Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".
Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").
Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
Shetani au ibilisi kama kweli yupo duniani na sio dhana tu ya wajanja wa dunia ili wapige hela basi atakuwa amebeba faida kuntu kuliko hasara zake.
Moja ya faida kuntu za kuwepo shetani duniani ni kama ifuatavyo:-
(i) KUSHUSHWA NA KUANDIKWA VITABU VITAKATIFU
Mungu aliamua kushusha Quran na...
Kwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi.
Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu wa CHADEMA ameshapoteza kiti chake cha ubunge kule Machame.
CCM tunawashukuru sana Watanzania kwa...
Huu ndio ukweli mchungu kwa hawa watu hawa ambao wameamua kutumia mabavu kunyanyasa wengine, tena wakitimiza wajibu waliopewa kwa doublestand ya hali ya juu.
Mnawalazimisha watu kutafuta haki zao nje ya mifumo iliyopo kwasababu mifumo hiyo haitendi haki, alafu cha ajabu, nyie ndio mnakuwa wa...
Naposema mlinganyo wa shetani namaanisha hivi, una-graduate chuo na gpa nzuri tu, una-apply kazi sehemu tofauti zaidi ya Mara 104 hivi, na zote unakosa..
Unajaribu biashara kadhaa, lakini biashara zote zinafeli, na kabla ya kufeli, zikiwa zinaendelea, zinakupa hela ya kula tu, hela ambayo...
Leo Jumapili, siku ya Wakristo ama madhehebu mengi ya Kikiristo kuabudu ama kusali.
Hivyo basi naomba tutafakari jambo moja la imani, je kati ya shetani na binadamu ni nani hasa mwenye dhambi nyingi zaidi?
Maandiko yanasema Mungu ni mtakatifu sana asiye na mawaa, ambae dhambi ama uovu haukai...
Scopolamine ni dawa inayotumika hospital kwenye ishu za upasuaji nk. Lakini hii dawa ikifanyiwa kalabo hutengeneza kitu kibaya kabisa
Ninini hicho?
Ni burundanga kwa jina la kihalifu.... Huu hutumika kuondoa utashi wa mtu hasa kwenye kufikiri na kuchukua maamuzi sahihi. Humfanya mtu atekeleze...
“Watu hatutofautiani sana katika uelewa wetu kuhusu vitu gani vinaitwa matendo mabaya; bali, tunatofautiana sana katika utayari na ujasiri wetu wa kuhimiza na kutekeleza matendo mabaya.” –- G.K.Chesterton (1874-1936)
"Ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa lote...
Kwanini hamchukulii hatua shetani ?
Shetani ana nguvu kumliko?
Anafurahishwa na matendo ya shetani?
Wana lengo moja?
Hana njia yoyote ya kumzuia mpaka binadamu tumsaidie?
Kama Gwajima, Mwamposa kweli wanatoa mapepo/mashetani ndani ya watu yeye anashindwa nini kumtoa duniani kabisa?
Mbona...
Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe.
Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari.
=====
Katika Mahojiano ya Spika Job Ndungai na Clouds Media...
Moyo wangu umejawa na simanzi, macho yamefunga kwa huzuni, uso umesawajika kwa haya ninayoyasoma yaliyotendwa na binadamu kwa binadamu wenzao.
Romeo Dallaire ameelezea mambo kwa mtazamo wake. Mengi ya mambo aliyoyaandika nmeyasoma pia toka kwa waandishi wengine na wana JamiiForums pia humu...
Awali ya yote, mtakaokwazika mtanisamehe tu. Kwa sababu kichwa kikuu cha mada hii imebebwa na maneno magumu na makali kidogo.
Imebidi iwe hivi kwa sababu nimetafuta maneno mbadala ili ujumbe ama maudhui ya ujumbe ninaotaka kila mtu apate, nikakosa.
Pokeeni na twendeni hivyo hivyo kwa sababu ni...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake.
Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi...
Maswali yanaendelea....
Mungu ndiye chanzo cha yote[kwa wale wanaoamini] je ndio chanzo cha mbegu ya uasi wa shetani?
Kwanini laana ya Mungu iendelee kutafuna vizazi hata vizazi kwa kosa lililofanywa na watuwawili waliombwa na Mungu mwenyewe?
Kuna mahali kokote kwenye biblia pameonesha...
MUME AMWEKEA PILIPILI NA KUZIBA NA GUNDI NYETI ZA MKEWE
POLISI katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za kumuwekea Mke wake Pilipili kwenye sehemu zake za siri na kisha kumziba na gundi.
Kwa mujibu wa...
Ndugu zangu, Wife bana kajifungua kama mwezi hivi, tunashukuru sana kwa Mungu mtoto wa 2 sasa. Safari hii tofauti na mwanzo kajifungulia hapa hapa na tukiwa tushaamia mjengoni nje ya jiji hukoo sijui.
Kama ilivyo kawaida japo tuna Dada wa kazi lazima tupate mtu wakukaa na Mzazi hapo ndo...
Nasikia kuna Kazi (Ajira) za Fani (Professions) fulani ambazo ukizifanya hizo hata kama uwe kila Siku unasali Kumuomba Mwenyezi Mungu hawezi Kukubariki kwani zina Dhambi ndani yake na pia zimekaa Kilawamalawama na huwezi Kuzifanya bila kwenda Kinyume kabisa na Maandiko ya Kiimani.
Kuna Mtu...
Hii Corona haiui kwenye kitu kimoja wakati mwingine inachochoe ugojwa mwingine na nampongeza sana Magu kwa kujificha kijijini kwa zaidi ya mwezi.
Kila siku tutasikia misiba lakini kibaya wale wengi ambao si wanasiasa hatuwasikiia.Tuombe Mungu dawa ipatikane maana hali ni mbaya.
Pamoja na...
Kuna andiko katika biblia sikumbuki mstari gani lakini nakumbuka yesu alikuwa anafundisha wafuasi wake akasema mpanzi alikwenda kupanda mbegu katika konde lakini zilipoota zikaota na magugu mwenye shamba alauliza mbona nilipanda mbegu nzuri magugu yametoka wapi? Yesu akawaambia yule mwovu Usk...
Wanabodi
Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.