Shetani yuko wapi? Nani alimshawishi Aasi huko kunakoitwa Mbinguni?

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,199
2,000
Maswali yanaendelea....

Mungu ndiye chanzo cha yote[kwa wale wanaoamini] je ndio chanzo cha mbegu ya uasi wa shetani?

Kwanini laana ya Mungu iendelee kutafuna vizazi hata vizazi kwa kosa lililofanywa na watuwawili waliombwa na Mungu mwenyewe?

Kuna mahali kokote kwenye biblia pameonesha shetani aliko? Ni wapi kama hapajaoneshwa tunaanzaje kumchora shetani kama ndio chanzo cha haya maasi yote?

Au shetani ni sisi wenyewe? Na hapa duniani ndio makao yetu?

Nitaendelea na maswali kadri mada itakavyo endelea

MUHIMU÷ Naomba swali la thibitisha kwanza kama mungu hupo lisubiri kwanza. Tumsake kwanza huyo shetani kama kweli yupo.

Karibuni
 
Stephen Chelu

Verified Member
Oct 31, 2017
4,259
2,000
Shetani hayupo kiuhalisia, shetani ni kiumbe wa kufikirika aliyetengenezwa na mwanadamu ili yeye mwanadamu akikosea kitu fulani apate wa kumsingizia.
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,655
2,000
Shetani hayupo kiuhalisia, shetani ni kiumbe wa kufikirika aliyetengenezwa na mwanadamu ili yeye mwanadamu akikosea kitu fulani apate wa kumsingizia.
MKUU, SHETANI AMA SHETWANI WOTE WAMETAJWA KWENYE VITABU VYA DINI KUWA NI KIUMBE HALISI, JE HUAMINI KATIKA DINI?
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,212
2,000
If the bible is anything to go by, then God is more evil than shetani mwenyewe. Mungu tunayeambiwa ni wa huruma na haki ndiye Mungu aliyelaani vizazi na vizazi kwa kosa (MOJA tu) la watu wawili, ambalo aliwategea mtego to begin with. Ni Mungu huyo huyo aliandika 'script' ya Yuda kuwa msaliti na akamuachia msala wote jamaa. Kwangu kile kitabu kimeacha maswali mengi sana.
 
Stephen Chelu

Verified Member
Oct 31, 2017
4,259
2,000
MKUU, SHETANI AMA SHETWANI WOTE WAMETAJWA KWENYE VITABU VYA DINI KUWA NI KIUMBE HALISI, JE HUAMINI KATIKA DINI?
Vitabu vya dini vinashindwa kutoa maelezo machache sana kumhusu shetana, na hata maelezo hayo yana mkangnyiko mkubwa. Ni wazi shetani hayupo na tunalishwa swaga tu kwamba kuna shetani.
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
4,771
2,000
Kinyume cha Mungu ni shetani au kinyume cha shetani ni Mungu? Kama jibu ni kinyume cha Mungu ni shetani basi anza na uwepo wa kitu kabla ya uwepo wa kinyume chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
1,225
2,000
MKUU, SHETANI AMA SHETWANI WOTE WAMETAJWA KWENYE VITABU VYA DINI KUWA NI KIUMBE HALISI, JE HUAMINI KATIKA DINI?
Kwani mkuu huwezi kufikiria nje ya vitabu vya dini??

Mm katika halmashauri ya kichwa Changu, baada ya kufanya kufikria kivyangu bila external influence, NILIJIRIDHISHA KUWA SHETANI SI HALISI, NI KIUMBE CHA KUFIRIKA TU. ALL EVILS AND GOODS ORIGINATE IN OUR OWN CONSCIOUSNESS

Gold is the money of the kings
 
Mtanzania2020

New Member
May 23, 2020
3
45
Maswali yanaendelea....

Mungu ndiye chanzo cha yote[kwa wale wanaoamini] je ndio chanzo cha mbegu ya uasi wa shetani?

Kwanini laana ya Mungu iendelee kutafuna vizazi hata vizazi kwa kosa lililofanywa na watuwawili waliombwa na Mungu mwenyewe?

Kuna mahali kokote kwenye biblia pameonesha shetani aliko? Ni wapi kama hapajaoneshwa tunaanzaje kumchora shetani kama ndio chanzo cha haya maasi yote?

Au shetani ni sisi wenyewe? Na hapa duniani ndio makao yetu?

Nitaendelea na maswali kadri mada itakavyo endelea

MUHIMU÷ Naomba swali la thibitisha kwanza kama mungu hupo lisubiri kwanza. Tumsake kwanza huyo shetani kama kweli yupo.

Karibuni
Shetani yupo hapa hapa duniani:

"Bwana akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo."
(Yobu 1: )

Shetani yupo hapa hapa duniani

"Bwana akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo."
(Ayubu 1: 7)

"Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze."
(1 Petro 5: 8)
 
Top Bottom