shule

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania COVID-19 na anguko la Shule za English Medium

    Naliona anguko la shule za English Medium Tanzania. Naona wazazi wengi wakiwatoa watoto wao kwenye shule za English Medium na kuwapeleka kwenye shule za kayumba. Sababu? Sababu ni zile zile 1. Uhaba wa fedha: Wazazi wengi wataishiwa fedha na hivyo kushindwa kumudu gharama za kuwasomesha...
  2. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Walimu wa Shule za Umma kuchekwa na kudharauliwa kwa muda mrefu na Walimu wa Shule Binafsi sasa nao kibao kimewageukia

    WALIMU SHULE BINAFSI WALALAMIKA KUKOSA MISHAHARA KISA CORONA Chama cha Walimu wa shule binafsii nchini TPTU kimeiomba serikali kuingilia kati suala la madai ya wamiliki wa baadhi ya shule binafsi kusitisha mikataba na mishahara ya walimu kwa kigezo cha kuathiriwa na ugonjwa wa COVID 19...
  3. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe mishahara waalimu 89,475 wanaofundisha shule binafsi

    Wote tumemsikia rais wetu jana. Ujumbe kwenye ile speech, literally, ni "Mtanzania, chagua ufe kwa Korona au ufe kwa njaa". Amesema lockdown ni nonsense (iwe partial kama ya Kenya/Uganda au flully fledged). Amesisitiza uchumi wa watu na nchi utaporomoka tukifanya lockdown. Lakini, mimi naona...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tuzidishe maombi ili corona iyeyuke, fedha zinazochangwa zitunzwe zikajenge hospitali au shule ya kisasa, Bukoba wanafaidi shule ya hela za tetemeko

    Nahimiza watanzania tupige gombo la kutosha, tufanye maombi Mungu atajibu. Tukeshe mabarabarani, makanisani, misikitini na kila mahala. Hakuna haja ya kupoteza hela zinazochangwa kupambana na corona, pesa hizo zikusanywe ziachwe baadae zitumike kujenga mashule na hospitali. Yalichangwa...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe walimu wa shule za binafsi mishahara kwa RIBA ndogo kipindi hiki cha Corona

    Serikali iwakopeshe mishahara walimu wa shule binafsi kipindi hiki Cha Corona kwa RIBA ndogo sana. Ikumbukwe kwamba Hawa ni WATANZANIA wenzetu japo Kuna wachache sio WATANZANIA. Serikali ione huruma kwa maelfu ya WATANZANIA watakaoathirika kutokana na janga hili. Binafsi nimetoa machozi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule ya msingi Lusisi wilayani Wanting'ombe wamenikera

    Wadau corona ipo tuwe makini kwa kufuata maelekezo ya watalamu wa afya. Nije kwenye Mada. Shule zimefunga tarehe 17 Machi kutokana na hali halisi kwamba watoto watulie home, nmeamua kuwapiga vipindi mwenyewe. Kabla ya hapo niliwataka wajisomee wenyewe. Nilipowataka walete daftari zao...
  7. Mr. Purpose

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wamiliki wa stationary, shule, wanafunzi, waalimu na wadau wa elimu

    Habari wakuu, ni matumaini yangu mko vizuri. Leo nimewaletea fursa kwa wale wamiliki wa stationary, wamiliki wa shule au taasisi za kiellimu, wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi kidato cha sita na hata wazazi pia wanaweza nufaika. Upatikanaji wa material ya kujisomea kwa wanafunzi umekuwa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Serikali: Msiwaonee walimu haswa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata

    Halo wadau wa JF. Kuna tetesi nimezinasa kuwa serikali ina mpango wa kuwanyima posho walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata. Madai ya serikali ni kuwa hawa watu hawapo kazini ktk kipindi cha likizo isiyo rasimi au likizo ya corona. Lengo ni kuwa posho zao zielekezwe kuikabili eti...
  9. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu kwa waalimu shule binafsi

