Hizi ndizo faida kuntu za kuwepo shetani na ibilisi duniani

MAGALLAH R

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
988
1,000
Shetani au ibilisi kama kweli yupo duniani na sio dhana tu ya wajanja wa dunia ili wapige hela basi atakuwa amebeba faida kuntu kuliko hasara zake.

Moja ya faida kuntu za kuwepo shetani duniani ni kama ifuatavyo:-

(i) KUSHUSHWA NA KUANDIKWA VITABU VITAKATIFU
Mungu aliamua kushusha Quran na kuandikwa kwa biblia na vingine vingi ili Mungu ajipambanue kwenye hivyo vitabu na aoneshe kuwa yeye ndiye anafaa zaidi. Na ndani ya vitabu hivyo ibilisi ameoneshwa kuwa ni kiumbe mbaya sana na watu wamekatazwa wasimfuate. Bila ya uwepo wa ibilisi kulikuwa hakuna haya ya kuwepo kwa vitabu hivi vilivyosheheni majigambo ya Mungu.

(ii) KUSINGEKUWEPO NA MITUME WALA MANABII
Ibilisi/shetani ndiye aliyesababisha manabii na mitume waletwe duniani ili kuja kupambana na ibilisi. Bila ya kuwepo kwa Ibilisi kulikuwa hakuna haja yoyote ya kuletwa kwa mitume na manabii dunia. Wangekuja kufanya nini?

(iii) KUANZISHWA KWA DINI MBALIMBALI
Ibilisi ndiye aliyesababisha dini nyingi zianzishwe duniani kwa lengo la kupambana na majaribu ya ibilisi. Kama ibilisi asingekuwepo kulikuwa hakuna haja ya kuwepo kwa ukristo wala uislam na dini zingine.

(iv) BINADAMU ANGEKOSA WA KUMSINGIZIA MAKOSA YAKE
Binadamu anakosea makusudi na baadaye anamsingizia shetani kwamba eti shetani alinipitia. Hivi shetani asingekuwepo binadamu angemsingizia nani makosa yake?

(v) UWEPO WA MATAJIRI WAKUBWA DUNIANI
Kuna watu wanaitwa devil worshippers na wale wazee wa ndagu. Watu hawa wanaaminika kutusua kimaisha baada ya kumtumikia shetani na kufuata matakwa yake. Inaaminika kupitia shetani watu wengi sana wametusua kimaisha.

(vi) KUWEPO KWA TAASISI MBALIMBALI ZA KIDINI NA NYUMBA NYINGI ZA IBADA
Ibilisi ndiye aliyesababisha watu wajenge makanisa, misikiti na shule za dini,vyuo vya dini na madrassa ili wapambane kumpinga Ibilisi. Kama ibilisi asingekuwepo maana yake pia haya yote yalikuwa hayana maana yoyote kuwepo.

(vii) KUUMBWA KWA PEPO NA JEHANAMU
Ebu fikiria kama ibilisi asingekuwepo Mungu angeanzia wapi kuumba pepo na jehanamu? Ibilisi ndiye kamsukuma Mungu atengeneze vitu hivyo ili kama ukimfuata shetani mwisho wa siku uchomwe moto.

MWISHO

Ibilisi ni dude lililomshinda Mungu na akaamua kuwasukumia binadamu.
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,467
2,000
MWISHO
Ibilisi ni dude lililomshinda Mungu na akaamua kuwasukumia binadamu.

🙄🙄🙄🙄
Maji tu yakikupalia au ukishikwa na kichomi cha moyo haya maneno yote utayakana.. na within a minute utajikuta umetubu dhambi zako zote haijalishi unamuamini au wamuamini...Tulifika Near death experience we know a bit about how death it's like. Chung sana, It's supper scary..Pumzi zako hizi unazovuta kwa uhuru zisikufanye ujione mwamba. It's matter of button, ikibonyezwa tukubadilisha jina kabisa. Be humble dogo..Be Kind
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,019

ni upumbavu tu unaweza kukufanya ukaandika huu ujinga
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
19,462
2,000
MWISHO
Ibilisi ni dude lililomshinda Mungu na akaamua kuwasukumia binadamu.

Maji tu yakikupalia au ukishikwa na kichomi cha moyo haya maneno yote utayakana.. na within a minute utajikuta umetubu dhambi zako zote haijalishi unamuamini au wamuamini...Tulifika Near death experience we know a bit about how death it's like. Chung sana, It's supper scary..Pumzi zako hizi unazovuta kwa uhuru zisikufanye ujione mwamba. It's matter of button, ikibonyezwa tukubadilisha jina kabisa. Be humble dogo..Be Kind
Anacheza huyu
 
Paradoxer

Member
Apr 6, 2017
47
125

mkuu, tafadhali kama umeshaandika kuhusu jinsi ulivyofika "near death experience" naomba link....
.
nahitaji kujifunza/kuhusianisha na jambo fulani.
 
Paradoxer

Member
Apr 6, 2017
47
125
Bado sijawahi kuandika niambie unataka ujue nini na nini nitaandika
ilikua katika mazingira gani, ilichukua muda gani hali hiyo, kipi ulichoona ukiwa katika hali hiyo, na uli react vip na hicho ulichoona.

baada ya kutoka katika hali hiyo, ulipata mabadiliko yapi hasa kiakili, na pia kama kuna jambo lolote lililotokea katika maisha ya kawaida na ukalihusisha na hali hiyo.
 
Stephen Chelu

Verified Member
Oct 31, 2017
5,158
2,000
Wafia dini bwana! Badala ya kujibu kwa hoja mnaanza kutisha watu...

Binafsi siamini kama kuna kiumbe wa kuitwa shetani. Shetani ni imaginary character aliyetengenezwa na binadamu ili yeye (binadamu) apate uwezo wa kukwepa kuwajibika kwa makosa yake mwenyewe.

Mungu yupo
Shetani hayupo
Dhambi haipo
 
CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
7,026

Hizi mambo za Mungu na Shetani ni vizuri kuziacha kama unavyozikuta.
 
Dilek

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
22,599
2,000
MWISHO
Ibilisi ni dude lililomshinda Mungu na akaamua kuwasukumia binadamu.

Maji tu yakikupalia au ukishikwa na kichomi cha moyo haya maneno yote utayakana.. na within a minute utajikuta umetubu dhambi zako zote haijalishi unamuamini au wamuamini...Tulifika Near death experience we know a bit about how death it's like. Chung sana, It's supper scary..Pumzi zako hizi unazovuta kwa uhuru zisikufanye ujione mwamba. It's matter of button, ikibonyezwa tukubadilisha jina kabisa. Be humble dogo..Be Kind
Ukiacha hiyo conclusion yake mengine aliyosema ni ukweli mtupu, nitashangaa ukipinga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom