Je, kati ya binadamu na shetani ni nani mwenye dhambi zaidi?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,479
17,342
Leo Jumapili, siku ya Wakristo ama madhehebu mengi ya Kikiristo kuabudu ama kusali.

Hivyo basi naomba tutafakari jambo moja la imani, je kati ya shetani na binadamu ni nani hasa mwenye dhambi nyingi zaidi?

Maandiko yanasema Mungu ni mtakatifu sana asiye na mawaa, ambae dhambi ama uovu haukai ama hauwezi kukaa karibu yake. Mfano mzuri ni kwa Musa, aliambiwa hawezi kumuona Mungu kwa sababu binadamu ni wadhambi wa kuzaliwa.

Binadamu tunaambiwa sisi ni wadhambi hatuwezi kumkaribia Mungu, tunaambiwa sisi ni wadhambi wa kuzaliwa kwa sababu ya Adam, (wakati huo huo biblia inasema Mungu alitujua kabla ya kuumba misingi ya ulimwengu, maana yake alijua atatuumba wenye dhambi tu hata kabla hajatuumba) there was no way adamu asitende dhambi kwa sababu Mungu alijua kabla ya kumuumba kua atatenda dhambi.

Tukiachana na hayo, kwenye hadithi za Ayubu, shetani ananekana kukutana na Mungu na kupiga soga nyingi hadi kukubaliana kumjaribu Ayubu. Hivyo inaonekana ni kawaida kwa shetani na Mungu kukutana. Hatuambiwi wanakutana wapi.

Hoja yangu ni je, kati ya shetani na binadamu ni nani hasa mwenye dhambi nyingi ambae haruhusiwi kumkaribia Mungu?

Maovu yote Duniani tunaambiwa yameletwa na shetani lakini shetani huyo huyo anaruhusiwa kukutana na Mungu na kupiga soga tena za kiurafiki kabisa. Binadamu ambae ameletewa dhambi yeye haruhusiwi kumkaribia Mungu, je binadamu ni mdhambi kuliko shetani?

Watu wa dini naombeni mawazo yenu.
 
Shetani Ana Dhambi sababu alimuasi Mungu Mbele yake Tena mbele ya Malaika wote ambao mungu kwa kinywa chake aliwapa Amri shetani Akagoma io ni dhambi kubwa Sana sababu Mungu ndie mkuu kwanini Aamrishe alafu shetani Akatae

Pili bila hata shetani Binadam Hua tuna tabia zetu mbaya na nzuri Yan na sisi tuna ushetani wetu shetani uyu mkuu ni waziada tu
 
Kwanza hakuna malaika anaitwa shetani..
Shetani na Mungu ni Status tu.
Je Malaika wana Free Willl..?
 
Shetani ni mpinzani wa kiimani, alitaka kiti cha MUNGU na yeye akikalie.
 
Zingatia mfano huu.Kuna kampuni uliyojiunga nayo kwa ajili ya kukupa huduma za voice na data kampuni hiyo kwakuwa inakupa huduma inaitwa service provider.Tukirudi kwa shetani yeye ni Sin Service Provider na sio internet service provider anayekupa huduma za mawasiliano.Dhambi ni shetani na shetani ni dhambi in no way itakuja kutokea umemzidi dhambi kwa kuwa yeye ndio mgawa dhambi
 
Kutambua kwa dhambi huja kwa njia ya sheria, pengine na amri.

Huyo shetani hizo sheria na amri zenu hazimhusu, dhambi zake unazipima kwa njia gani!
 
Leo jumapili, siku ya wakristo ama madhehebu mengi ya kikiristo kuabudu ama kusali.

Hivyo basi naomba tutafakari jambo moja la imani, je kati ya shetani na binadamu ni nani hasa mwenye dhambi nyingi zaidi?

