Kumbukizi :Mwanafunzi wa Shule ya Kikatoliki amuua mwalimu kwa kumchoma kisu darasani.

adriz

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
10,951
23,093
Moja kwa moja..

Mwalimu katika shule ya sekondari ya binafsi katika mji wa Ufaransa wa Saint-Jean-de-Luz karibu na Biarritz ameuawa kwa kuchomwa kisu na mwanafunzi siku ya Jumatano alipokuwa akifundisha darasani.

Mshukiwa wa shambulio hilo, mwenye umri wa miaka 16, alikamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi na mwathiriwa alikuwa mwalimu wa Kihispania mwenye umri miaka 56.

“Ninaweza kuthibitisha kwamba kumekuwa na kuchomwa kisu na kwamba mwathiriwa amekufa”

mwendesha mashtaka wa umma huko Bayonne, Jerome Bourrier, aliiambia shirika la AFP.

Matukio hayo yalifanyika katika shule ya Kikatoliki ya Saint-Thomas d’Aquin huko Saint-Jean-de-Luz, yapata kilomita 20 kusini mwa Biarritz karibu na mpaka wa Uhispania.

Hii ni mara ya kwanza kwa mwalimu kuuawa wakati wa majukumu yake nchini Ufaransa tangu mauaji ya Samuel Paty katika msimu wa vuli mwaka 2020.
IMG_20230722_120414.jpg

Nb: Islamaphobia ipo, nimeona uzi ukihusisha mwanafunzi wa Shule ya Qiblatan kununua mwalimu .Jinsi watu walivyokuwa wapuuzi wanaacha kujadili tukio na kukemea wanaanza Kashfa za kidini kipuuzi kana kwambwa dini imemuamrisha hivyo na matukio kama hayo hufanfwa na Waislamu tu.

Tukija huku bongo matukio ya mauaji na ukatili yanatokea mikoa ambayo yanakaliwa zaidi na watu wa dini nyingine huwezi kuwakuta wenye akili timamu wanahusisha matukio hayo na dini yao.

Hilo ni India mfano mwingine wa mauaji ,hata wewe ikiwa mwanao kafanya makosa binafsi kinyume na wewe unavyotaka je ni haki mtu kusisha matukio yake na wewe japo ulimkanya ?
images (14).jpeg

Watu wamekosea busara na akili kwa sababu ya chuki kiasi ambacho wanakosa uadilifu.
 
Uzi huu unauchambuzi zaidi juu ya mentality mbovu miongoni mwao watu humu.

Che mittoga
 
Moja kwa moja..

Mwalimu katika shule ya sekondari ya binafsi katika mji wa Ufaransa wa Saint-Jean-de-Luz karibu na Biarritz ameuawa kwa kuchomwa kisu na mwanafunzi siku ya Jumatano alipokuwa akifundisha darasani.

Mshukiwa wa shambulio hilo, mwenye umri wa miaka 16, alikamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi na mwathiriwa alikuwa mwalimu wa Kihispania mwenye umri miaka 56.

“Ninaweza kuthibitisha kwamba kumekuwa na kuchomwa kisu na kwamba mwathiriwa amekufa”

mwendesha mashtaka wa umma huko Bayonne, Jerome Bourrier, aliiambia shirika la AFP.

Matukio hayo yalifanyika katika shule ya Kikatoliki ya Saint-Thomas d’Aquin huko Saint-Jean-de-Luz, yapata kilomita 20 kusini mwa Biarritz karibu na mpaka wa Uhispania.

Hii ni mara ya kwanza kwa mwalimu kuuawa wakati wa majukumu yake nchini Ufaransa tangu mauaji ya Samuel Paty katika msimu wa vuli mwaka 2020.
View attachment 2695951
Nb: Islamaphobia ipo, nimeona uzi ukihusisha mwanafunzi wa Shule ya Qiblatan kununua mwalimu .Jinsi watu walivyokuwa wapuuzi wanaacha kujadili tukio na kukemea wanaanza Kashfa za kidini kipuuzi kana kwambwa dini imemuamrisha hivyo na matukio kama hayo hufanfwa na Waislamu tu.

Tukija huku bongo matukio ya mauaji na ukatili yanatokea mikoa ambayo yanakaliwa zaidi na watu wa dini nyingine huwezi kuwakuta wenye akili timamu wanahusisha matukio hayo na dini yao.

Watu wamekosea busara na akili kwa sababu ya chuki kiasi ambacho wanakosa uadilifu.
Bora hata ungetumia news ya Tanzania hapa hapa
 
Ooh kumbe ni mabishano ya hizi dini zetu zilizoletwa na wageni! Basi wendelee
Hakuna mabishano mimi huwezi kunikuta katika mabishano ya kidini hiyo ilikuwa zamani ,mtu akileta huwa nampuuza .

