shule

  1. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanafunzi waliochelewa kuripoti shule ya wasichana ya Lucas Malia walala mtaani baada ya kuzuiwa kuingia

    Wakuu, Nimekutana na ujumbe unasambaa kwenye mitandao ya kijamii Twitter, Instagram na hata humu JF nimeona mtu kaweka uzi kuwa wanafunzi tena wakike kutoka shule ya wasichana ya Lucas Malia walifungiwa mlango na hivyo kulazimika kulala nje sababu eti walichelewa kufika siku waliyotakiwa...
  2. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata shule yenye mahitaji maalum?

    Nipo Mbeya kuna mtoto wa ndugu yangu ana changamoto ya kuongea(bubu) nataka kufahamu shule ambayo inapokea watoto wa namna hii
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Gulamali Atoa Mifuko 700 ya Simenti Ujenzi wa Shule na Zahanati

    MBUNGE GULAMALI ATOA MIFUKO 700 YA SIMENTI UJENZI WA SHULE NA ZAHANATI JIMBO LA MANONGA Mbunge wa Jimbo Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameendelea na ziara yake katika Vijiji vya Kata ya Uswaya na kutoa Mifuko 700 ya Simenti kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Shule za Msingi na...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Huu Mchango wa Uendeshaji wa Shule ya Longido Sekondari si ndio ada yenyewe au Serikali imefuta ada ipi?

    Jamani wazazi tunalia na michango ya Shule ngazi ya kidato cha tano, Serikali imetangaza kufuta ada kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita kwa shule za Serikali lakini tunachokutana nacho huku kwenye uhalisia ni tofauti. Tunaambiwa ada imefutwa lakini katika masharti au form za Watoto...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Babati Vijijini Daniel Sillo Akabidhi Mashine za Kuchapisha Mitihani Shule za Sekondari

    MBUNGE DANIEL BARAN SILLO AKABIDHI MASHINE ZA KUCHAPISHA MITIHANI KWENYE SHULE ZA SEKONDARI Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini (Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti) Mhe. Daniel Sillo ametimiza ahadi yake ya kukabidhi mashine za kuchapisha katika Shule za Sekondari Maganjwa na Arisaayo ili kusaidia...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanafunzi kidato cha 3 adaiwa kujinyonga, kisa kuikataa Shule

    Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Shule za sekondari wilaya Uyui upande wa ulyankuru tabora Kuna shida kubwa

    Shule zilizipo tabora wilaya Uyui Zina shida kubwa sanaya kiongozi kutokana walipoewa uongozi kutokuwajibika jinsi inavyotakiwa, Kuna shule za upande wa uelekeo wa ulyankuru Kuna shida kubwa sana kitaaluma na za kiongozi Kuna wakuu wa shule wapya wanawake wamehongwa nafasi za ukuuu wa...
  8. RAMAKISIMA

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi katika utoaji huduma kwa shule za serikali

    ANDIKO LA MAONI Maendeleo ni mchakato unaohusisha ushirikiano baina ya wananchi, haiwezekani wananchi wote wakafanya kazi zote kwa pamoja katika eneo moja .Ni lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi ili kuleta tija katika utendaji na kuzia mwingiliano wa majukumu. Mgawanyiko wa majukumu huainisha...
  9. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ugatuzi wa madaraka ya ajira ngazi ya Halmashauri unavyoweza kuwa mwarobaini wa upungufu wa Walimu na Wataalamu wa Afya nchini

    Ripoti ya Mwaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Kwa mwaka wa fedha 2021/22 inaonyesha kwamba Katika halmashauri 23 pekee zilizofanyiwa tathmini Katika uwiano wa mwalimu Kwa wanafunzi ilibainisha Upungufu wa walimu 10,071 sawa na asilimia 35 ambapo walimu waliopo katika...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi wakipanda Bus binafsi kwenda shule wanalipa 200; lakini kwenye maonesho ya serikali sabasaba wanalipishwa 1500

    Msimu wa maonesho ya sabasaba umewadia Kwenye daladala binafsi watoto hulipa mia mbili tu kupanda! Inakuwaje Kwenye maonesho ya sabasaba ya serikali wanafunzi waingie kwa tsh 1500/3000 au zaidi wakati wanakwenda kujifunza na hawana kipato chochote?! Yaani daladala anaeweka mafuta unamwamuru...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious UDSM Tanzania watembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua

    Tarehe 22, Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious katika chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) wametembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua. Kijiji cha Siping kilichoko katika mlima Jiufeng mjini Jinhua, kilijengwa mwanzoni mwa enzi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule za upili Tanzania wajionea mvuto wa utamaduni wa China

    Juni 20, wanafunzi wa shule za upili wa Tanzania walioshiriki kwenye kambi ya majira ya joto ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) walijionea kwa undani mvuto wa urithi wa utamaduni usioshikika wa China. Shughuli hiyo ya kiutamaduni iliyoandaliwa na Chuo cha Utamaduni wa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada shule nzuri ya High school iliyoko Dar au Pwani yenye karo nafuu comb ya GBG

    Wakuu hamjambo? Kijana wangu kamaliza kidato cha nne 2022, ufaulu wake ni C. C. C ktk comb ya CBG. Natafuta shule yenye unafuu wa karo iliyopo hapa Dar au Pwani. Ukinijuza shule na karo yake utakuwa imenisaidia sana. Shukran.
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe Aibana Wizara ya Maji Kupeleka Visima Shule za Sekondari 2 Momba

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AIBANA WIZARA YA MAJI KUHUSU VISIMA VYA MAJI SHULE ZA SEKONDARI MOMBA "Tarehe 12 Juni, 2023 niliuliza swali la nyongeza Bungeni kuhusu changamoto tumeipata kwenye Jimbo la Momba kuhusiana na Maji. Wanafunzi katika Shule mbili tofauti wamepoteza maisha, Shule ya...
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna usawa Ujenzi wa Majengo ya Shule, Kati ya Tanganyika na Zanzibar?

    Majuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha. MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndejembi aonya watakaochezea fedha za mradi Ujenzi wa Shule mpya za Sekondari za Bweni za wasichana

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ofisi yake haitomvumiria mhandisi, afisa elimu au yeyote atakayekwamisha utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Shule nchi nzima zimefungwa kama hazijafungwa

    Kutokana na mwenendo wa shule hizi (msingi/sekondari) kwa miaka hii ya Sasa kutokufunga kabisa hasa kwa madarasa ya mitihani nashauri yafuatayo: 1. Badala ya kukaa na watoto kwa kipindi cha mwaka mzima bila likizo ya kurudi makwao basi wawape watoto kazi za nyumban kipindi cha likizo (home...
  18. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekan tukawekeza na hospitali, shule na barabara zote tuwape DP World?

    Kama mpaka leo hatuwezi kuwalipa walimu vizuri, mwalimu akishaajirwa huo huo mshahara wake ndio ale, avae, alipe Kodi ya nyumba, asomeshe watoto n.k. Tumeshindwa angalau hata Kila shule kuwa na nyumba za walimu! Leo hii hospitali za Wilaya unakuta sometimes hata Panadol hamna, tena usiombe uwe...
  19. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mdhamini wa kuniwezesha kujenga shule kwa ajili ya kuhudumia wanafunzi wanaotembea umbali mrefu kwenda shule lakini pia kutengeneza ajira

    Wapenda wana Jamii Forums, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa...
Back
Top Bottom