shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania Binadamu anapojiweka shetani anayegeuka kuwa Mungu kuutawala ulimwengu

    Umofia Kwenu! Nilipokuwa nikipitia baadhi ya stori za wadau mbalimbali nami nikahamasika kuweza kuandika walaka huu kwa kufuata mawazo na fikra zangu binafsi kuweza kuweka mbegu mpya au mtazamo mpya juu ya ulimwengu wetu huu tulionao. Lakini zaidi ya yote nimevutaka kuandika waraka huu kutokana...
  2. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, wametuuza waumini wao kwa Shetani kwa kuwa hatujaona msimamo wowote wa kiroho madhubuti wa pamoja kuhusu suala la Uviko 19.

    Hakuna shaka yeyote kwamba swala la Uviko 19 au ni la kughushi au lipo lakini si la kiwango kinacho zungumziwa au chanzo si hicho kinachosemwa,ila kinachoitwa Uviko 19, ni kisingizio tu. Ona ukweli huu hapa👇...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Utaratibu huu wa 'Waswahili' una 'Baraka' za Mungu au labda kwa sasa Shetani 'anaupiga mwingi' Mioyoni mwetu?

    Katika ngazi za Familia nyingi za Kiswahili utakuta Mtoto mwenye Mafanikio ya Kipesa kuliko Wenzake hata kama ni wa mwisho Kuzaliwa ndiyo anasikilizwa na Wazazi hata kama wale Wasiokuwa na Pesa ni Werevu na Wamesoma kuliko Yeye. Katika Kamati mbalimbali za Jumuiya za Makanisa ( hasa langu la...
  4. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Iran wachagua Ibrahim Raisi ambaye ameshaua watu elfu 30

    Masikitiko Wairan kuchagua Raisi ambeye ni jaji wa mahakama ambaye ashatoa hukumu za hovyo za kunyonga watu zaidi ya elfu 30 alilalamikiwa sana na raia hadi jumuiya za kimataifa ila alikingiwa mikono na Ayatollah. Marekani washamuwekea vikwazo kama vyote, sasa tutegemee uovu kama wote kutoka...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Harmo Rapa amemkataa shetani na mambo yake yote, ageukia Kaswida

    Pitia hapa uone kaswida nzuri kutoka kwa Harmorapa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nimegundua rasmi kumbe shetani ni binadamu wala si pepo kama wengi tulivyokaririshwa

    Nimekuwa nikitafta namna ya kumhoji shetani! Lakini rasimi kafunguka! Kasema kwamba baadhi ya mambo mengi binadamu tunamsingizia shetani! Mfano: Anayekufunga kwa hira ni Binadamu mwenzako tena kutwa yupo kanisani Anayewanyima haki binadam wenzake ni binadamu huyuhuyu aliyeapa kwa katiba...
  7. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Barua ya Shetani kwa Mtawa wa Kikristo 1676: Mungu ni mvumbuzi wa Binadamu

    Wasaalam, Kuna hadithi ambayo inaturudisha karne ya 17, kuhusu mtawa wa Kiitaliano ambaye alidai kuwa ameandika barua kadhaa wakati akiwa anaendeshwa na shetani Mtawa huyo anayejulika kwa jina Maria Crocifissa Della Concezione, aliamini kwamba shetani mwenyewe aliandika barua wakati...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtawala azibaye midomo ya watu ni mbaya kama shetani

    MTAWALA AZIBAYE MIDOMO WATU NI MBAYA KAMA SHETANI Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mtu yeyote anayependa kuziba watu midomo wasimseme jua huyo ni kama shetani, hivyo ndivyo andiko hili ninavyoanza nalo. Shetani ndio anapenda mambo ya sirini, kuficha ficha, kuziba watu midomo wasiseme mabaya yake...
  9. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Malaika Wa Shetani

    Simulizi : MALAIKA WA SHETANI Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Sehemu ya 1 LANGO uligongwa tena. Safari hii mgongaji aligonga kwa nguvu zaidi. Kwa mbali, sauti yake ilisikika ikinong’ona, ikiwa na kila dalili ya hofu na wasiwasi, ikisema, “Tafadhali nifungulie… dakika...
  10. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Nike yashinda kesi yake ya ‘Viatu vya shetani

    Kampuni maarufu kwa viatu vya michezo ya Nike imeshinda keshi dhidi ya kampuni ya MSCHF juu ya ‘Viatu vya shetani’ vilivyosababisha utata ambavyo zinasemekana kuwa na tone la damu ya binadamu kwenye soli yake. Viatu hivyo vinavyouzwa kwa dola 1,018 sawa na (pauni 740), ambavyo vimechorwa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wakristu tumebipiwa na shetani naomba tumpigie kwa sherehe kubwa tufufuke na kristo