Malengo ya huu uzi ni kutoa somo la uadilifu.Mimi hakuna kitu ambacho nachukuia kama kukosa uadilifu hata mimi mwenyewe,viongozi wangu ,wazazi nk wakikosa uadilifu lazima niwaambie kwa hekima na busara.
 
Huyu mleta uzi kaanzisha hii kwasababu ya huyo patron.

Wachangiaji wameutupia shutuma uislamu.

Sasa kaanzisha uzi huu ili kujibu mapigo
Imesema ukweli kabisa ,sio wachangiaji waite wachangiaji wapuuzi wakiongozwa na Che mittoga kama mkuu wa misafara .

Dunia hii kuna mauji ya kutisha kila kona tokea zamani ,hata hapa Tz mikoani sasa ni vyema watu kuwa waadilifu chuki zisipelekee kuvuka mipaka kiasi ambacho mtu kuwa kipofu na kukosa akili.

Ingekuwa mambo ya kujilipua kweli at least mtu angeshutumu uislamu kwani itikadi hiyo potofu imeenda sana katika baadhi ya Waislamu ,hilo la kumchoma kisu mwalimu kisu ninla mara ya kwanza na ni tabia ya mtu binafsi sio kitu cha kuhusisha na dini.

Wangapi wanaua wake zao , wazazi wao kuwa sababu mbalimbali tena vifo vya kikatili ?
 
Moja kwa moja..

Mwalimu katika shule ya sekondari ya binafsi katika mji wa Ufaransa wa Saint-Jean-de-Luz karibu na Biarritz ameuawa kwa kuchomwa kisu na mwanafunzi siku ya Jumatano alipokuwa akifundisha darasani.

Mshukiwa wa shambulio hilo, mwenye umri wa miaka 16, alikamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi na mwathiriwa alikuwa mwalimu wa Kihispania mwenye umri miaka 56.

“Ninaweza kuthibitisha kwamba kumekuwa na kuchomwa kisu na kwamba mwathiriwa amekufa”

mwendesha mashtaka wa umma huko Bayonne, Jerome Bourrier, aliiambia shirika la AFP.

Matukio hayo yalifanyika katika shule ya Kikatoliki ya Saint-Thomas d’Aquin huko Saint-Jean-de-Luz, yapata kilomita 20 kusini mwa Biarritz karibu na mpaka wa Uhispania.

Hii ni mara ya kwanza kwa mwalimu kuuawa wakati wa majukumu yake nchini Ufaransa tangu mauaji ya Samuel Paty katika msimu wa vuli mwaka 2020.
View attachment 2695951
Nb: Islamaphobia ipo, nimeona uzi ukihusisha mwanafunzi wa Shule ya Qiblatan kununua mwalimu .Jinsi watu walivyokuwa wapuuzi wanaacha kujadili tukio na kukemea wanaanza Kashfa za kidini kipuuzi kana kwambwa dini imemuamrisha hivyo na matukio kama hayo hufanfwa na Waislamu tu.

Tukija huku bongo matukio ya mauaji na ukatili yanatokea mikoa ambayo yanakaliwa zaidi na watu wa dini nyingine huwezi kuwakuta wenye akili timamu wanahusisha matukio hayo na dini yao.

Watu wamekosea busara na akili kwa sababu ya chuki kiasi ambacho wanakosa uadilifu.
Wagalatia Wana chuki sana hao viumbe,, mi kwangu sipangishi iyo jamii kbs
 
Tukija huku bongo matukio ya mauaji na ukatili yanatokea mikoa ambayo yanakaliwa zaidi na watu wa dini nyingine huwezi kuwakuta wenye akili timamu wanahusisha matukio hayo na dini yao.
Aisee nilikuwa sijui kwamba watu wa dini nyingine ndio wanaongoza kwa matukio ya mauaji ya kikatili
 
Haiondoi uhaliasia wa mafundisho ya mauaji mnayopewa waislamu

Muanjilishi huyu hapa
Muhammad said; I have been given superiority over the other prophets in six respects: I have been given words which are concise but comprehensive in meaning; I have been helped by terror (in the hearts of enemies):......Sahih Muslim 523a
 
Akili fupi za waislamu utazijua tu. Yani wao kutwa ni kushindana na ukristo, sasa unatafuta comeback ili? ujinga ujinga tu. Uislamu unapata tabu sana sababu ya inferiority complex na kushindana na asie na muda na wewe.

Malengo ya uzi ni kufundisha somo la uadilifu hayo mengine baki nayo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom