Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,679
Kuna clip ya mwanafunzi wa shule ya sekondari Nganza inatembea sana mitandaoni akitukana Rais na viongozi wote wa serikali katika mkutano uliofanyika chuo Cha SAUT nani alimtuma ?

Baraza la mitihani Lina namba yake ili tujue ni mwanafunzi kweli au kavalishwa uniform tu? Nashauri Baraza la mitihani katika kumsahihisha wampe viwango vya juu ili aonyeshe ana uwezo mkubwa kuliko anaowatukana, kwa kuwa anataka kuonekana wa viwango, passmark yake ipewe angalizo kubwa sana, tuone akama na yeye anaweza.

===
Clip inayosambaa inamuonesha mwanafunzi huyo akiwa kwenye mkutano rasmi ambapo alitoa wito kwa wanafunzi wenzake na vijana kuwa na uzalendo kama Magufuli.

Amesema viongozi wengi leo wanamipango mingi lakini hawaitekelezi ipasavyo kwa sababu ya kukosa uzalendo.

Kasi ya mapinduzi ilibadilika kiasi wakati wa Magufuli ambapo ameonesha kutamani kasi ya mabadiliko aliyoiona wakati wa Magufuli irudi tena.
 
Wewe umeona Hilo tu yaani ametukana serikali! Focus kwenye kinachoendela hapo mkutanoni
 
Back
Top Bottom