shule

  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  2. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Bunda: Mkuu wa Shule Nyiendo umeitisha staff meeting kujua nani anatoa taarifa za shule nje ili uwashughulikie

    😭
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Waliosoma shule ya msingi KIJENGE 1980's

    Karibuni tukutane hapa. Kuna nyimbo tulikuwa tukiimba. Hamisi nyalo tunakuaga toka darajani...jamani eerhh
  4. Surya

    JamiiForums Tanzania Shule haikwepeki, hata kama hukwenda darasani, bila hivo utabaki maskini na Mungu atakukataa

    Nafungua ukurasa huu tujadiliane watu wote, wake kwa waume. Wanasiasa, wafanyabiashara, Watumishi wa Mungu wote na hata wapagani Karibuni tuelekezane kwa upole na amani. Hakikisha unamfundisha mwenzio kwa uwazi, kwa upendo wote bila makasiriko. Nimesema shule nikimaanisha sehemu ya kujifunza...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho

    Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho. Leo nilikuwa nafanya mazoezi asubuhi nimekutana na wanafunzi wengi wakienda shuleni wengi niliowaona kwa kweli hawakuwa na afya nzuri...
  6. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kushambulia kwa mawe Ofisi za Mtaaluma Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda kunatoa taswira gani kwa walimu na wanafunzi shuleni hapo?

    🥲
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mbeya atembelea Shule ya Msingi Azimio, awataka Wanafunzi kuzingatia masomo

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishina Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga ametoa elimu kwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wa Shule ya Msingi Azimio iliyopo Jijini Mbeya ambao wapo katika maandalizi ya mwisho kuelekea mitihani ya upimaji ya Taifa inayotarajia kuanza kesho Oktoba 25, 2023 nchini...
  8. chakutu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakaidi na waanzilishi wa fujo wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Dodoma wachoma matranka na nguo za wanafunzi wenzao

    Wakaidi hao Wanajigamba hakuna Mwalimu yeyote wala Mkuu wa Shule anayeweza kuwafanya chochote, Mpaka sasa Wanafunzi wanaendelea na Masomo. Ninachojiuliza ni hivi kama wangeunguza Mabweni ingekuwaje ? Mali zote za shule kongwe kwa kweli zingeungua pamoja na Vifaa vyao
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu wa Shule ya Gisela (Ukonga) tuna hali mbaya, hatulipwi mishahara wala malipo ya NSSF

    Mimi ni Mfanyakazi wa Shule ya Msingi Gisela N/P School (Private) iliyopo Kipunguni B Ukonga Ilala hapahapa Dar es Salaam, tunadai mishahara ya miezi 3 mfululizo, ya tangu mwezi wa 7 mpaka mwezi huu unaoenda wa kuwa wa 11, 2023. Sambamba na hilo tuna malimbikizo ya mishahara yetu ya nyuma tangu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ni lini Serikali ya CCM itanunua laptop kwa kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?

    Salaam, Shalom!! Nimewahi kuandika Thread isomekayo, Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi. Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Israel kupiga hospitali, shule na makazi ya watu na kukanusha kisha ukweli kudhihirika

    Israel imefanya mauaji ya kutisha huko Gaza kwa kulipua hospitali ya kanisa inayotoa msaada kwa wapalestina huko Gaza. Mwanzoni aliyewahi kuwa msaidizi wa Netanyahu katika mambo ya Media akatweet kulipongeza jeshi la Israel kwa kupiga hiyo hospitali na kuua watu ambao yeye anasema ni maadui wa...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Shule za binafsi (msingi na sekondari) kutoza wazazi/ walezi bima za afya wanafunzi kwa kila mwaka Ummy mwalimu unalifahamu hilo?

    Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nauliza hivi shule ya Sunshine Secondary kibaha wanapokea watoto wa kidato cha nne?

    I mean kumhamisha mwanafunzi kutoka shule nyingine kumpeleka Sunshine Sec Kibaha ahamie kidato cha nne dirisha la January 2024? Au hawapokeagi wanafunzi kuhamia kidato cha nne? Vipi kuhusu ufaulu wao? Ada zao ni how much? Maadili?
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa pamoja wana JamiiForums karibuni tujifunze Kiingereza kilichoenda Shule ya Kuzimu cha Mwalimu wetu dr namugari

    'Otherwise these is absolutely rubbish;' by PhD Holder and JamiiForums Great Thinker dr namugari Tafadhali Wordsmiths Wengine akina jiwe angavu na Division One Mimi GENTAMYCINE nataka Kukijua hiki Kiingereza Kibovu cha huyu Member hapa Jamvini JamiiForums je, naweza kupata tu Mawasiliano yake...
  15. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitabu vya shule Kenya vyamtukana Mtume Muhammad

    Kitabu cha kufundishia habari za uislamu cha darasa la pili nchini Kenya imebidi kuondolewa kwenye muhtasari baada ya wazazi kukishtukia kikimtusi Mtume Muhammad s.a.w. Katika kitabu hicho kuna picha iliyotajwa ndiyo ya Mtume s.a.w ambapo watoto wanatakiwa waikamilshe kwa kuipaka rangi ili...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Wamiliki wa Shule binafsi wafanya kikao kujadiliana juu ya changamoto za Elimu

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya mkutano na Wamiliki wa Shule zisizo za Serikali kwa lengo la kusikiliza na kujadiliana kwa pamoja changamoto zilizopo katika sekta hiyo. Akizungumza Oktoba 10, 2023 jijini Dodoma, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Faida za mtoto wa shule za msingi kusoma kwenye shule yenye wanafunzi wengi sana

    " siwezi kumpeleka mtoto wangu kwenye shule ya Kayumba kwa sababu shule za Kayumba zina wanafunzi wengi mno!!!" The most ignorant statement I have ever read. Hakuna zawadi nzuri kwa mtoto wako mdogo kama kumpeleka kwenye shule yenye watoto wengi. Zipo FAIDA nyingi sana kumpeleka mtoto wako...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa umefika makanisani kuwe na bar ndogo za kunywa pombe, waumini wanywe pombe kusuuza nafsi,

    Exception ni wakristo wachache sana kama wasabato wanaoamini bado Mungu huchukizwa na Pombe. Hata ma askofu wakati wa misa hunywa mvinyo takatifu mbele ya macho yetu, sioni ubaya wowote kuwe na min bar makanisani kwajili ya waumini Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mary Masanja Agawa Magodoro na Mashuka Shule ya Msingi Mitindo

    MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la Ugawaji wa Magodoro na Mashuka kwa Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Mitindo...
  20. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mtoto kufukuzwa shule ya msingi kisa hajui kusoma na kuandika?

    Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule ya Serikali kisa hajui kusoma wala kuandika. Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya Serikali. Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na...
Back
Top Bottom