shule

  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto adaiwa ‘kupooza’ mkono baada ya adhabu ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Miririni Wilaya ya Meru

    Mwalimu anayefahamika kwa jina la Nkya mtumishi katika Shule ya Msingi Miririni iliyopo Wilayani Meru Mkoani Arusha anatuhumiwa kufanya ukatili kwa Mwanafunzi ambao umesababisha mkono wa kulia wa mtoto 'kupooza' hasa sehemu ya vidole. Mwanafunzi aliyejeruhiwa ametambuliwa kwa jina la Milcah...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda, kauli yako ya kufunga Shule ni kama imedharauliwa au haijasikika. Chukua Kipaza Sauti

    Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa Walimu wa shule za Msingi na Sekondari ni kujitia kitanzini

    Nawasalimu wanachama wa jukwaa hili. Niombe kwenu ushauri kuhusu walimu waliojiendeleza wa shule za msingi na sekondari. Kuna ndugu yangu amenisimulia kuhusu kutopandishwa cheo/daraja kwa walimu waliopanda cheo kwa mara ya mwisho mwaka 2019 na walipaswa kupanda tena mwaka huu 2023 Kwa mujibu wa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shule kongwe 84 zimefanyiwa ukarabati na Serikali Nchini

    SHULE KONGWE 84 ZIMEFANYIWA UKARABATI NA SERIKALI HAPA NCHINI Mhe. Masache Kasaka, Mbunge wa Jimbo la Lupa ameuliza swali Wizara ya TAMISEMI kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Rungwe, Anthony Albert Mwantona "Taratibu za kutekeleza agizo lililotolewa na Waziri Mkuu la kukarabati Shule ya...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Katazo la shule kutoendelea na masomo wakati wa likizo ni la kitoto sana. Pia likizo ndefu moja ifutwe

    Pongezi kwa shule zote zinazobakiza watoto kusoma wakati wa likizo. Kama nchi tunatakiwa kufurahia watoto wakisoma sana, wasome kadri wanavyoweza. Tangazo la kuzuia watoto kubaki shuleni kusoma wakati wa likizo lina lengo gani hasa? Maana ukiangalia siku wanazosoma watoto wa Tanzania kwa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anayeijua shule ya msingi ikoma iliyopo kishapu mkoani shinyanga please

    Kwa mwalimu yeyote wa msingi mkazi wa wilaya ya kishapu anaehitaji tunadilishane vituo vya kazi anitafute please.
  7. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule za Diamond na Olympio zipo Juu ya Sheria?

    Baada ya katazo la kuendeleza kuweka wanafunzi kipindi cha likizo, Diamond na Olympio wameendelea kushurtisha watoto kwenda shule ikiwemo darasa la nne. Darasa la Saba wameshurtishwa kuvaa nguo za nyumbani ili kufanya kiini macho. Huduma ya school bus imebidi kusitishwa kwa darasa la 4...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Neema Mgaya Aitaka Serikali Kufanyia Ukarabati Shule Kongwe Hapa Ncnini

    MBUNGE NEEMA MGAYA AITAKA SERIKALI KUFANYIA UKARABATI SHULE KONGWE HAPA NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Neema William Mgaya katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ametaka kujua mpango wa Serikali kukarabati Shule Kongwe katika Mkoa wa Njombe "Je, lini Serikali...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane

    Sababu kuu ya kuwatoa wangu shule ya kiingereza nakuwarejesha kayumba ni uchumi lakini kama unavyo jua tena ukitaka kumuua paka lazima kwanza umpe jia baya. mimi sababu zifuatazo ndizo ambazo zinanifariji katika kipindi hiki ninacho watoa watoto wangu english medium kuwaleta kayumba. Kwanza...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

    Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa. Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima. So akili kichwani, yaani mzazi...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shilingi Milioni 550 Zakamilisha Ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi

    SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, (Naibu Waziri Uwekezaji, Viwanda na Biashara) tarehe 28, Mei, 2023 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi iliyopo Kata ya Ikongosi. Shule ya Sekondari Mufindi...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Milioni 550 Kujenga Shule ya Sekondari Mufindi

    SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara amekagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi iliyopo Kata ya Ikongosi. Shule ya Sekondari Mufindi ina...
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba alirudia Form II mara 8 katika shule nne tofauti na zote akafeli

    Huyu mwamba alikuwa anafahamika sana kwa kupata mitihani ya form two iliyovuja na alikuwa anaipata ile yenyewe, alikuwa na moyo wa kuwapiga pindi wenzake na kuwakaririsha majibu, akiingia kwenye chumba cha mtihani anafeli kwa kishindo, yaani F zote, wenzake wanafaulu. Alikuwa ni mtoto wa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wakati umefika tuwe na somo au mada kuhusu mitandao ya kijamii kuanzia shule za msingi mpaka sekondali juu ya uwajibikaji katika mitandao hii

    Kuwa wawajibikaji katika mitandao ya kijamii kunahusisha kuchukua hatua za kuwajibika na kuheshimu wengine wakati tunatumia jukwaa hilo. Hapa kuna miongozo ya jumla ambayo inaweza kusaidia kuwa na uwajibikaji katika mitandao ya kijamii: Kuwa na ufahamu: Jifunze na elewa sheria na sera za...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, sisitiza umuhimu wa kutowabakiza watoto shule kipindi cha likizo

    Habari wanabodi, Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu pilikapilika za wanafunzi kusoma shuleni. Imekuwepo tabia ya baadhi ya shule kuwabakiza wanafunzi kipindi cha likizo kwa kigezo cha kuwaandaa na mitihani ya taifa. Kitendo hicho ni kinyume na sera pamoja na miongozo ya elimu inayomuhitaji...
  16. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Wazazi mnafatilia kweli kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani? Au mkishalipa hela mmemaliza?

    Habari Wakuu, Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi. Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St...
  17. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wenye watoto wanaosoma kwenye shule yenye madarasa kama haya?

  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ni mhimu kuwa na tovuti au mfumo wa matokeo kwa shule za msingi na sekondari ili kuwarahisishia wazazi na walezi kupata wepesi wa kufuatilia maendeleo

    Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na kuanza kuwasomea matokeo yao kuanzia mwanafunzi wa nafasi ya kwanza mpaka kwa mwanafunzi aliyepata...
  19. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya shule ni hatari kwa maisha ya watoto wetu

    Siku Hizi kumekuwa na trend ya matukio kadhaa ya madereva wa gari za shule 'School Bus' kuwa rough njiani, na hawako makini kabisa, hawajali kabisa kama wamebeba watoto ndani ya gari hizo. Hii video ni moja ya matukio ambayo yamekamatwa kwenye camera Gari ya shule yenye jina la MARTHA...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Naungana na Shigongo Mawaziri na Watumishi wote wa serikali watoto wao wasome shule za serikali

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema huko tunapoenda tuweke utaratibu kuwa mtu akichaguliwa kuwa waziri, mtoto wake asome shule za serikali. Amesema hii itasaidia kufanya mawaziri wasimame mitaala na kuunda sera zenye maslahi mapana kwa taifa Amesema hayo akijadili bajeti ya elimu...
Back
Top Bottom