    Baada ya tangazo la mwendelezo wa lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini...
  10. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CWT: Wakuu wa Shule na Ma-MEK hawafai

    -Wengi wao ni vibaraka wa Wakurugenzi na Maafisa Elimu (DEO);Wametumwa --Wakuu wa shule, Waratibu Elimu Kata (MEK) hawafai kuchaguliwa Siku na Tarehe ya kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) utatangazwa muda wowote, hii ikiwa ni baada ya tarehe ya awali kuhairishwa...
  11. Kisabulo

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu wa biashara shule za msingi wa uuzaji barafu anipe mchanganuo

    Naomba mwenye uzoefu na biashara ya barafu shule za msingi anipe mchanganuo
  12. B

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Kufungua shule na vyuo April 27, 2020

    Kama ambavyo tumekuwa tunashauri, maisha hayawezi kusimama kabisa. Ni kweli lipo janga lakini tujikinge wakati mambo mengine yanaendelea. Tulisema kuwa baadhi ya nchi nyingi zili over react, of which hatulaumu lakini baada ya tathmini hatuna budi kusonga mbele. Shule zifunguliwe kama...
  13. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Nashauri hili Kuhusu kufunguliwa kwa shule na vyuo

    Nashauri, serikali ione haja kufanya tathmini ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona na itoe mwongozo mapema ili wazazi/walezi wajiandae mapema ki fedha na kisaikolojia kuhusu watoto wait kurudi shule hapo April,17,2020
  14. B

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Naomba shule zifunguliwe baada ya zile siku 30

    Kwanza nianze na pongezi kwa viongozi wetu wa nchi, waziri wa afya na wataalam wote washauri kuhusu hili suala la janga la Corona. Kwa kweli katika kipindi hichi cha tatizo, nimejivunia sana nchi yangu. Mengi yamesemwa, tumeandika na yameshauriwa humu. Natambua mlikuwa katika nyakati ngumu...
  15. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule msidanganyike na wachumia tumbo

    Watoto/wanafunzi wa msingi na secondary msidanganywe na genge la watu wanaojiita watetea haki za binadamu kwa kuwadanganya eti ukipata mimba utaruhusiwa kuendelea na shule! Ukipata ujauzito ukiwa shule ya msingi hadi secondary utafukuzwa shule ukaende ukaikuze hiyo mimba, ukajifungue, na kulea...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani

    Halo JF. Waswahili walisema tembea uone. Katika tembea na pita zangu mkoani Singida hususan wilaya Iramba, natua KIOMBOI mjini yalipo makao makuu ya wilaya. Nakutana na maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani. Katika shule hii kuna walimu wengi na walio wengi zaidi ni wanawake. Penye...
  17. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mimba za utotoni ni mkwamo mkubwa kwa mabinti walio shule

    Mimba za utotoni ni moja ya mkwamo mkubwa wanaopitia mabinti walio shuleni kuweza kutimiza ndoto zao. Katika kipindi hiki cha likizo ya ghafla hatari ya mabinti kupata mimba ni kubwa zaidi. Hata hivyo yafuatayo yanaweza kukusaidia kuepuka vishawishi na matamanio ya kingono;- Fanya mazoezi ya...
  18. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu. Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukifikiri kwa kina kuhusu jambo hili unaweza usimpeleke mwanao shule ya private

    Shule za private zipo za Aina kadhaa. 1. Zinazo milikiwa na Taasisi (eidha za kiserikali, zisizo kuwa za kiserikali au Taasisi za kidini) 2. Zinazo milikiwa na makampuni. 3. Zinazo milikiwa na watu binafsi (Sole Proprietors) Kwere yangu ipo kwenye number 3 Mmiliki wa shule akifilisika shule...
  20. Bishop Hiluka

    JamiiForums Tanzania Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17, 2020 Amesema, Serikali itafanya marekebisho ya ratiba ya Kidato cha 6, wanaotarajiwa kufanya...
Back
Top Bottom