nayo? Ulirithishwa? Au mpaka leo hujui kitu...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania England yajipanga kufungua shule Juni 1 (1/6/2020)

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amewataka wazazi wa watoto wa shule za msingi kujiandaa kwa kuwa shule nchini humo zitafunguliwa Juni 1 Boris amesisitiza kufungua shule za msingi japo shule nyingine hazitafunguliwa kwa kuwa vyama vya waalimu na wazazi bado hawana uhakika wa usalama kwa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Je, shule zikifunguliwa, wazazi tunasomesha watoto private tutalipa ada ya mwaka mzima?

    JF Baada ya mwanga kuanza kuonekana kwamba muda si mrefu shule zote zitafunguliwa hapa nchini kwa vyuo na kidato cha sita kutangulia ili kupima upepo Wamiliki wa shule binafsi hawako nyuma, tayari leo wameanza kutuma meseji kwa wazazi wakihamasisha tulipe ada huku wakitoa onyo kali kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Shein: Katazo la Shule kufungwa na michezo Zanzibar liko palepale hali ikiwa nzuri mtaambiwa na michezo na shule zitafunguliwa

    Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema katazo la michezo nchini mwao liko pale pale na kwamba hali ya mapambano ya Corona ikiwa nzuri wananchi wataambiwa na michezo na shule zitafunguliwa. Dr Shein amesema Zanzibar ina mipango yake na haiwezi kuiga nchi zingine ila watajitahidi ili wawe wanaenda kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, kabla ya watoto kurudi shule, wewe toka kwanza nyumbani kwako Chato rudi ofisini Ikulu

    Kwa mujibu wa sheria za nchi ofisi rasmi ya raisi ni Ikulu, Ikulu zozote zilizo ndani ya nchi na wala siyo nyumbani kwake. Kwa sasa zaidi ya siku 50 Rais anafanyia kazi za nchi ndani ya nyumba yake huko Chato, sijajua yale mafaili confidential ya nchi anayaweka sebuleni kwake au dining room...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali: Idadi ya Wagonjwa wa COVID19 kwenye baadhi ya vituo yapungua

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya Ugonjwa huo kwenye baadhi ya vituo vya matibabu imepungua na wengi wao wanaendelea vizuri. Ametaja idadi ya wagonjwa kwa siku ya leo kwa Mkoa wa Dar na Pwani katika Hospitali ya Amana kuna wagonjwa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

    Iko hivi: Endapo ligi luu Tanzania bara ikarejea na mechi kuchezwa katika viwanja mbali mbali hapa nchini, basi ni vyema pia vyuo na shule zifunguliwe na maisha yaendelee. Maana ukiachana na sehemu za viwanja vya mpira ambapo watu wanakusanyika kwa wingi pamoja na shule na vyuo. Sehemu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya shule kufungwa, haya ndio yanayoendelea kwa watoto walio Uswazi

    Naona WATOTO wadogo wengi wakiwa wamekusanyika pamoja wakiendelea na michezo yao tena kwa furaha kubwa na mama zao wakiwa nao wamekaa kwenye vikundi hapa mtaani story za hapa na pale zikiendelea. WATOTO waliorudishwa majumbani na serekali kwa nia nzuri tu ya kuwakinga na maambukizi haya ya...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Hizi hapa salamu za Jumapili kwa walioiba vitabu vya Shule

    Ni vema ukatumia muda huu kuvirejesha hata kama una mvi kichwani
Back
Top Bottom