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema! Kipindi cha kwaresma huwa ni kipindi cha kuyatafakari matendo makuu ya Mungu! Wapo wanadamu wanaothubutu kujitwalia utukufu wa Mungu! Lakini kamwe Mungu atabaki kuwa Mungu na wala hachunguziki! Skukuu ya pasaka ni siku ya furaha kubwa ya ufufuo wa Yesu...
  12. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Nike yafungua kesi kwa madai ya kuibiwa chapa ya Viatu vya shetani

    Kampuni ya Nike inashitaki ubunifu wa kampuni ya MSCHF iliyopo Brooklyn juu ya uzinduzi wa kile kinachosemekana kuwa “Kiatu cha shetani” chenye tone la damu ya kweli ya binadamu kwenye soli za viatu. Viatu hivyo vinavyouzwa kwa dola 1,018 sawa na (Tsh 2358910.76), ambavyo vimechorwa alama ya...
  13. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Shetani laipeleka Serikali ya Texas Mahakamani kwa kuzuia haki yake ya kutoa kafara Watoto wachanga

    Tukisema tunaambiwa tunayo-andika ni conspiracy theories.Kama watu wanaweza bila aibu na woga kwenda mahakamami kutetea eti "haki yao ya kutoa watoto wachanga kafara," kuna jambo ambalo hawawezi kufanya kweli?Mimi naamini hakuna.Kiranga Yoda na wengine mnao-tetea kazi za Shetani, njoni msome...
  14. April26

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shetani katawala katika mahusiano

    Wana JF kwema! Kiufupi siku hizi wàpenzi wengi hukutana kupitia njia za shetani kuliko njia za muumba (sahihi). Mfano; msichana anapenda Mali, pesa n.k, toka kwa kijana na kijana nae anapenda chura tuu basi mahusiano button ON. Hizi ni tamaa sio mapenzi. Kama unawaza kuwa na mpenzi kwa...
  15. Informer

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

    Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno. VIDEO:
  16. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Shetani pia hukiri akishuhudia ukuu wa Mungu

    GTs, Hakika Mungu alituepusha na Korona 19 kipindi kile mataifa mengine yanazika wafu wao kwa mamia kama si kwa maelfu. Hakika Mungu aliiponya Tanzania baada ya Kiongozi wetu wa nchi kujinyenyekeza mbele za Mungu. Hakika shetani hukiri matendo makuu ya Mungu. Kila anayebeza pale ambapo...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Je, kila Taifa lina shetani wake analiongoza?

    Ukisoma kitabu cha Daniel. Kuna kipindi Daniel wakati yupo huko Uajemi aliamua kufunga kwa wiki tatu. Hakuoga, hakunywa pombe(divai), hakula nyama wala msosi wowote mzuri. Sasa kumbe malaika aliyekuwa ametumwa kuleta majibu wakati analeta akakutana na mkuu wa ufalme wa Uajemi, wakaanza kupigana...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeitwa Shetani baada ya kutoa ushauri ambao nimeombwa. Nikirudishia haya matusi najua tu itakuwa issue kwa ndugu

    Mijitu mingine sijui ikoje....hovyo sana. Mtu anakuomba ushauri halafu kumbe tayari ana maamuzi yake kichwani. Unataabika kufikiri unampa ushauri anaanza kuongea shit tena. Mijitu kama hii ngekuwa na uwezo ngekuwa naiponda tu na nyundo ya kupondea kokoto kichwani. Mjomba wangu ana kansa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kumvua Unaibu Waziri Francis Ndulane si nafasi yakumpa muovu shetani ushindi?

    Tujipe muda wakupitia clips za zamani wakati wa kampeni, baada ya kampeni, akiwa anakula kiapo Bungeni na katika uwasilishaji wake wa mada maeneo mbalimbali utabaini yupo vizuri na wala ababaiki. Siamini nguvu za giza ila naamini shetani anaweza akajitutumua na kujipa utukufu pasipo stahili...
  20. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Francesca Roja - Mmama aliyejulikana kama wakala wa shetani

    Tarehe 19 mwezi wa 6 mwaka 1982, katika makazi ya mwanamama ajulikanaye kama Francesca Roja katikamji mdogo wa Necochea, Argentina, kulitokea mauaji ya kutisha. Watoto wawili wa Rojas waliuawa kwa kuchomwa na kisu. Yalikuwa ni mauaji ya kutisha sana. Rojas alidai kwamba, mwanaume mmoja...
Back
Top Bottom