Kama ningefeli shule Ninayopitia Sasa bila Shaka nisingeyapitia.
Kama ningefeli shule bila Shaka ningeenda veta na Sasa ningekuwa na ujuzi Fulani.
Kama ningefeli shule bila Shaka jamii isingekuwa inaniangalia Kama inavyoniangalia Sasa,ningekuwa huru,nisingenyoshewa vidole ninapoendesha boda...
Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na hasira hasira tu sababu ya msongo wa mawazo
Watoto na wao wana msongo wa mawazo kutokana na ratiba ya...
Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda tufanye biashara
Uongozi wa Shule ya Msingi Mahenge B, Iliyopo Wilaya Ya Ulanga Inapenda Kutoa Shukruni kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru kwa Kuwa Mmoja wa Viongozi ambao Wamechangia kwa Namna Moja Au Nyingine Ujenzi wa Vyumba Viwili vya Madarasa na Ofisi ya Walimu wa Shuleni...
Nimewaza mengi na kuwaonea huruma. Lkn Cheo ni Dhamana, iwe ulihongwa au ulikipata kwa sifa za kiutendaji, ni DHAMANA
Inawezekana yako mengi katika yaliyofanya hawa watu watimuliwe, lkn Mh. Rais katika maongezi yake liko jambo kubwa kalisema ambalo ndio hasa limeshababisha WANA CCM KURUDISHA...
JIMBO LA KITETO: SHULE YA MSINGI KONGWE YA LENGATEI YATENGEWA MILIONI 145,772,640 UJENZI WA MADARASA 6 & MATUNDU 8 YA VYOO
Ndugu Wananchi Wenzangu wa Lengatei natambua uchakavu wa Madarasa na Miundombinu ya Shule yetu Kongwe ya Msingi Lengatei iliyoanzishwa 1970 ndani ya Jimbo la Kiteto kwani...
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam imemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili za kuwanyanyasa wanafunzi kingono.
Hatua hiyo imekuja siku nne tangu Mwananchi imeripoti tuhuma hizo zinazodaiwa kufanywa...
MZEE KIUNYA ANAOMBA KUMUONA MHE RAIS: HAAMINI MACHO YAKE KUONA SHULE MPYA IKIJENGWA KWENYE KITONGOJI CHAO
Kijiji cha Kigera cha Musoma Vijijini kimepokea Tsh 348,500,000 (Tsh 348.5m) kutoka Serikalini kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi mpya (Mradi wa BOOST) ambayo itakuwa ya pili, na...
Kwa mtazamo wangu, homework ni ushahidi kuwa walimu wameshindwa kutimiza wajibu wao. Mtoto akiwa shule anatakiwa amalize mambo ya shuleni hukohuko. Akirudi nyumbani awe na majukumu mengine ya nyumbani ili akili zake zitanuke katika vizio vyote.
Mbaya zaidi ni likizo. Likizo maana yake ni...
Nimekuwa nikijiuliza kwani kitambulisho maana yake ni nini? na kazi yake ni nini?, au vinatumika kwa baadhi tu ya watu na taasisi na sekta nyingine?. Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho ama ni mimi sifatilii mambo? Yawezekana kwao sio muhimu kwa sababu wanavaa...
Jina lake anaitwa Burton Mwemba or something but anajiita shekhe na of course anajua jua baadhi ya dua.
Swali; jina halisi la mtu huyu ni nani?
Tangu lini muislamu kutoka ujiji Kigoma akaitwa " Burton!!"
Alikuwa mkristo akasilimu au alirudia shule na kununua jina la mtu?
Dar es Salaam. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Halmashauri ya Kinondoni jijini Dar es Salaam zimeunda kamati kuchunguza tuhuma za vitendo vya kunyanyaswa wanafunzi kingono zinazodaiwa kufanywa na mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani.
Kamati hizo zinachunguza...
Umuofia kwenu,
Nguvu ya Taifa lolote ni vijana. Nchi inaweza kuwa na advancement kubwa kwenye teknolojia na sekta zingine lakini kukiwa na ombwe la vijana kwenye jamii ama nchi hiyo ni kujiweka rehani. Vijana wa jamii yeyote huandaliwa kushika hatamu pale wazee ama wazazi wao wanapoishia...
Ni jambo la kushangaza sana kuona serikali haifanyi jitihada zozote kuokoa jahazi la graduates wengi walioko mitaani bila kuwa na kazi yoyote rasmi.
Serikali inatumia gharama kubwa sana kuwasomesha hawa vijana ili wapate degree mbalimbali katika nyanja tofauti, baada ya hapo hatuoni jitihada za...
SERIKALI YACHANGIA UJENZI WA SHULE SHIKIZI YA KITONGOJI CHA NYASAENGE CHA MUSOMA VIJIJINI
Kitongoji cha Nyasaenge ni moja ya vitongoji sita (6) vya Kijiji cha Kataryo. Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Tegeruka ya Musoma Vijijini.
Mwaka 2017, wananchi wakazi wa Kitongoji cha...
Sisi wazazi tunaosomesha watoto wetu shule ya sekondari Venance Mabeyo tulikaa kikao cha wazazi na kukubaliana kila mzazi kuchangia limu moja kwa kila mtoto ili kufanikisha zoezi la ufundishaji shuleni hapo,cha kushanga watoto wetu wamekuwa wakipigwa kila Mara wanapokuwa kwenye mitihani ikiwa...
Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama...
Generation Z au Zoomers ni kizazi cha waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 hadi 2012. Umri wao ni kati ya miaka 9 hadi 24. Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha (Generation Alpha and the generations that will come thereafter will be more worse than Generation Z)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.