#COVID19 President Museveni live addressing on COVID-19

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
NBS Television @nbstv

Lockdown yapunguzwa makali.

1. Uganda kuzuia madereva wa magar ya mizigo kutokushuka kwenye gar pale waingiapo uganda. Watoto wa kike wa kiganda waonywa kutembea na madereva wa kigeni.

2. Uganda kutengeneza kwa wingi sanitizer kutokana na waragi ( pombe kali ya kienyeji). Wategemea kuzalisha nyingi na kuuza nchi za nje.

3. Uganda kuzalisha barakoa za kutosha. Waandaa viwanda maalumu vya kuzalisha barakoa. Wamechagua viwanda kama vitano tu kutengeneza barakoa zenye ubora sio za kushona ovyo ovyo.

4.Baadhi za shughuli kama kilimo na uzalishaji wa viwandaani kuendelea kama kawaida.

5. Waja na mbinu za kumaitain social distance kwenye maeneo yanayokuwa na mikusanyiko kwa wingi.

6. Uganda inaendelea kutafta chanjo ya covid 19. Wategemea kupata chanjo ndani ya miez 18.

7..mpaka sasa uganda hakuna kifo chochote kitokanacho na korona. Cases no 89. Recovered 19.

8. Shule zaendelea kufungwa.

9. Hakuna public au private transport, watu watumie baiskeli. Kutakuwa na magar maalumu for transportation.

10. Hakuna kutembeleana. Ni nyumbani to kazini na kurudi. Huna kazi hakuna kutoka
nyumbani.

11. Anayejihisi na dalili za corona akae kwake na apige simu ili wanaohusika na upimaji wa Covid 19 kumfata nyumbani. Sample itachukuliwa nyumbani kwa mgonjwa na kupelekwa kupimwa. Majibu yatamkuta mgonjwa akiwa nyumbani na si kumchanganya na wagonjwa wengine kabla ya kumpima.

12. Hoteli ziudumie kwa take away.

Inaendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app

======

The Ministry of Health on Monday evening announced eight new cases of Covid-19 bringing the total number of confirmed cases to 97.

Six of the confirmed cases were out of the 2,061 samples from truck drivers while two are from the community.

Five of the truck drivers arrived from Malaba border post while one was from Mutukula border point of entry.

One community case is a resident of Kyotera district while the other is a Ugandan truck driver from Mutukula. These were confirmed out of the 185 samples from the Rapid Assessment Survey.

So far, the total number of recoveries that have henceforth been discharged is 55. No fatalities have been registered.

Despite the rising number of cases brought in by mostly truck drivers, President Yoweri Museveni still insists that cargo transportation must continue arguing that stopping them would have a very detrimental effect on the economy since they bring in “essential goods”.

“Stopping these people would be suicidal, cargo has to continue,” Mr Museveni said in one of his recent addresses to the nation.

The President, however, put guidelines such as restricting the number of occupants in the vehicle and mandatory testing of truck drivers as a way of keeping the spread of the virus at bay. Truck drivers were also restricted from making unnecessary stopovers where they would easily come in contact with the community thus spreading the virus.

The President has also added another 14 day extension of the lockdown, having been under lockdown for approximately 44 days now, as medical experts continue to monitor the situation, especially now when there are some cases from the community.

He, however, allowed some 'crucial' sectors to resume work but under strict guidelines and must follow Standard Operating Procedures in place including compulsory wearing of masks while in public.

The partial opening up will see agriculture, construction, hardware shops, wood and metal workshops, vehicle garages, restaurants, wholesalers and warehouses allowed to operate.

Source: Daily Monitor
 
Haya tutaona nani mshindi pambaneni Wazee wa Africa mashariki.
 
Na imagine mtu kama huna
Baiskel unaenda kazin na nn??

Ngoja wakulu wa mashariki
Wapambane

stidy
 
Nimemsikiliza mwanzo mwisho. Highly articulated and knowledgeable, siyo kama hapa. Pascal Mayalla please tafuta hotuba ya jana ya Muzeveni uisikilize and compare and contrast na ya jamaa yako! We are neighbours na M& haya PhD
Asante nitaitafuta ila wao ni wao ni wao, na sisi ni sisi, hatuigi wala kuigana
P
 
hana kifo hata kimoja sababu ya strict lockdown
Believe that and you will believe anything!. Unaamini Rwanda na Uganda hakuna Kifo chochote cha Corona?!. Endeles kuamini kama ilivyo hapa kwetu Tanzania mpaka leo, the death toll ni 16!.
P
 
Believe that and you will believe anything!. Unaamini Rwanda na Uganda hakuna Kifo chochote cha Corona?!. Endeles kuamini kama ilivyo hapa kwetu Tanzania mpaka leo, the death toll ni 16!.
P
Uganda kuna uhuru wa habari. mtu anaweza kusema analofikiria bila kufuatwa na wasiojulikana/kutishwa kama ulivyotishwa. Rwanda naungana na wewe hao ni WAONGO WAKUBWA> Rwanda ni dictatorial regime kama hapa. hawawezi kutoa habari za Ukweli.
 
Believe that and you will believe anything!. Unaamini Rwanda na Uganda hakuna Kifo chochote cha Corona?!. Endeles kuamini kama ilivyo hapa kwetu Tanzania mpaka leo, the death toll ni 16!.
P
Vitu vingine utakiwi kwenda shule ili uweze kuvidadavua. Kila siku hapa Tz iconic people wanakufa na kuzikwa kama wahanga wa korona. Umesikia wapi kwa Ug na Rwanda? Kuna vitu vinaweza kufichwa ila sio vifo.

Tanzania kuna uhuru wa habari?
Sasa hivi subutu kutangaza kifo cha hata baba yako uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikiliza mwanzo mwisho. Highly articulated and knowledgeable, siyo kama hapa. Pascal Mayalla please tafuta hotuba ya jana ya Muzeveni uisikilize and compare and contrast na ya jamaa yako! We are neighbours na M7 hana PhD
Nafikiri watz wengi wakimsikiliza M7 alafu wakawekewa tume huru, magufuli hata kura laki 1 hapati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda kuna uhuru wa habari. mtu anaweza kusema analofikiria bila kufuatwa na wasiojulikana/kutishwa kama ulivyotishwa. Rwanda naungana na wewe hao ni WAONGO WAKUBWA> Rwanda ni dictatorial regime kama hapa. hawawezi kutoa habari za Ukweli.
Siyo kweli
 
Siyo kweli kwa vipi? fafanua
Hakuna uhuru wa habari kwamba unaweza ongea chochote usikamatwe ila walau bado wana uhuru kuliko sisi tena sana, ila kuna matukio ya kupigwa na kukamatwa waandishi wa habari
 
Na imagine mtu kama huna
Baiskel unaenda kazin na nn??

Ngoja wakulu wa mashariki
Wapambane

stidy
Kwa miguu..wenzetu uko wanategemea kilio asilimia kubwa sana.

Hata ivyo mseveni yupo makini ni kama kila kitu kakitaftia soln yake. Ameandaa magar maalumu yatakayotoa transport.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom