Mliowahi kuepuka huu mlinganyo wa shetani, njooni mtoe ushuhuda, (kukosa ajira + biashara kufeli)

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,402
Naposema mlinganyo wa shetani namaanisha hivi, una-graduate chuo na gpa nzuri tu, una-apply kazi sehemu tofauti zaidi ya Mara 104 hivi, na zote unakosa..

Unajaribu biashara kadhaa, lakini biashara zote zinafeli, na kabla ya kufeli, zikiwa zinaendelea, zinakupa hela ya kula tu, hela ambayo haitoshi kuanzisha nayo familia.. Then baadae zinafeli, kwasababu zinakuja hasara ambazo zinakula hadi mtaji, sasa wtf is this, mlioweza ku-solve hii equation mje mtoe ushuhuda wenu hapa.
 
mkuu kuna baadhi ya watu hufeli wanapofanya vitu vilivyo nje ya hobi zao, kuna mda ukata na mazingira hutulazimu kufanya vitu nje ya hobi zetu jambo ambalo samutaimu hupelekea kufail so nawe jichunguze kama ndo shida basi angalia fursa ambazo zipo ndani ya hobi zako ndo ufanye
 
Naposema mlinganyo wa shetani namaanisha hivi, una-graduate chuo na gpa nzuri tu, una-apply kazi sehemu tofauti zaidi ya Mara 104 hivi, na zote unakosa..

Unajaribu biashara kadhaa, lakini biashara zote zinafeli, na kabla ya kufeli, zikiwa zinaendelea, zinakupa hela ya kula tu, hela ambayo haitoshi kuanzisha nayo familia.. Then baadae zinafeli, kwasababu zinakuja hasara ambazo zinakula hadi mtaji, sasa wtf is this, mlioweza ku-solve hii equation mje mtoe ushuhuda wenu hapa.
Usiogope na usifadhaike kwa changamoto unazozipitia. Jifunze kuwaza, kuona na kutenda mambo chanya rafiki maana hutakaa uumie wala kuwaza huko ulikofikia.

Mafanikio hayana ukomo, sasa kwanini ujiumize pasipo sababu?

"Ukiwa mtu positive kwa kila jambo lolote au kitu chochote kile aidha cha kuumiza au kufurahisha utafanikiwa zaidi na zaidi"

Ushauri: Usishindane na ulimwengu kwa lolote au chochote bali wewe amini ni mshindi kwa yote yenye kheri na mabaya.
 
Naposema mlinganyo wa shetani namaanisha hivi, una-graduate chuo na gpa nzuri tu, una-apply kazi sehemu tofauti zaidi ya Mara 104 hivi, na zote unakosa..

Unajaribu biashara kadhaa, lakini biashara zote zinafeli, na kabla ya kufeli, zikiwa zinaendelea, zinakupa hela ya kula tu, hela ambayo haitoshi kuanzisha nayo familia.. Then baadae zinafeli, kwasababu zinakuja hasara ambazo zinakula hadi mtaji, sasa wtf is this, mlioweza ku-solve hii equation mje mtoe ushuhuda wenu hapa.
Tatizo kubwa linaanzia kwenye elimu inayosisitiza kufaulu tu ikionyesha kufeli kuwa jambo baya!Cha msingi unapojaribu kazi Fulani elewa kuna kufanikiwa na kutofanikiwa!Cha msingi ni uvumilivu na kutotamani makuu wakati hali bado ngumu!Anza kufikiria kazi za kawaida za kukuingizia hata sh.10000/ kwa siku!Mfano anza kufundisha wanafunzi masomo ya ziada kwa kuwafuata hata makwao si lazima uwe na center sababu hata mtaji huna!Cha msingi kama wewe ni mwanamume anza kufundisha watoto wa kiume tu ili kuepuka matatizo mengine!
 
Mkuu usipoteze muda shika Biblia ingia mtaani wahubiri watu habari za ufalme wa Mungu,watubu na wakabatizwe wapate ondoleo la dhambi!!
 
Hii ilinikuta mwanzoni mwa mwaka huu. Baada ya kumaliza chuo sina kazi nikaanza biashara. Kusema ukweli japo nilifilisika ila nilijifunza sana. Makosa niliofanya ni nilikua desperate since biashara mpya na sikua na customer base nzuri plus uoga nikawa sina standards zinazo niongoza. Nikaishia kukopesha mtaji wote ukaishia huko. Watu nao wakawa wanasumbua kunilipa au wakinilipa wanalipa nusu nusu pesa inaishia juu kwa juu. Ikabidi nitafute mtaji mwingine nianze upya. Saivi sikopeshi mambo yanaenda vzr tu.
 
Ooops! Hiyo rahisi tu.. endelea kupanda pasipo kuchoka ipo siku utavuna . Nilichofanya nilitumia maneno yangu, na utaalamu ambao nilikuwa nao, wao walikuwa wanakuja na pesa , mimi na maneno yangu tu
 
Hii ilinikuta mwanzoni mwa mwaka huu. Baada ya kumaliza chuo sina kazi nikaanza biashara. Kusema ukweli japo nilifilisika ila nilijifunza sana. Makosa niliofanya ni nilikua desperate since biashara mpya na sikua na customer base nzuri plus uoga nikawa sina standards zinazo niongoza. Nikaishia kukopesha mtaji wote ukaishia huko. Watu nao wakawa wanasumbua kunilipa au wakinilipa wanalipa nusu nusu pesa inaishia juu kwa juu. Ikabidi nitafute mtaji mwingine nianze upya. Saivi sikopeshi mambo yanaenda vzr tu.
Ulipata Somo zuri sana lamaisha
 
Back
Top Bottom