Maandiko yanasema Mungu ni mtakatifu sana asie na mawaa, ambae dhambi ama uovu haukai ama hauwezi kukaa karibu yake. Mfano mzuri ni kwa Musa, aliambiwa hawezi kumuona Mungu kwa sababu binadamu ni wadhambi wa kuzaliwa.

Binadamu tunaambiwa sisi ni wadhambi hatuwezi kumkaribia Mungu, tunaambiwa sisi ni wadhambi wa kuzaliwa kwa sababu ya Adam, (wakati huo huo biblia inasema Mungu alitujua kabla ya kuumba misingi ya ulimwengu, maana yake alijua atatuumba wenye dhambi tu hata kabla hajatuumba) there was no way adamu asitende dhambi kwa sababu Mungu alijua kabla ya kumuumba kua atatenda dhambi.

Tukiachana na hayo, kwenye hadithi za Ayubu, shetani ananekana kukutana na Mungu na kupiga soga nyingi hadi kukubaliana kumjaribu Ayubu. Hivyo inaonekana ni kawaida kwa shetani na Mungu kukutana. Hatuambiwi wanakutana wapi.

Hoja yangu ni je, kati ya shetani na binadamu ni nani hasa mwenye dhambi nyingi ambae haruhusiwi kumkaribia Mungu? Maovu yote Duniani tunaambiwa yameletwa na shetani lakini shetani huyo huyo anaruhusiwa kukutana na Mungu na kupiga soga tena za kiurafiki kabisa. Binadamu ambae ameletewa dhambi yeye haruhusiwi kumkaribia Mungu, je binadamu ni mdhambi kuliko shetani?

Watu wa dini naombeni mawazo yenu.
Kama binadam wenyewe ndo hawa wanachama na wafuasi wa ccm basi shetani hana dhambi, binadam wana dhambi, tena hata shetan anawaogopa!
 
Shetani: Adui rafiki asiye na kinyongo
 
Hahahaha 😂😂 sijaona jibu lolote la maana zaidi ya bla! bla! Tu.
Mtoa mada usitegemee jibu la maana zaidi ya comedy na sarakasi hili swali lako ni gumu mno
 
Dhambi zako si kutu, na Mungu anapokua hataki kuonana na mwanadamu ni kwasababu tumefanya uzinzi kumuacha yeye na kwenda kuabudu miungu mingine..
Mungu hakutani na mtu asie mwamini,
Ili kama unamuamin na unadhambi zingine mnakutana vizuri tu.

Note:
tumepokea msamaha wa dhambi kwa njia ya imani, na wala sio matendo ( matendo hayampeleki mtu mbinguni)
 
Matendo hayampeleki mtu mbinguni?? Hebu fafanua hapa mkuu maana kama umenichanganya
Dhambi zako si kutu, na Mungu anapokua hataki kuonana na mwanadamu ni kwasababu tumefanya uzinzi kumuacha yeye na kwenda kuabudu miungu mingine..
Mungu hakutani na mtu asie mwamini,
Ili kama unamuamin na unadhambi zingine mnakutana vizuri tu.

Note:
tumepokea msamaha wa dhambi kwa njia ya imani, na wala sio matendo ( matendo hayampeleki mtu mbinguni)
 
Dhambi zako si kutu, na Mungu anapokua hataki kuonana na mwanadamu ni kwasababu tumefanya uzinzi kumuacha yeye na kwenda kuabudu miungu mingine..
Mungu hakutani na mtu asie mwamini,
Ili kama unamuamin na unadhambi zingine mnakutana vizuri tu.

Note:
tumepokea msamaha wa dhambi kwa njia ya imani, na wala sio matendo ( matendo hayampeleki mtu mbinguni)
Swali ni kwa nini shetani alipata haki ya kukutana na Mungu wakati tunaamini yeye ndo mdhambi kuliko?? Kwa hyo unamaanisha shetani alikutana na Mungu kwa sababu anamuamini Mungu???
 
Back
Top Bottom