Video: Hatimaye Mwamba Freeman Mbowe amenyanyuka , aanza kuchechemea kwa Magongo

... kiukweli ifike mahali Mbowe akabidhi kijiti kwa mtu mwingine! Ni kweli ni mhimili wa chama na amekitoa mbali ila ataendelea kuwa yeye tu hadi lini?

Mtoto aliyezaliwa anamaliza chuo kikuu ngazi ya masters hamjui mwenyekiti mwingine wa chadema sio dalili nzuri sana na ni poor succession plan. Ushauri wa bure tu lakini.
 
hivi ninyi watu pamoja na kutompenda magufuli na serikali yake nawaona kama hampo serious na hii nchi. Huyu jamaa si wa kumtetea kabisa tulichoambiwa kavunjwa ni uongo kabisa. Binafsi naona kabisa huyu kweli alilewa kabisa
Siku ukija kuambiwa ukweli utakimbia kwa aibu
 
Kweli Mungu anadhihakiwa. Mlevi chakari anashindwa kupanda ngazi anaanguka anaumia halafu anawadanganya watu na kusingizia kaumizwa na watu yote hayo yakiwa machukizo kwa Mungu na kumbe alitoka kwa kimada yakiwa ni machukizo mengine halafu leo mnasema kama si Mungu. Jamani Mungu yupi?? Tuache dhihaka wandugu
 
Back
Top Bottom